Mkuu suala la uarabu limekujaje sasa!?Kwa hiyo na wewe Kosugi lwa vile una sigida usoni unajiona Mwarabu? Nonsense
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu suala la uarabu limekujaje sasa!?Kwa hiyo na wewe Kosugi lwa vile una sigida usoni unajiona Mwarabu? Nonsense
Kabisa,kama netanyau ukimuangalia ana sura ya kiarabu kabisa.Kwa nini Hao waarabu wao huwa hawawezi kulipiza kiasi kwa viongozi wa kiyahudi wakati naona kama wayahudi na waarabu wanafanana tu.
Yaani ni bonge la f** you Iran wamefanyiwaKama kuna mahali viongozi wa Wapalestina walitakiwa wajisikie salama ni Iran hasa baada ya mnyukano wake na Israeli. Kwamba, inawezekana precision guided missile imepiga jengo la jeshi katikati ya makao makuu ya nchi, siku ya kuapishwa Rais mpya siyo tu kipimo cha ujasiri bali pia ubabe. Sijui Iran watajibuje.
Hamas wa Buza wanajua hata Mmarekan anawaogopa HouthiHamas wa Buza watabisha.
Wewe unasomea madrassa halafu unataka kujifanya kushindana na watu wanaosomea mambo ya science and technology/espionage halafu unategemea eti allah akusaidie, allah hawezi kitu hapo.Iran na mataifa mengine ya jirani na Israel zinapigana vita kizamani sana.
Mataifa ya ghuba yanapaswa kuwekeza kwenye ujasusi kabla haijafikiria chochote.
Zenyewe zinadhani kumiliki drones, na makombora ya masafa marefu inatosha.
Dunia ya leo kama huna mbinu za kijasusi unafeli pakubwa.
Nchi za ghuba wana pesa lakini hawataki kusoma ili kujifunza namna bora ya kujilinda
Israel ni kitaifa kidogo sana lakini wamewekeza sana kwenye ujasusi, hivyo wanafanikisha mipango yao mingi.
Iran pamoja na raslimali nyingi walizonazo bado wanapigana vita kwa vitisho vya mdomo.
Acha wapigike ili wajifunze.
Aisee!Kiongozi mkuu wa Hamas Ismail Haniyeh ameuawa nchini Iran, kundi hilo limesema.
Katika taarifa iliyotolewa leo siku ya Jumatano, Hamas imesema Haniyeh aliuawa kufuatia uvamizi wa Israel kwenye makazi yake mjini Tehran.
Kwa mujibu wa kundi hilo, Haniyeh alifariki baada ya kushiriki sherehe za kuapishwa kwa Rais mpya wa Iran Masoud Pezeshkian aliyeapishwa siku ya Jumanne.
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Irani lilisema chanzo cha "tukio" hakijafahamika mara moja lakini "kinachunguzwa", shirika la habari la AFP liliripoti.
Usicheze na MOSSAD
=========
Ismail Haniyeh alikuwa mmoja wa viongozi wakuu wa Hamas kwa miongo miwili iliyopita, akiongoza shughuli za kisiasa za kundi hilo la kijeshi akiwa uhamishoni nchini Qatar katika miaka ya hivi karibuni.
Jumanne ya tarehe 30 Julai, 2024, Bw. Haniyeh alikuwa Iran na wanachama wengine wakuu wa "mhimili wa upinzani" wa Iran — ambao unajumuisha Hamas huko Gaza, Hezbollah nchini Lebanon na Wahouthi huko Yemen — kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa rais mpya wa Iran.
Kama kiongozi wa kisiasa wa Hamas, alikuwa muhimu katika mazungumzo na diplomasia yenye hatari kubwa ya kundi hilo, ikiwemo mazungumzo yaliyokwama ya makubaliano ya kusitisha mapigano na Israel.
Haya ndio tunayojua: Kiongozi wa Hamas huko Gaza
Bw. Haniyeh aliteuliwa kuwa kiongozi wa Hamas huko Gaza mwaka 2006. Mwaka huo, alihudumu kwa muda mfupi kama waziri mkuu wa serikali ya umoja wa Palestina, ambayo ilivunjwa baada ya miezi ya mvutano uliyojumuisha mapigano ya silaha kati ya makundi ya Palestina.
Mwaka 2017, aliteuliwa kuwa kiongozi wa ofisi ya kisiasa ya Hamas wakati ambapo walikuwa wakijaribu kupunguza taswira yao ya umma walipokuwa wakijaribu kushawishi Wapalestina na kimataifa.
Bw. Haniyeh aliongoza Hamas kutoka Qatar na Uturuki katika miaka ya hivi karibuni. Alikuwa miongoni mwa wajumbe wa mazungumzo yanayoendelea kati ya Israel na Hamas, yaliyosimamiwa na Misri, Qatar na Marekani, kumaliza vita vya Gaza kwa kubadilishana na mateka waliotekwa kwenye shambulio lililoongozwa na Hamas dhidi ya Israel.Kupanda kwa Madaraka
Alipozaliwa
Bw. Haniyeh alizaliwa mwaka 1962 katika kambi ya wakimbizi ya Shati kaskazini mwa Jiji la Gaza, kwa wazazi wa Kipalestina ambao mwaka 1948 walihamishwa kutoka nyumbani kwao katika eneo ambalo sasa ni Israel, huko Ashkelon. Alisoma katika shule zinazoendeshwa na shirika kuu la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Wapalestina, UNRWA, na kuendelea kusomea fasihi ya Kiarabu katika Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Gaza.
Alikamatwa na jeshi la Israel na kuhudumia vifungo kadhaa katika magereza ya Israel miaka ya 1980 na 1990.
Kushika madaraka
Kupanda kwake madarakani huko Gaza kulisaidiwa na mshauri wake, kiongozi wa kiroho na mwanzilishi wa Hamas, Sheik Yassin, ambaye alimtumikia kama katibu binafsi. Wawili hao walikuwa malengo ya jaribio la mauaji ya Israel mwaka 2003; mwaka uliofuata, Bw. Yassin aliuawa na jeshi la Israel.
"Haupaswi kulia," Bw. Haniyeh aliwaambia umati uliojitokeza nje ya Hospitali ya Shifa huko Jiji la Gaza wakati huo. "Unapaswa kuwa imara, na unapaswa kuwa tayari kwa kulipiza kisasi."Anatafutwa na Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu
Mwezi Mei, mwendesha mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu alisema atatafuta kibali cha kumkamata Bw. Haniyeh. Mwendesha mashtaka alimshutumu yeye na viongozi wengine wa Hamas kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu kuhusiana na shambulio la Oktoba 7 dhidi ya Israel, ikiwemo "kuteketeza, mauaji, kuteka mateka, ubakaji na unyanyasaji wa kingono katika kizuizi."
Familia yake kuuawa na Israeli
Mwezi Juni, Hamas ilisema kuwa dada wa Bw. Haniyeh na familia yake waliuawa katika shambulio la kijeshi la Israel kwenye nyumba ya familia ya Haniyeh huko Gaza, madai ambayo jeshi halikuthibitisha. Mwezi Aprili, watoto watatu wa kiume wa Bw. Haniyeh kati ya watoto wake 13 waliuawa na vikosi vya Israel katika operesheni nyingine ya kijeshi huko Gaza.
Alikuwa mkaidi mbele ya hasara hiyo, na jambo kuu katika maisha ya Bw. Haniyeh ilikuwa: "Hatutasalimu amri" Bw. Haniyeh alisema wakati huo, akibainisha kuwa tayari alipoteza jamaa kadhaa katika vita hivyo.
Nimeipata mahali:-Kama kuna mahali viongozi wa Wapalestina walitakiwa wajisikie salama ni Iran hasa baada ya mnyukano wake na Israeli. Kwamba, inawezekana precision guided missile imepiga jengo la jeshi katikati ya makao makuu ya nchi, siku ya kuapishwa Rais mpya siyo tu kipimo cha ujasiri bali pia ubabe. Sijui Iran watajibuje.
Inawezekana............Ni wanyama.
Hakuna mahali Allah amefundisha watu wasitafute elimu.Wewe unasomea madrassa halafu unataka kujifanya kushindana na watu wanaosomea mambo ya science and technology/espionage halafu unategemea eti allah akusaidie, allah hawezi kitu hapo.
Umesema kweli.Sisi katika matukio kama haya huwa tunasema tu INNA LILLAAHI WA INNA ILAYHI RAAJIUUN.Ni siku mbaya sana kwa hawa viumbe
Ritz
Webabu
Morogoro kaskazini
Adiosamigo
Kosugi
Malaria 2
FaizaFixy
Bwana Utam
kimsboy
List ni ndeeefu mno
Nani tumtumie Rambi rambi
Umesema kweli.Sisi katika matukio kama haya huwa tunasema tu INNA LILLAAHI WA INNA ILAYHI RAAJIUUN.Siyo ugomvi wa kuumizana kimwili bali physical altercation. JF tamu kichizi likija swala la debate/ malumbano ya hoja hasa kwenye international forum.
Pande mbili zinapokabiliana yani jamvi linachangamka kweli kweli.
Leo Asubuhi breaking news baada ya kiongozi wa Hamas Ismail Haney kuuwawa na shambulizi kutoka Israel breaking yani jamvi limetokota kuchangamka na kulipuka balaa.
Hawa miamba wameshikwa na kibaridi flani wamepooaaa hata wakichangia wamelegea Ritz Adiosamigo Malaria 2 kimsboy incharge Webabu FaizaFoxy
Wamemuacha dogo Jagina ndo amebaki kuwa active. Lakini cha kuhuzunisha na kusikitisha badala akabiliane na hoja yeye anamshambulia tu Mungu Yesu. Amuache Yesu wetu bana.
Imam Hussain kipenzi chetu cha dhati Allah Allah ampe qauli thabeet.
Myahudi amejipanga this time. Tulia mnyolewe magaidiSubirini majibu msiongeee kumalizaaa maneno nyie pimbi yaani hapo mmefurai mpk matako yanawacheza cheza
Nimecheka....elimu ya madrasa ushindane na.... Israel!!!! Nmewaza tu kile chuo kikuu cha Morogoro cha hisani ya Hayati Mkapa.Wewe unasomea madrassa halafu unataka kujifanya kushindana na watu wanaosomea mambo ya science and technology/espionage halafu unategemea eti allah akusaidie, allah hawezi kitu hapo.
Wapo mpaka kwenye jeshi lao, mpaka kwenye viwanda vyao vya silaha mpaka kwenye kilemba cha babu Tolah wamoWaliomuua hawajakamatwa?
Isije ikawa ni Wairan wenyewe maana sizani kama kuna wayahudi wanaishi Iran.