Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Tayari na afisa mwandamizi wa hezbollah Fahud shukr ameuawa mshauri mkuu wa NasrullahHii ni hasira ya kushindwa vita huko ghaza kwa style hii ndo wapiganaji wa Hamas watapandisha mzuka wa kufa mtu
Hahahahaha, jf bana ,kwamba humuamini mleta uzi ikabidi uhakikishe ?safi sana unajitofautisha vzr sanaImebidi nikahakikishe kwenye vyombo vikubwa vya habari, ni kweli ameuawa.
Dah!
Bora warushe taulo wabaki kama Gen Z tujue hawana kiongozHamas wamefeli pakubwa mno, wameshindwaje kumlinda kiongozi wao Mkuu? Sasa kama kiongozi kauawa kuna nini tena? Warushe taulo basi.
Arafat ilikua ni natural death ?Alikufa natural death, hakuuawa.
Hizi vita akili inahitajika sana zaidi ya mizuka ya ajabu ajabu,, waarabu wanataka kupigana kama enzi hizo za kupigana na majambia, halafu hapohapo kwa ujinga wao wanazungukana,,,,waarabu ni kama waafrika tu sema wao kidogo wameachiwa tusenti ila kichwani hazimo,,, ndo maana hata Iran mwenyewe anacheza kwa step maana anawajua waarabu walivyoHii ni hasira ya kushindwa vita huko ghaza kwa style hii ndo wapiganaji wa Hamas watapandisha mzuka wa kufa mtu
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya kimataifa, kiongozi mkuu wa Hamas ameuwawa huko Tehran wakati akijiandaa kuhudhuria uapisho wa Rais mpya wa nchi hiyo ...
Israel war on Gaza updates: Fears of escalation grow after Haniyeh killing
These were the updates on Israel’s war on Gaza for Wednesday, July 31.www.aljazeera.com
Hofu imetanda ya uwezekano wa vita kamili kati ya Hezbolah na Israel kutokea, kwani hapo jana pia Kamanda mkuu wa Hezb nae kauwawa katika shambulio la kulipa kisasi kufuatia mauaji yaliyofanywa n kundi hilo huko kwenye milima ya Golan.
Tuongeze maombi.
Kulingana na nyakati tulizoko, NB going to the Mark 2000yrs, hizi vita they are going to get nasty 😳. Kibaya zaidi waislamu wakiaminishwa na Quran yao kuwa watawaangamiza wayahudi na baadae wakristo ili dola ya kiislamu ishike hatamu duniani kote wanawatanguliza maskini wapalestina wawatu vitani wakiwaaminisha kuwa wanapigana vita ya Allahexpand...
Israel mafia sana, sasa anataka adabu ifuate mkondo wake. Kumbe Ismail Haniya alikua Tehran ndio maana alikua anajifanya kuapa kila siku. Nasrallah anahisi kama kafanikiwa kukwepa risasi.Katika hali isiyotegemewa, Israel imeamua kuanza winda vichwa vya nyoka.
Siku ya jana walishambulia na kuua wakubwa huko Lebanon
Waliouawa ni COS wa Hezbollah Bwana Shukr
Isivyotegemea kapiga ndani ya Iran na kumuua Kiongozi wa Hamas Haniyeh
Israel kaona njia pekee ni kuwatoa viongozi.
Hamas sasa imekwisha maana Heniyeh ndio alikua na mikakati yote kichwani akisaka fedha huku na huko na silaha. Yaani ni mtu mwerevu sana ambae hili la kuuwawa kwake imekua pigo kubwa sana kwa Hamas.Baada ya US kuwabana Qatar kuhusu kumfadhili, ilibidi Qatar wanyooshe mikono na kumtaka aondoke ndipo wakafanya kikao wakapatangaza wanahamia Iraq, lakini wamefia Iran.
Utawalaumu bure Hamas, kama waliweza kuhamia Iran kimyakimya sehemu ambayo haikuwa na chembe ya hatari kwao ulitaraji wafanye lipi zaidi ya hilo?
Achana na propaganda mkuu,hao waisrael toka mwaka jana Hadi Leo wao kama Wana uwezo si wangeimaliza hii vita mapema kabisa inakuaje vita vinapiganwa huu karibia mwaka na wao ndio wenye technology kubwa na wanasapotiwa Karibu na ma super power yote duniani? Wayahudi walivhofanikiwa ni kumilik vyombo vya habari vingi na vikubwa duniani yaani wanaweza kutengeneza propaganda na wakaaminika ila ni weupe Tu na tayari hii vita Isha waelemea Kwa wao mi nasema wameelemewa unabishanaje na taifa lisilo na nguvu Kwa muda wote huuKwa nini Hao waarabu wao huwa hawawezi kulipiza kiasi kwa viongozi wa kiyahudi wakati naona kama wayahudi na waarabu wanafanana tu.
Kwani Yuda Escariot si alikuwa middle east, watasaliti vipi mababu!?Takbiiir.......waarabu hadi siku wakiacha kuzungukana kidogo pataeleweka
MOSSAD wakisha amua lao. Wanakuundia Kikosi kazi kitakachokuwa kina kulia timing 24x7! Ata kama wanapigana Vita ya Dunia Kikosi kazi chako kitakuwa kina deal na wewe tu ,Akina kazi ingine na Bajeti wanayotaka watapewa tu mpaka kieleweke.Once MOSSAD marked some one for death no way outMOSSAD kila kitu wanakichukilia personal, wewe ishi katik kikundi fanyeni maamuzi ktk pack But je unaweza jilinda nje ya kundi lako??
Mission accomplished.
Acha watawaliwe tu na wazayuniKwani Yuda Escariot si alikuwa middle east, watasaliti vipi mababu!?
BREAKING: Hamas political leader Ismail Haniyeh has been killed in Tehran, Iranian state media reported on Wednesday, citing the Islamic Revolutionary Guard Corps. Hamas said Haniyeh was killed in an Israeli “raid” on his residence.