Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Iran mjanja sana. Anawasakizia Waarabu wenzake kwa kuwafundisha vijana wa kwao na anawapa silaha halafu mwenyewe Iran kajitulia zake anasikilizia jinsi vumbi linavyotimka huko.
Wa Iran sio waarabu na ujue adui mkubwa wa Iran ni waarabu hawajawi kuwa na ushirikiano wa karibu.
 
Kama ni kweli kama Iran wanavosema kuwa Haniyah aliuawa na Airbone projectile, this must one most new advanced weapon we should all be woried of.

Netanyahu alipokuwa Congress alisema Israel and USA has worked together to make some of most advanced weapons in the world.

Pia ikitokea kama ni some sort of AI powered thing, ni jambo kubwa sana na la kuzingatia
Israel ina Rampange na Air LORA air launched ballistic missiles.
Na pia ina Sparrow series of air launched ballistic missile. Black Sparrow, Blue na Silver Sparrow. Mojawapo ya hizi ilitumika kupiga S-300 site pale Natanz mwaka huu.

Hayo sio makombora ya kila mtu ni wachache wanaweza. Matumizi ya AI waliyaonyesha walipomuua top nuclear scientist wa Iran kwa kutumia robot lenye bunduki kwenye Nissan pick up. Robot lilitumia AI na lilikuwa controlled na satellite likasoma facial recognition na likamuaa yeye peke yake kwa risasi 14. Hata mke wake aliyekuwa pembeni kwenye seat hakupatwa risasi hata moja. Walinzi 11 hakujeruhiwa yeyote.
 
Yaani ndani ya Saa 12 tu Kudadadeki tumemmaliza Mpumbavu aliyeko Lebanon wa Hezbollah na yule wa Hamas aliyekuwa Iran. Halafu tulivyokuwa na Akili tumeuchuna / tumenyamaza kama vile siyo Sisi huku tukiwasikilizia tu Wapumbavu katika 'Saitimira' zetu ili wakileta tena Fyoko Fyoko tunaua tena Wengine. Watanyooka tu.
 
Uzi wa moto sana huu, sidhani kama utapata wachangiaji!

Tatizo ni capacity. Kwamba TB ngapi za bongo. Bottom line:

"Supporting Palestinians is a duty, whatever the sacrifices are."
 
Kabisa mkuu, tena utakuta mpaka kuuawa kwake kuna uhusika wa nchi kadhaa katika kutoa taarifa au kutoa ridhaa.

Kwa siasa za mashariki ya kati si ajabu kukuta baadhi ya watawala wa hapo wamefurahi jamaa kuondolewa maana uhusiano wake na Iran ulikuwa unawakera


Hata security establishment za Iran Zina matatizo ndio maana hata mwanasayansi wa nyuklia na wenzake waliuawa, kiufupi bila ushirikiano na wasaliti sio rahisi hayo matukio kufanyika.
Hili nakubaliana na wewe kabisa na ndiovyo jinsi hili tukio lilivyosukwa na kutekelezwa(ndugu zake wamemzunguka)

Nakumbuka mwaka 2019 kwenye summit ya ARAB LEAGUE NATIONS aliyekuwa waziri mkuu wa Yemen bwana Maeen Abdulmalik sed aliishutumu Iran na Saud Arabia kufanya ununuzi wa malighafi kwa siri kutoka Israel, na moja wapo ya viapo vilivyopo kwenye ARAB LEAGUE NATIONS ni wanachama wake kutofanya biashara ya aina yoyote ile na taifa la Israel.

Hivyo kama wanaweza kuvunja viapo vya kwenye communities zao hivyo hata kuzungukana kwa kutoa taarifa za kiintelijensia kuhusu mwenzao kwa kumpa adui yao sishangai kabisa
 
Siamini kama Iran anaweza kuwa na air defense ya aina ya S400, Patriot na hizi Iron dome kulinda anga lake maana tayari ameonyesha udhaifu mwingi kwenye technolijia, kama ana uwezo huo asingeweza kutumia Helicopter ambayo ni made in USA kumbeba Rais huku akiwa na vikwazo vyakununua spare parts.

Zile drones bado sana mkuu aisee, drones zake kamikaze nyingi zimeprove failure Russia, na hata hizi tunazosema zimepenetrate air defence ya Israeli inawezekana ni ile tunasema huwezi kuwa na 100% efficiency, zipo drones za Turkey ambazo angeweza kuzinunua na kutumia wataalam wake kucopy na kupaste akafanya mass production.

Kuwa na missiles launcher sio shida, kama huna satellite zinakuwa rahisi sana kukamatwa au hata kuwa diverted kwenye targets.
Anachofanya/alichofanya Iran ni kurusha missiles nyingi kama mvua ili kuoverwhelm air defense na makombora kadhaa yaweze kufika lakini hii unaweza kuipangua kwa kuongeza number za batteries, kumbuka pia unaposhambulia nawe unashambulia hakuna kusubiliana maana uwe na uwezo wa kushambulia na muda huo huo ujilinde.
Kumbuka pia, unaporusha makombola mengi hovyohovyo just kuoverwhelm air defensive system na upate target chache ambazo pia utakuwa unabet basi pia stock ya ammunitions zako inapungua huku hauna uwezo na speed ya production kuendana na matumizi.

Narudia tena, Iran awe mtulivu ajenge technolojia yake kwanza kupambana na hizi superpower, uwezo wake bado sana.
Hapo kwenye drone tuache kidogo mzeeee
Drone za iran zimeupiga mwingi sana pale ukraine na zinaendelea kuonesha uwezo mkubwa
Jana tu kivu imeshambuliwa na drone za iran
Turkey walipeleka drone zao mwanzoni mwa vita ila zimepotea mpaka sasa hazisikiki hazina lamaana zilofanya
 
Yaani ndani ya Saa 12 tu Kudadadeki tumemmaliza Mpumbavu aliyeko Lebanon wa Hezbollah na yule wa Hamas aliyekuwa Iran. Halafu tulivyokuwa na Akili tumeuchuna / tumenyamaza kama vile siyo Sisi huku tukiwasikilizia tu Wapumbavu katika 'Saitimira' zetu ili wakileta tena Fyoko Fyoko tunaua tena Wengine. Watanyooka tu.

Bila kusahau Mandela alikuwa na maneno kama haya:

"Supporting Palestinians is a duty, whatever the sacrifices are."
 
Israil bila ya Amerika is nothing munashobekea mauji kwa waarabu au kwa waislamu ,wekeni wazi mmegeuka baba wenu ,ukisikia mtu anataja waarabu kusudio lake ni uislamu furahini lakini na wao na nyinyi siku yenu inakaribia tit for tat .Kutesa kwa Zamuuu.
 
Hamna mazungumzo yanahitajika zaidi ya mkono wa chuma. Wana miezi wanafanya mazungumzo na hayana tija.

Hamas, Hezbollah & co waingie uwanjani ili mambo yaishe moja kwa moja. Israel imeahidi kuigeuza Lebanon zama za mawe za kale ikijitoa ufahamu. Uchaguzi mkuu wa Marekani unakaribia hivyo haina muda sana kukagua kwingine iko busy na mambo yake, ndio muda ambao migogoro ya kawaida hutokea sana.
Ufahamu upi israel kazkazini wazayuni wamepakimbia sababu ipi
Israhell imeshindwa kulinda raia wake dhidi ya hizbullah?
 
licha tu ya kuwa Taifa Teule la Mwenyezi Mungu
Screenshot_20230515-172320.png
 
Utaolewa, ndo mana walikuchapia manzi yako wewe
 
Back
Top Bottom