Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kila siku ndio maneno haya haya "hii inakwenda kuwa vita kali...." huku watu wanazid kuangusha moja moja..
Sasa vita ni strategy na how strategically you win kwa kuassasinated political leader labda ukisema wana dismantle the war machinery hapo sawa ila kwa kutarget leader hiyo ni psycho war either impandishe mori zaidi adui au imshushe ikimshusha amewin ikimpandisha mori mori adui basi ameloose
 
ila mnyazimungu wenu wa kiarabu anawadanganya sana. ati hapo mnasema amekufa kwa kupigania mambo ya mnyazimungu. yupi? kama angekuwa na nguvu si angewasaidia wapalestina na waarabu wanaochakazwa kila siku? au albadili zake si zingewanasa wayahudi wanaowaonea kila siku? mungu wa kiislam ni fake imagination ya mungu, ama la, ni ibilisi mwenyewe ambaye hana nguvu yeyote kwa Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo yaani Mungu wa Israel. wayahudi wameingia msikitini hadi wamelawitiana lakini hakuna hata albadili imefanya kazi, waarabu wameomba weee kwa miaka 70 sasa kuita huyo mungu wengu, hasikii? si ashuke aje awasaidie.
Mbona yule ambaye Yesu alisema ni bora kuliko yeye aliuliwa. Kufa kwa kila kiumbe ni wajibu. Hasara kufa kwa kumuabu mtu Yesu aliyekula na kunya Kama wewe. Kwa kufanya hivyo Mungu hakusamehe .
 
Hii inaonyesha kabisa mipaka ya Iran inaweza kuingilika kirahisi mno.
Ni mara kadhaa Israeli anafanya mauaji ndani ya Iran lakini Iran hawezi kupenetrate na kufanya mauaji ya siri kwa viongozi wa Israeli
Jambo pekee na ambalo hakuna jamii yoyote ya Binadamu imeweza ni Kutunza utamaduni wao.

Mashariki ya kati watu walikuwa na utamaduni tofatuti tofauti kabla ya kubadilika na kuwa Waislam Wayahudi wameishi nje ya nchi yao miaka 2000 lakini hawakuwahi kuacha utaifa wao, Yemen, Iraq na Iran unazoziona leo zilikuwa nchi zilizojaa Wayahudi lakini hakuogopa maneno au mateso ya majirani zao. Sasa wanachi, Jeshi, Hela unategemea nini?
 
Kufa shahidi ni kitu bora katika uislam.
Hivyo matokeo ya vita kifo ni tokeo moja wapo.
Tusubiri tuone majibu yatakuaje.
Sorry for your loss.

Pata faraja kutoka kwa kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Allah Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma ampe qauli thabeet
 
Hii inaonyesha kabisa mipaka ya Iran inaweza kuingilika kirahisi mno.
Ni mara kadhaa Israeli anafanya mauaji ndani ya Iran lakini Iran hawezi kupenetrate na kufanya mauaji ya siri kwa viongozi wa Israeli
1.Russia.
2. Korea ya Kiduku.
3. China.
4. Iran.
5. Cuba
6. Syria, lebanon, Iraq, Kuwait, Yemen, Egpty, na vijinvhi vingine kama 80 vimeshindwa kuua kiongozi yeyote wa Mayahudi.
 
Jambo pekee na ambalo hakuna jamii yoyote ya Binadamu imeweza ni Kutunza utamaduni wao.

Mashariki ya kati watu walikuwa na utamaduni tofatuti tofauti kabla ya kubadilika na kuwa Waislam Wayahudi wameishi nje ya nchi yao miaka 2000 lakini hawakuwahi kuacha utaifa wao, Yemen, Iraq na Iran unazoziona leo zilikuwa nchi zilizojaa Wayahudi lakini hakuogopa maneno au mateso ya majirani zao. Sasa wanachi, Jeshi, Hela unategemea nini?

Nakubaliana kabisa na wewe, inawezekana ndani ya Iran kuna Jews wengi sana tena wengi ni Mossad kabisa wenye mafunzo ya kijeshi na kijasusi.
 
Huo Si msiba kwani ni wajibu wa muislamu kupigania haki yake. Kufa ni lazima kwa kila kilichoumbwa. Hasara ni kufa kwa kumshirikisha Mungu na kiumbe kwa kuabudu mtu au kitu
Qur'an 2:154. Wala msiseme kuwa wale walio uwawa katika Njia ya Mwenyezi Mungu ni maiti; bali hao ni wahai, lakini nyinyi hamtambui. 154
Hawa Waislam ndiyo wanafanya hii vita iendelee, ona sasa wanavyojishitaki wenyewe kwa haya maandiko ya Quran. Ndiyo hivyo hivyo wanawatoa kafara maskini wapalestina wa watu wakiwahadaa kuwa vita hiyo ni ya Allah, wao kufa ni dhwawabu kwa Allah, wataridhi mabikira 72 mbinguni. Kitabu chao kinawaelekeza kuwaua wayahudi na wakristo ili uislamu utawale Dunia. Sasa ngoja tuone mwisho wake. Na huyo Iran wanayemshabikia wajue ni Shia; kuna vita mtaipata kati yenu Sunni na Shia hamtakuwa salama
 
Back
Top Bottom