The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Mandela alisimamia taifa lake Afrika Kusini, Kinjektile na Mkwawa walitetea falme zao, je Hizbollah wamedhulumiwa mimi na nani ?! Waislamu wa Bukoba waliochoma makanisa kisa Quran kuchanwa Canada walidhulumiwa nini na waumini wa makanisa ya Bukoba ?Unamaana kama walivyofinywa kina Mandela, Kinjekitile, Mkwawa na wa namna hiyo?