Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Mwana wa Mungu kwani Mungu ana mke?
Kaisome vizuri Quran, inakwambia shetani alizaa, lakini haithibitishi ikiwa shetani anamke, mantiki hii tu, inatosha kusema, Ikiwa shetani wa Quran anauwezo wa kuzaa bila mke, maana yake mungu wa Quran anakuwa hana uwezo wa kumzidi shetani wa Qur'an ambaye alizaa bila mke

Lakini Mungu wa Biblia, yeye anauwezo wa kuzaa bila mke, na ukibisha hili, maana yake unampinga Mungu katika uweza wake

Unakuwa unamwamini kuwa anaweza yote ila si kuzaa bila mke!
 
Kaisome vizuri Quran, inakwambia shetani alizaa, lakini haithibitishi ikiwa shetani anamke, mantiki hii tu, inatosha kusema, Ikiwa shetani wa Quran anauwezo wa kuzaa bila mke, maana yake mungu wa Quran anakuwa hana uwezo wa kumzidi shetani wa Qur'an ambaye alizaa bila mke

Lakini Mungu wa Biblia, yeye anauwezo wa kuzaa bila mke, na ukibisha hili, maana yake unampinga Mungu katika uweza wake

Unakuwa unamwamini kuwa anawreza yote ila si kuzaa bila mke!
Labda maneno yako yamo kwenye biblia yako ya Queen James Version
 
Jamaa kauzwa , Kaishi Qatar miaka kibao juzi tu hapa kaenda Iran ndio kauzwa ...Nasrallah aligoma kwenda hapa kutakuta kutokea vita hawa iran wanauza wenzao .

Nchi za salaama ni Qatar na saudia pale kati , hazina ufungamano wa makundi zaidi ya serikali
Viongozi Watatu wa juu wa Hamas yani Mousa Marzouk, Khaled Mashal na Ismail Haniyeh wana utajiri wa sawa na Tsh Trilioni 27. Tena wao na familia zao hawaishi Gaza, bali wanaishi Qatar kwenye Majumba ya kifahari. Wanaouawa na Wanaopata tabu ni raia wasiokuwa na hatia.
 
Hizo habari walikuambia wewe au wewe ni msemaji wao?
 
Allah hakubal
Allah hakubal
Allah hakubal

Pigeni kelele zote mjuavyo ila huyo Allah hakubal hata siku moja. Aminini mizimu wehu nyie
 
Allah hakubal
Allah hakubal
Allah hakubal

Pigeni kelele zote mjuavyo ila huyo Allah hakubal hata siku moja. Aminini mizimu wehu nyie
Ina maana Alla hasikii kelele zetu hata za alfajiri tunavyowambia shuka zenu ndio sanda zenu?
 
1.Russia.
2. Korea ya Kiduku.
3. China.
4. Iran.
5. Cuba
6. Syria, lebanon, Iraq, Kuwait, Yemen, Egpty, na vijinvhi vingine kama 80 vimeshindwa kuua kiongozi yeyote wa Mayahudi.
Unachoshindwa kuelewa ni kuwa hapo Iran kuna wayahudi zaidi ya laki 8 wanaishi.
Pia nchi ya kwanza mpaka ya tatu yaani N.korea,China na Russia hazina sababu ya kuua kiongozi wa kiyahudi ila ZIKIAMUA HATA HUYO NETANYAHU ANAUAWA MCHANA KWEUPEEE.
 
Hii inaonyesha kabisa mipaka ya Iran inaweza kuingilika kirahisi mno.
Ni mara kadhaa Israeli anafanya mauaji ndani ya Iran lakini Iran hawezi kupenetrate na kufanya mauaji ya siri kwa viongozi wa Israeli
Sababu kuu ni moja.
Iran kuna wayahudi wengi wanaoishi,hivyo kumpata kirusi wa kufanya tukio ni rahisi ilhali Iran hana pandikizi lolote huko Israel.
 
Unachoshindwa kuelewa ni kuwa hapo Iran kuna wayahudi zaidi ya laki 8 wanaishi.
Pia nchi ya kwanza mpaka ya tatu yaani N.korea,China na Russia hazina sababu ya kuua kiongozi wa kiyahudi ila ZIKIAMUA HATA HUYO NETANYAHU ANAUAWA MCHANA KWEUPEEE.
Hazina sababu, wewe ni mtoto Gen Z nini wa mwaka 2000?
Hizo nchi zina chuki na Israel kuliko hata Palestina yenyewe.
Eti wakitaka muda wowote wanaingia.
Kwani hujui HAMAS ni kundi linalofadhiliwa na hayo mataifa?
Hamas wana biashara gani ya kuwawezesha kuendesha serikali ya palestina na kupigana na israel miaka na mikaka?

Kwamab hizo nchi ni rafiki wa Israel?
 
Back
Top Bottom