Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Wavaa kobaz ni watu gani?Russia na USA ndio nchi za Kwanza kuitambua Israel.
Israel ni moja watu wanaozungumza Lugha Kirussia kwa wingi nje ya nchi zilizokuwa Soviet Union.
Watu wasiojua Israel ni moja kati ya nchi 10 ambazo Watu Russia huamia kwa wingi, kwa maana nyingine Undugu wa Damu wa Russia na Israel ni mkubwa na muhimu kuliko wavaa Kobazi na Russia