Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wache hao wafuasi wa Paulo wafurahi kuna msemo unasema tutaona nani atacheka mwishoni time will tell.
View: https://x.com/jacksonhinklle/status/1818492372600103060?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wache hao wafuasi wa Paulo wafurahi kuna msemo unasema tutaona nani atacheka mwishoni time will tell.
Huyo sio kiongozi wa kwanza wa Hamas kuuawa.Yah Israel yuko speed mno kwa Sasa . mazungumzo yasipofanyika hamas itabaki bila kiongozi na kuwa kama Gen Z
Na anatekeleza kiapo chake kwa weledi wa hali ya juu na kwa uaminifu mkubwa. Hao jamaa wataisha wote.Mossad wako busy kipindi hiki kuliko wakati wowote.. .
Netanyahu alishakula kiapo kusaka magaidi popote pale walipo
Shia na Sunni ni maadui wakufa na kuuana; mfano mzuri ni Pakistani. Shida kubwa ni Sunni ambao hufundisha watoto wao kuwa Shia siyo waislam. Shia wao wanashikilia kuwa urithi wa kuendeleza uislam ulitakiwa apewa mtu wa ukoo wa Mohammad, Ali/Hussein badala ya Maswahaba. Na wanapinga kabisa nafasi aliyopewa Aisha, kale kabinti ka miaka 6 alichokaoa Mohammad. Kwa Ugaidi Sunni ndiyo Baba yao. Irani anaye champion Ushia shida yake amekomalia pale pale kwenye mafundisho ya Quran ya kutolitambua Taifa la Israel. Baadhi ya nchi za Kisunni kama UAE, SAUDIA MOROCCO NA EGYPT serikali zao wamesoma alama za nyakati na ku soften msimao huo. Sasa kwakuwa Wapalestina ambao ni SUNNI na wao wameendelea kubaki kwenye upumbavu wao wa Kiqurani wa kuliangamiza Taifa la Israel na wayahudi, msimamo huo ndiyo unawaleta pamoja na Iran 🇮🇷 SHIA ambao ni mahasimu wao kidini.Hivi tofauti ya shia na Sunni ni nn? Mimi najua wote magaidi tu au?
Hamas sio anti baraka dada.Hamas wamefeli pakubwa mno, wameshindwaje kumlinda kiongozi wao Mkuu? Sasa kama kiongozi kauawa kuna nini tena? Warushe taulo basi.
Deep sanaMajukumu ya kumlinda alikabidhiwa Iran. Ofisi zao zilihamishiwa Baghdad kutokea Doha Qatar.
Kwa vyovyote vile kauzwa. Pale Iraq, Sunni pamoja na Kurds hawakutaka ofisi za Hamas zihamishiwe Iraq.
Kwahiyo ina maana kuna waliouza movements zake na ku share intelligence na MOSSAD.
Mbaya zaidi, ameuwawa ndani ya Taifa lilotakiwa kuhakikisha ulinzi na usalama wake.
Tena siku ya kuapisha rais wao mpya ambapo ulinzi ulitakiwa uwe wa hali ya juu kabisa!
Hii ni kawaida,Haniyeh sio kiongozi wa kwanza wa Hamas kuuawa.Kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh ameuawa nchini Iran, kundi hilo limesema.
Katika taarifa iliyotolewa leo siku ya Jumatano, Hamas imesema Haniyeh aliuawa kufuatia uvamizi wa Israel kwenye makazi yake mjini Tehran.
Kwa mujibu wa kundi hilo, Haniyeh alifariki baada ya kushiriki sherehe za kuapishwa kwa Rais mpya wa Iran Masoud Pezeshkian aliyeapishwa siku ya Jumanne.
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Irani lilisema chanzo cha "tukio" hakijafahamika mara moja lakini "kinachunguzwa", shirika la habari la AFP liliripoti.
View attachment 3057258
Usicheze na MOSSAD
Kujifariji ni kawaida na inatakiwa.Lakini ni uhakika hatakuwa sawa 100% kama aliyetangulizwa. Tena ujue hata huyo mbadala naye watapita naye.Huyo sio kiongozi wa kwanza wa Hamas kuuawa.
Hayo makundi huwa wana mbadala washamuandaa mapema sana.
Kafika mwisho wakeViongozi Watatu wa juu wa Hamas yani Mousa Marzouk, Khaled Mashal na Ismail Haniyeh wana utajiri wa sawa na Tsh Trilioni 27. Tena wao na familia zao hawaishi Gaza, bali wanaishi Qatar kwenye Majumba ya kifahari. Wanaouawa na Wanaopata tabu ni raia wasiokuwa na hatia.
I never knew this before! Kumbe ni mambo ya kijinga tu. ASANTE MKUU WANGUShia na Sunni ni maadui wakufa na kuuana; mfano mzuri ni Pakistani. Shida kubwa ni Sunni ambao hufundisha watoto wao kuwa Shia siyo waislam. Shia wao wanashikilia kuwa urithi wa kuendeleza uislam ulitakiwa apewa mtu wa ukoo wa Mohammad, Ali/Hussein badala ya Maswahaba. Na wanapinga kabisa nafasi aliyopewa Aisha, kale kabinti ka miaka 6 alichokaoa Mohammad. Kwa Ugaidi Sunni ndiyo Baba yao. Irani anaye champion Ushia shida yake amekomalia pale pale kwenye mafundisho ya Quran ya kutolitambua Taifa la Israel. Baadhi ya nchi za Kisunni kama UAE, SAUDIA MOROCCO NA EGYPT serikali zao wamesoma alama za nyakati na ku soften msimao huo. Sasa kwakuwa Wapalestina ambao ni SUNNI na wao wameendelea kubaki kwenye upumbavu wao wa Kiqurani wa kuliangamiza Taifa la Israel na wayahudi, msimamo huo ndiyo unawaleta pamoja na Iran 🇮🇷 SHIA ambao ni mahasimu wao kidini.
Hii ndiyo inafanya usisikie maandamano hata kidogo ya kuunga mkono Hamasi huko Saudia na UAE
Mkuu labda kama Hamas umeanza kuifuatilia juzi.Kujifariji ni kawaida na inatakiwa.Lakini ni uhakika hatakuwa sawa 100% kama aliyetangulizwa. Tena ujue hata huyo mbadala naye watapita naye.
Unapaswa utambue kabla ya shambulio la Oktoba 7 mnamo August wayahudi washenzi wasio na utu walikua wanavamia mashamba ya wapalestina na kupora mali zao na kuvunja nyumba zao.Duh, kauawawa kwa njia ya Mungu?
Aliyefadhili mauaji ya mayahidi oktoba 7 ni mwana wa Mungu?
Quote: "Hii ni kawaida, Haniyeh sio kiongozi wa kwanza wa Hamas kuuawa."Hii ni kawaida,Haniyeh sio kiongozi wa kwanza wa Hamas kuuawa.
Na mpaka leo haikuathiri operation zozote za Hamas.
Mkidhani mmewatia ulemavu Hamas ndio kwanza hasira ya kisasi imeamshwa.
Mbaya zaidi Israel imeua na kamanda wa Hizbollah.
Nadhani tusubiri tuone majibu yatakayotolewa,ila kisasi kitalipwa.
Tehran kuna wayahudi zaidi ya laki 8 hivyo tukio kufanyika ni rahisi.
Unapaswa kutambua kabla ya Wayahudi/ Ma- setla wa kiyahudi walipigwa na nchi sita ya magaidi ya kiislamu na yaliteketezwa hayo magaidi na misri wakasaini mkataba wa amani.Unapaswa utambue kabla ya shambulio la Oktoba 7 mnamo August wayahudi washenzi wasio na utu walikua wanavamia mashamba ya wapalestina na kupora mali zao na kuvunja nyumba zao.
Je hili unalitambua!?
Nilichomaanisha hilo sio tukio la kuwavunja nguvu Hamas.Quote: "Hii ni kawaida, Haniyeh sio kiongozi wa kwanza wa Hamas kuuawa."
Kwa hiyo wameshazoea kuuawa. Kumbe wanafurahia kuuawa. Hiyo ahadi hewa ya mabikra 72 na mito ya pombe inawaponza mno.