Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Kaisome vizuri Quran, inakwambia shetani alizaa, lakini haithibitishi ikiwa shetani anamke, mantiki hii tu, inatosha kusema, Ikiwa shetani wa Quran anauwezo wa kuzaa bila mke, maana yake mungu wa Quran anakuwa hana uwezo wa kumzidi shetani wa Qur'an ambaye alizaa bila mkeMwana wa Mungu kwani Mungu ana mke?
Lakini Mungu wa Biblia, yeye anauwezo wa kuzaa bila mke, na ukibisha hili, maana yake unampinga Mungu katika uweza wake
Unakuwa unamwamini kuwa anaweza yote ila si kuzaa bila mke!