Wa Iran sio waarabu na ujue adui mkubwa wa Iran ni waarabu hawajawi kuwa na ushirikiano wa karibu.Iran mjanja sana. Anawasakizia Waarabu wenzake kwa kuwafundisha vijana wa kwao na anawapa silaha halafu mwenyewe Iran kajitulia zake anasikilizia jinsi vumbi linavyotimka huko.
Israel ina Rampange na Air LORA air launched ballistic missiles.Kama ni kweli kama Iran wanavosema kuwa Haniyah aliuawa na Airbone projectile, this must one most new advanced weapon we should all be woried of.
Netanyahu alipokuwa Congress alisema Israel and USA has worked together to make some of most advanced weapons in the world.
Pia ikitokea kama ni some sort of AI powered thing, ni jambo kubwa sana na la kuzingatia
Unalinganisha mlima na kichuguuNa yule mkuu wamajeshi wakenya nae alikua anafadhili magaidi?
Pole dogoUnalinganisha mlima na kichuguu
Yes, umeiva, Wa Iran si waarabu.Wa Iran sio waarabu na ujue adui mkubwa wa Iran ni waarabu hawajawi kuwa na ushirikiano wa karibu.
Uzi wa moto sana huu, sidhani kama utapata wachangiaji!
Hili nakubaliana na wewe kabisa na ndiovyo jinsi hili tukio lilivyosukwa na kutekelezwa(ndugu zake wamemzunguka)Kabisa mkuu, tena utakuta mpaka kuuawa kwake kuna uhusika wa nchi kadhaa katika kutoa taarifa au kutoa ridhaa.
Kwa siasa za mashariki ya kati si ajabu kukuta baadhi ya watawala wa hapo wamefurahi jamaa kuondolewa maana uhusiano wake na Iran ulikuwa unawakera
Hata security establishment za Iran Zina matatizo ndio maana hata mwanasayansi wa nyuklia na wenzake waliuawa, kiufupi bila ushirikiano na wasaliti sio rahisi hayo matukio kufanyika.
Hapo kwenye drone tuache kidogo mzeeeeSiamini kama Iran anaweza kuwa na air defense ya aina ya S400, Patriot na hizi Iron dome kulinda anga lake maana tayari ameonyesha udhaifu mwingi kwenye technolijia, kama ana uwezo huo asingeweza kutumia Helicopter ambayo ni made in USA kumbeba Rais huku akiwa na vikwazo vyakununua spare parts.
Zile drones bado sana mkuu aisee, drones zake kamikaze nyingi zimeprove failure Russia, na hata hizi tunazosema zimepenetrate air defence ya Israeli inawezekana ni ile tunasema huwezi kuwa na 100% efficiency, zipo drones za Turkey ambazo angeweza kuzinunua na kutumia wataalam wake kucopy na kupaste akafanya mass production.
Kuwa na missiles launcher sio shida, kama huna satellite zinakuwa rahisi sana kukamatwa au hata kuwa diverted kwenye targets.
Anachofanya/alichofanya Iran ni kurusha missiles nyingi kama mvua ili kuoverwhelm air defense na makombora kadhaa yaweze kufika lakini hii unaweza kuipangua kwa kuongeza number za batteries, kumbuka pia unaposhambulia nawe unashambulia hakuna kusubiliana maana uwe na uwezo wa kushambulia na muda huo huo ujilinde.
Kumbuka pia, unaporusha makombola mengi hovyohovyo just kuoverwhelm air defensive system na upate target chache ambazo pia utakuwa unabet basi pia stock ya ammunitions zako inapungua huku hauna uwezo na speed ya production kuendana na matumizi.
Narudia tena, Iran awe mtulivu ajenge technolojia yake kwanza kupambana na hizi superpower, uwezo wake bado sana.
Wote wamegeuzwa panya buku kwenye mahandakiKudadadeki!!! Hivi na wale Houthi wa Yemen vipi? Wamekuwa kimya nao hatuwasikii
Yaani ndani ya Saa 12 tu Kudadadeki tumemmaliza Mpumbavu aliyeko Lebanon wa Hezbollah na yule wa Hamas aliyekuwa Iran. Halafu tulivyokuwa na Akili tumeuchuna / tumenyamaza kama vile siyo Sisi huku tukiwasikilizia tu Wapumbavu katika 'Saitimira' zetu ili wakileta tena Fyoko Fyoko tunaua tena Wengine. Watanyooka tu.
Kawashitaki kwa chura kiziwiIsrael imekuwa inaua viongozi wa Hamas,Iran,Hizbullah nk miaka yote lakini hawajafanikiwa kuondosha hatari kwao so itaendelea kusalia kama ilivyokuwa miaka yote,hakuna jipya sana hapo.
Ufahamu upi israel kazkazini wazayuni wamepakimbia sababu ipiHamna mazungumzo yanahitajika zaidi ya mkono wa chuma. Wana miezi wanafanya mazungumzo na hayana tija.
Hamas, Hezbollah & co waingie uwanjani ili mambo yaishe moja kwa moja. Israel imeahidi kuigeuza Lebanon zama za mawe za kale ikijitoa ufahamu. Uchaguzi mkuu wa Marekani unakaribia hivyo haina muda sana kukagua kwingine iko busy na mambo yake, ndio muda ambao migogoro ya kawaida hutokea sana.
yes, Israel is a blessed nation. Balaki alimuomba Balaam awalaani Israeli, akaambiwa na Mungu huwezi kulaani watu waliobarikiwa.GOD Bless Israel
Sio uongoNaipenda Iran sana, ila nahisi kama ipo overrated sana!
licha tu ya kuwa Taifa Teule la Mwenyezi Mungu