ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wewe punguani bila USA hako kanchi kadogo kama mkia wa mbuzi hakawezi kituWewe bila ya Msaada wa kutoka CCM Makao Makuu kwa Uchawa wako Kwao leo hii ungeweza kuwa na haya Maisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe punguani bila USA hako kanchi kadogo kama mkia wa mbuzi hakawezi kituWewe bila ya Msaada wa kutoka CCM Makao Makuu kwa Uchawa wako Kwao leo hii ungeweza kuwa na haya Maisha?
Ndio baba wa kale kanchiSiku zote kobaaz akitwangwa ni lazima katika kilio chake amtaje USA ndo ataridhika na kuamini kilio kimesikika.
Wafilisti ndio kina nani?Tokea enzi za Wafilisti Marekani alikuwepo?
Aliuliwa kwa sababu gani?Ila hawa yahudi ni nyoko!
Yani kumbe wanapiga doria hadi chumbani kwa Ayatollah kabisa! Maana huyo gaidi kauawa sebuleni kwa Ayatollah kabisa.
Hapa sasa Naanza kuamini yule rais wa Iran aliepotea na ndege msituni juzi kati aliuliwa na hawa hawa yahudi.
Iranj bado sana
Yeah>Nimeona na hiyo "mito ya pombe" hapo lakini mzee kwa uchovu na umri huo alokuwa nao anatatoboa? isijekuwa wale vijana watamchapia.Usione aibu kusema YESU KRISTO WA NAZARETI aliye hai!
Mzee Haniyeh anamalizia bikra ya nne sasa
Wewe punguani bila USA hako kanchi kadogo kama mkia wa mbuzi hakawezi kitu
Inasemakana yeye anaishi nchini QatarYahya Sinwar pona yake ni hao mateka wakiyahudi wanaomzunguka ana Hama nao kila baada ya masaa manne chino ya handaki.
nenda kasome "suratul ban-israil" ndo utajua wa kwa nini ALLAH aliteremsha madina "suratul munafiqun-sura ya wanafiki"Wapi nimeongelea uislam ndugu? Wapi nimesema miye ni mwislam? Kulikoni kuwa na mawazo finyu hivyo?
"Supporting Palestinians is a duty, whatever the sacrifices are."
Hapo ni statements za wapenda haki wote isipokuwa kwa wasiojitambua.
Kwamba ulipo wewe labda ni kamanda na uko unasubiria katiba mpya.
Mtakomaa sana makamanda. Mtakunja ngumi na kuzungusha sana hadi vibiongo viwatoke.
imhotep nduguyo mwingine huyo hapo.
Nasikitika kusema:
"Bure kabisa!"
Punguani ni wale Waliokuzaa na siyo Mimi.Wewe punguani bila USA hako kanchi kadogo kama mkia wa mbuzi hakawezi kitu
Kudadadeki!!! Hivi na wale Houthi wa Yemen vipi? Wamekuwa kimya nao hatuwasikiiKobaz fc mnachungulia uzi kama mnaaga maiti
Aliuliwa kwa sababu gani?
Mbona kuna tetenasi kwamba ni kombora tokea kurdistanMkuu kuna maeneo umedanganya.
-Kamikaze drone za Iran hazikufeli Russia,zimeprove kuwa na ufanisi na zishapelekwa zingine zinatumika.
Drone iloshambulia Tel Aviv kwa kutumiwa na Houthi haikuwa detected mpaka ikafanya shambulio it means iron dome ilifeli kuigundua,na hiyo ni Iranian made.
Drone zote ambazo anatumia Hizbollah Lebanon kumshambulia Israel ni Iranian made.Na hazikuwahi kufeli zote zimeshambulia Galilaya kwa ufanisi na kuleta damage.
-Makombora anayotumia Hizbollah ambayo ni guided ballistic missiles ambayo yalionesha kukwepa air defence system na kushambulia Northern Israel kikamilifu na yalirushwa guided missiles 680 tokea October yote yalipenya succesfully na hakuna hata moja Iron dome waliweza kulidungua.Na yote hayo ni Iranian made.
-Iran ana varieties of missiles ambazo zina uwezo tofauti tofauti nenda kafuatilie mkuu,yale makombora alotumia Iran dhidi ya Israel hayakua guided missiles,Na cha kushangaza ni light unguided missiles licha ya mataifa manne kumsaidia Israel kuya intercept bado makombora 7 yakapenya.Jiulize kama Iran angetumia kombora lenye usanifu kama lile alilopiga kwenye kambi ya USA Iraq 2018 lingetokea nini.
Tukirudi kule kuhusu teknolojia ya ndege,mkuu teknolojia ya drone na aircraft hazifanani.
Huwezi ukafananisha uundaji wa drone na helikopta au ndege kamili.
Iran ana teknolojia kubwa katika uundaji wa kamikaze drone ila uundaji wa aircraft bado haijajipambanua.
Kuhusu ADS kazifuatilie BAVAR-373 na Khordak air defence systems.
Ndizo zilidungua drones za upelelezi za USA.
Pia usisahau kipindi cha Obama 2013 kuna drone za USA zilishushwa pasi na kulipuliwa ndani ya anga la Iran,je hiyo ni tech ndogo mkuu.
Shambulio la Haniyeh lilifanyika ndani sio nje ya mipaka ya anga.
Hatoi mguu kwenye mahandaki.Huyo wana muogopa wangetaka wangefanya hivyo jana TU
Wewe punguani,Hako kanchi ka mashoga zako unakokashabikia hamna kitu.Punguani ni wale Waliokuzaa na siyo Mimi.
Tumeshasema sana hapa JamiiForums kuwa hakuna wa Kupambana iwe Kivita na Kijasusi na Israel kwani hawa Jamaa licha tu ya kuwa Taifa Teule la Mwenyezi Mungu lakini pia Wamebarikiwa mno Akili Kubwa, Uzalendo wa Kweli na Vipawa Vikubwa sana vya Kuijua Vita na kuifanikisha Vita ile Kikamilifu kwa Kupambana na Adui mahala popote pale.
Wewe mpaka unaona kabisa GENTAMYCINE tokea najiunga hapa JamiiForums mwaka 2013 hadi leo 2024 nimeweka tu Avatar yangu hapa JamiiForums ya Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin BIBI Netanyahu hujiulizi kwanini Namkubali vilivyo huyu Mwamba na hawa Waisraeli?
Hakuna wa Kupambana na Israel duniani.
Imeisha hiyo.....!!
Punguani ni wale Waliokuzaa na siyo Mimi.Wewe punguani,Hako kanchi ka mashoga zako unakokashabikia hamna kitu.
Hata baba wa Taifa alikalaani
Na yule mkuu wamajeshi wakenya nae alikua anafadhili magaidi?Anafadhili magaidi
nenda kasome "suratul ban-israil" ndo utajua wa kwa nini ALLAH aliteremsha madina "suratul munafiqun-sura ya wanafiki"
Unaongea kutokea wapi ndugu?Iran kajikita sana sehemu tatu mkuu na hizo sehemu yuko vizuri kuliko Israel.
-Uundaji wa Air defence systems.
-Uundaji wa multi rocket launchers Na ballistic missiles.
-Uundaji wa drones.Hata ile Drone ilopenya Tel Aviv Na kushambulia pasi na kuwa detected ni Iranian made.
Hizo sehemu Iran amepaboresha sana.
zimmerman hawezi elewa hili.Bro mossad waliwah kuiba mafurushi yote ya documents za mipango ya Iran kutengeneza nyuklia na yakasafirishwa kilometer 6000