Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Yesu Kristo anatuwakilisha Sisi Wakristo wote duniani na hivyo hivyo Kipigo inachotoa Israel kina baraka zetu Wakristo.
Mathayo 15: 21 “Yesu akaondoka huko, akaenda kando pande za Tiro na Sidoni.
22 Na tazama, mwanamke Mkananayo wa mipaka ile akatokea, akampazia sauti akisema, Unirehemu, Bwana, Mwana wa Daudi; binti yangu amepagawa sana na pepo.
23 Wala yeye hakumjibu neno. Nao wanafunzi wake wakamwendea, wakamwomba, wakisema, Mwache aende zake; kwa maana anapiga kelele nyuma yetu.
24 Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
25 Naye akaja akamsujudia, akisema Bwana, unisaidie.
26 Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.
27 Akasema, Ndiyo, Bwana, lakini hata mbwa hula makombo yaangukayo mezani pa bwana zao.
28 Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Mama, imani yako ni kubwa; na iwe kwako kama utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile
 
Kifuatacho huyo mzionist atajuta na mda wake utafika tu .It was ordained wa israel wataangamizwaa
 
MOSSAD wameamua kuonyehs umahiri wao.
 
wanatakiwa kulaumiwa iran. inakuwame muhost wanted person na msiweke ulizi wa kutosha angani na ardhini? na wengine wanasema imepigwa airstrike sijui ya drone au ya nini hawajui kwasababu radar za iran ni dhaifu wanaweza kupigwa na wasijue nani kawapiga na katokea wapi. na wanakuwa precise kabisa wanapiga yule wanted tu bila kudhuri raia wengine au majengo mengine, meaning, wanaweza piga hata ikulu ya ayatolah peke yake na kwengine wakakuacha salama. usalama wa iran au yeyote anayekimbilia iran upo wapi hapo sasa?
 
Si watauwa watu tu , lakini haki hawawezi kuiua , wataendeleza wengine
 
Yamekuwa hayo tena😎😎,, inawezekana ndio uwezo umeishia hapo.
 

Kwenye technolojia yeyote huwezi kupata efficiency 100%, kama Houthis walirusha drone ikapenetrate moja tu Tel-aviv kwanini wasirushe zakutosha sasa maana wako vitani na Israeli ambae amefanya shambulio kubwa na kuleta maafa Yemeni - kupenya drone Moja hatuwezi kusema Iron dome ni totally useless hiyo ndio ile tunasema kwenye tech hakuna 100% ila tunaangalia angalau ufike hata 95% efficiency.

Binafsi Kila siku nasikia Israeli kaua Hizbollah strategic leaders ambao ndio master minder wa operations, ila sijawahi kusikia Hizbollah kaua kiongozi au kamanda yeyote wa Israeli, tafsiri yake master minders na head wa operation wa Israeli wako salama.

Hizbollah na Iran wanatumia style ya kurusha barrage of missiles au drones ili kuoverwhelm ADS, hii technic ni mbaya maana unamaliza stock ya ammunition yako kwa haraka, kisasa ni vyema ukawa na missile ambazo ni self-guided na zenyewe zinaweza kukwepa ADS na kwenda kuhit targets, au uwe na technolojia yakujam batteries za ADS uweze kupenya.

Tunapozungumzia Technolojia tunaangalia maeneo mengi ni kama pia tunapozungumzia uwezo wa kijeshi, Iran angekuwa na ADS za uhakika basi Israeli naye angekuwa anarusha barrage of missiles kushambulia maeneo ya nyuklia ya Iran, lakini mara nyingi tunaona Israel anapeleka kombora chache na ndege kadhaa kupiga maeneo kadhaa yanayohofia kuhusika na urutulubishaji wa nyuklia ndani ya Iran.
Kitendo cha Israel kupenetrate ndani kabisa ya Iran na kuua wale strategic people anaowataka mfano wanascience, wanasiasa nk ndio tunapata red flag kama Iran yuko overated na anahitaji sana kujipanga.

Umeongelea juu Kamikaze drones, sifa ya Kamikaze drones nikwenda na kubaki huko huko, na sio zile ambazo ziko operated kwenda na kuhit target na kurudi, maana unahitaji kamikaze nyingi sana kupigana vita wakati unaepigana naye yakwake inakuja imebeba bomu inapiga na kurudi, Mrusi aliamua kuchukua Kamikaze drones kulinda stock yake ya silaha lakini pia kuzijaribu in real world, ni changamoto kupenya kwenye ADS kama Patriot ndio maana Ukraine amedemand kupewa Patriot batteries za kutosha kuweza kuzipeleka maeneo mengi kulinda anga.

Israel kwa kiasi kikubwa yuko vizuri kwenye technolojia kwenye maeneo mengi muhimu ya kijeshi namaanisha baharini, ardhini, angani nk,
Sasa huwezi kusema kitaalam una muscles wakati Kuna maeneo kijeshi hata mwenyewe unajua hauko vizuri wakati vita kushindwa na kushinda inategemea uzaifu wa adui ndio maana tujaribu options zote kwenye mapigano.

Mbinu anayojaribu Israeli kwasasa kuua wale heads ni kujaribu kumaliza proxy war kuuzunguka maeneo yake na kuineutralize Gaza strip, mbinu ndio hivi karibuni inatumika Mexico kupambana na drugs Cartel, Proxy war ya hivi vikundi vidogovidogo ndio inayomletea stress Israeli maana anabaki vitani muda mwingi, lakini lazima tujue pia hizi proxy style ndio pia zinafanya nchi kama Lebanon, Syria na Iraq kutotawalika ili kuwa safe ground Kwa hivi vikundi na main target ikiwa Israeli ambaye sidhani kama anapata mazara makubwa kuliko Syria, Iraq, Lebanon, Yemen nk.

Binafsi nahitaji kuiona amani siku moja mashariki ya Kati watu wote wakae kwa amani maana jamaa upande ule inateseka sana na kudhidi kukuza chuki za vizazi na vizazi.
 
Ina maana hawakujua kuwa kombola limetumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…