Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kama kuna mahali viongozi wa Wapalestina walitakiwa wajisikie salama ni Iran hasa baada ya mnyukano wake na Israeli. Kwamba, inawezekana precision guided missile imepiga jengo la jeshi katikati ya makao makuu ya nchi, siku ya kuapishwa Rais mpya siyo tu kipimo cha ujasiri bali pia ubabe. Sijui Iran watajibuje.
 
Yaani ni bonge la f** you Iran wamefanyiwa
 
Wewe unasomea madrassa halafu unataka kujifanya kushindana na watu wanaosomea mambo ya science and technology/espionage halafu unategemea eti allah akusaidie, allah hawezi kitu hapo.
 
Aisee!
 
Subirini majibu msiongeee kumalizaaa maneno nyie pimbi yaani hapo mmefurai mpk matako yanawacheza cheza
 
Nimeipata mahali:-

Shaheed Ismail Haniyeh was assassinated by an Indian who was a Mossad agent named Amit Nakesh.
At 2 am last night Indian named Amit Nakesh fired 2 MP-ATGM brought in through Indian consulate diplomatic luggage at the room Hamas leader
 
Wewe unasomea madrassa halafu unataka kujifanya kushindana na watu wanaosomea mambo ya science and technology/espionage halafu unategemea eti allah akusaidie, allah hawezi kitu hapo.
Hakuna mahali Allah amefundisha watu wasitafute elimu.
Waislamu watafute elimu.
Ndiyo maana wanatengeneza drones, makombora nk, lakini waende mbali zaidi ya hapo.
Allah hatoi ulinzi kwa watu waliobweteka.
 
Umesema kweli.Sisi katika matukio kama haya huwa tunasema tu INNA LILLAAHI WA INNA ILAYHI RAAJIUUN.
Tunajua yeye ameshatekeleza jukumu lake na malipo yapo kwa Allah.Na kwamba Allah akimuondoa shujaa mmoja huwaingiza uwanjani mashujaa kadhaa zaidi kuliko aliyetangulia.
 
Wewe unasomea madrassa halafu unataka kujifanya kushindana na watu wanaosomea mambo ya science and technology/espionage halafu unategemea eti allah akusaidie, allah hawezi kitu hapo.
Nimecheka....elimu ya madrasa ushindane na.... Israel!!!! Nmewaza tu kile chuo kikuu cha Morogoro cha hisani ya Hayati Mkapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…