Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Wavaa kobaz ni watu gani?Russia na USA ndio nchi za Kwanza kuitambua Israel.
Israel ni moja watu wanaozungumza Lugha Kirussia kwa wingi nje ya nchi zilizokuwa Soviet Union.
Watu wasiojua Israel ni moja kati ya nchi 10 ambazo Watu Russia huamia kwa wingi, kwa maana nyingine Undugu wa Damu wa Russia na Israel ni mkubwa na muhimu kuliko wavaa Kobazi na Russia
Mbwa kala mbwaWaliomuua hawajakamatwa?
Isije ikawa ni Wairan wenyewe maana sizani kama kuna wayahudi wanaishi Iran.
Iran kuna Wayahudi na Iran ni Nchi ya Kwanza Mashariki ya Kati kuitambua Israel kama nchi mwaka 1948, mambo yabadilika alivoingia AlyatollaMbwa kala mbwa
The magaidisWavaa kobaz ni watu gani?
jagina MUNGU anaweza kuwa chochote,usidhani unamjua MUNGU.Hawa hawamuabudu mtu anayekunya , wanakula kifo ni hali ya kila kiumbe. Hasara ni kufa ikiwa unayemwabudu mungu anayekunya hapo utaenda motoni tu
Bibi sasa si uende Gaza ukafe kifo chema?Hakuna Muislam asiyejuwa kuwa anatembea na kifo chake na kila siku tunaomba tufe kifo chema, hakuna kifo chema zaidi ya kufa shaheed.
Wasiyo Waislam falsafa hiyo ya Uislam inawapa shida sana kuielewa.
Siyo kweli, tatizo kubwa ni utajiri na mai walizjaaliwa kwenye ardhi zao.Tatizo la Msingi la middle east ni Uislam hauna rafiki always Wana sababu ya kupigana wao kwa wao.
Egpty na Iran walikuwa hawaongei kwa zaidi ya miaka 30 na Hadi Leo hawana mahusiano mazuri
Hayajaanza leo na hatutegemei kwisha leo. Mashariki ya kati haitatulia mpaka mazayuni na mabasha zao wasalimu amri.Yaani ndani ya Saa 12 tu Kudadadeki tumemmaliza Mpumbavu aliyeko Lebanon wa Hezbollah na yule wa Hamas aliyekuwa Iran. Halafu tulivyokuwa na Akili tumeuchuna / tumenyamaza kama vile siyo Sisi huku tukiwasikilizia tu Wapumbavu katika 'Saitimira' zetu ili wakileta tena Fyoko Fyoko tunaua tena Wengine. Watanyooka tu.
Umemtukana bhana tena kwa kejeli, endelea kumtukana ujifurahishe nafsi yako.
Mtu asiyethamini Maisha ni mjinga.Hakuna Muislam asiyejuwa kuwa anatembea na kifo chake na kila siku tunaomba tufe kifo chema, hakuna kifo chema zaidi ya kufa shaheed.
Wasiyo Waislam falsafa hiyo ya Uislam inawapa shida sana kuielewa.
Nenda kasome Kutabu cha Mwanzo kwenye Biblia. Biblia Ndiyo Jibu. Achana na Mudi mbakaji Pedophile
My baby FaizaFoxy umeongea kinyongeHayajaanza leo na hatutegemei kwisha leo. Mashariki ya kati haitatulia mpaka mazayuni na mabasha zao wasalimu amri.
Kauliwa Arafat wa Palestina wakadhani ndiyo movie imekwisha, kumbe ndiyo wameianzisha upya.
Hii ya Hanniyeh ni kichocheo cha kuongeza "Hamas"a ya Wapalestina kujikombowa.
jagina MUNGU anaweza kuwa chochote,usidhani unamjua MUNGU.
Wangaliwarudisha Wale mateka wao kwanzaHawa MOSSAD ni Hatari sana walianza na Rais wa IRAN waliona analeta KidomoDomo wakamtembeza Naaangaliaga SERIES ile ya TEHRAN Naona ni kiasi gani MOSSAD wamejipenyeza usije kushangaa waziri wa IRAN wengi ni Vibaraka wa Israel Kimya Kimya
Huenda hiyo ni sababu inawafanya waendelee kuwamaliza HAMAS kwa sababu wakipewa mateka watakosa sababu ya kuwamaliza HAMAS bora utoe wachache ila umalize kabisa mzizi wa FitinaWangaliwarudisha Wale mateka wao kwanza