Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran

Sasa usitupigie makelele yako hatutaki kusikia huo usheitwan wako wa ubaguzi.

Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili​

Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu
 
Na sisi hatutaki uswahiba na magaidi

Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili​

Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. HAPA WANATAHADHRISHWA WAISLAM
 
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili​

Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu
Benjamin Netanyahu kanyagia hapo hapo fyekelea mbali hao masheitwan
 
Benjamin Netanyahu kanyagia hapo hapo fyekelea mbali hao masheitwan

Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili​

Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. HII AYA WANATAHADHARISHWA WAISLAM
 
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili​

Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. HAPA WANATAHADHRISHWA WAISLAM
Netanyahu piga kabisa hawa nguruwe
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika

Mada yawahusu wenye ilimu pekee tusio na ilimu tukae tupate maarifa.

Hoja ni swali kuwa kisomo cha albadiri dhidi ya mayahudi waliomuasi Mungu kinawezekana? Kitaleta matokeo fyaliyokusudiwa? Kwanini hakisomwi? Shida Iko wapi?

Niwatakie asubuhi njema
Albadili ni utapeli wa kitishiana waswahili kwa waswahili.....haina nguvu yoyote.
 
Netanyahu piga kabisa hawa nguruwe
AYA HII INAWAHUSU WAISLAM. MBONA UNAKASIRIKA WEWE? KATIKA UISLAM UKIFA SHAHDI FAIDA YAKE NI KUBWA SANA KULIKO HATA UFALME WA DUNIA. KAFIRI KAMA WEWE UKIFA SISI WAISLAM TUNASIKITIKA TUNAKUONA JINSI UNAVYOENDA KUTESEKA BAADA YA KUFA
 
Yule Alikuwa Mwanaume Haswa YASSER. Hata kifo chake Mossad wamehusika 1000%
Kwa kukuongezea nyama tu.. nenda youtube kuna full documentary ya Aljazeera kuhusu kifo cha yasser.. aliuwawa na israel wakishirikiana na Viongoz waandamiz wa palestina ( hawa kina abbas sababu yeye alikuwa pro muslim brotherhood a.k.a HamaS. wakauzika mwili fasta.. miaka kadhaa baadae mkewe Arafat ambae alikuwa naishi na mwanae ufaransa alifungua kesi kule palestina akitaka uchunguzi kwan anahis mumewe hakufa kwa maradhi yakawaida ila alipewa sumu.. viongoz wa palestina wakamchomolea.

ikabid akafungue kesi ufaransa kwenye mahakama ya kimataifa. jaji akatoa hukumu mwili ufukuliwe.. serikali ya palestina ikapigwa presha wakakubali mwili ukafukuliwa . kufanyiwa vipimo upya ukakutwa kweli kulikuwa na mabaki ya chembe chembe ya sumu.. ambayo ni sumu maarufu inayotumiwa na israel walishamkosa nayo kiongoz mmoja wa HAMAS (Khaled meshaal). na kilichomuokoa ni kuwa Majasusi wa MOSAD waliompa hiyo sumu walidakwa kabla hawajatoroka so ikabidi israel wakubali kutoa ant dote inexhange na uhuru wa majasusi wao tena hapo ni baada ya JORDAN kuwaambia Israel jamaa akifa wao wataonekana wameshiriki maana tukio lilifanyika jordan alikokuwa kajificha jamaa..ndo jamaa akakimbiziwa antdote ICU.

ila ndo hivyo mpaka leo sio ndan ya serikali ya palestina au israel walikiri kuhusika na mauaji ya ARAFAT ukumbuke alikuwa 24Hrs analindwa na palestina anahamishwa kila baada ya siku kahdaa, cjakula chake kinaonjwa kabla hajapewa. ila akakamatika baada ya israel kuwatumia hao hao hamas/palestina kumuondoa kiongoz wao..

ndo mjue kuwa ndan ya palestina kuna pro israle.. huyo kiongoz wa Hamas alieuliwa mpwa wake yuko dan ya jeshi la israel..

youtube references

View: https://youtu.be/qr2DULWPzAs ( WHO killed YASSER ARAFAT)

View: https://youtu.be/29DCoAFvQt8 ( Kill him silently - Khaled meshaal)
 
AYA HII INAWAHUSU WAISLAM. MBONA UNAKASIRIKA WEWE? KATIKA UISLAM UKIFA SHAHDI FAIDA YAKE NI KUBWA SANA KULIKO HATA UFALME WA DUNIA. KAFIRI KAMA WEWE UKIFA SISI WAISLAM TUNASIKITIKA TUNAKUONA JINSI UNAVYOENDA KUTESEKA BAADA YA KUFA
Netanyahu fyekelea mbali hao magaidi asibaki hata mmoja
 
Yaani mtu kaamka na hang over yake ya mipombe michafu bila ushahidi analaumu kuwa Chadema wanashangilia kuuwawa kwa gaidi la kipalestina, angetuweke basi hata officia statement ya Chadema wakifurahia kifo hicho, lakini anataka kutushirikisha utopolo wake tu. Huu ni wenda wazimu hata, Mods wanatakiwa threads kama hii ya uzushi wazifute.
Hawa UWT hawana akili
 
Alikufa natural death, hakuuawa.

belive me ARAFAT hakufa natural death.. nenda kaangalia full Documentary ya aljazeera walipoamua kufanya uchunguzi. na kesi ya Mkewe ARAFT aliyofungua hadi mwili wa mumewe ukafukuliwa kwa uchunguzi
 
Ulichoandika unaweza kukisoma na kukielewa?
Surah Al-Baqarah (2:161-162):
  • Swahili: "Wale ambao walikufa wakiwa ni makafiri, kwa kweli, juu yao kuna laana ya Allah na ya malaika na ya watu wote. Wataendelea kuwa chini ya laana hiyo milele, na hawatakuwa na msamaha wala kupunguziwa adhabu."
 
Ukishangaa ya Mussa utaona ya Farau. Wenyewe kutwa wnaalalamika wnatekwa lkn kifo cha Haniya wnaafurahia. Hii inathibitishwa hapa Jf Baada ya user wnaaosupport Chadema ndio hao hao leo wanafurahia.

cc

GENTAMYCINE

Wachaga wanaamini wao ni wayahudi.
 
Surah Al-Baqarah (2:161-162):
  • Swahili: "Wale ambao walikufa wakiwa ni makafiri, kwa kweli, juu yao kuna laana ya Allah na ya malaika na ya watu wote. Wataendelea kuwa chini ya laana hiyo milele, na hawatakuwa na msamaha wala kupunguziwa adhabu."
Wewe ukifa ndiyo utakuwa kuni za kuwachomea magaidi wenzako
 
Back
Top Bottom