Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Attachments

  • Screenshot_2024-10-17-19-22-42-806.jpg
    476.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_2024-10-17-19-22-19-125.jpg
    400.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_2024-10-17-19-21-44-635.jpg
    391.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_2024-10-17-19-21-59-732.jpg
    461.5 KB · Views: 4
"WAS LIKELY"
 
Yahya Sinwar ni Gaidi la Kijihadi ambalo linapigania Msikiti wa Al AQsa na sio Wapalestina.
Yahya Sinwar was a resister, not a terrorist Yahya Sinwar was defending his land against the most despicable people in the history.
God save Gaza and Palestine.
 
Daaah amaa kweli

Wakati kondoo anapiga Radi kichwaa

Sinwar anapigaa kombola kichwaa!

Ivii alidhani kufanana meno na kondoo basi ndongaa yake na kondoo ni sawaah?
 
Hizi taarifa inaonyesha hazijadhibitishwa bado
Nimesikiliza BBC jioni hii
Wanasema bado hazijawa confirmed
 
Ni huzuni kwa ndugu,jamaa na maadui wa mazayuniii in faizafox voice
 
Hivi kumbe Gaza bado wapalestina na Hamas wanapambana tu, Israeli wanashindwaje kumalizana na kamtaa ambako hata wilaya ya Kinondoni ni kubwa.
 
Vita huwa haipo kama unavyoifikiria au kuiona.. Ina mipango mingi sana na usimchukulie adui yako atakutizama tu...

Israel wananjia nyingi sana.. kuna time maamuzi unapewa okay tupige ila wanakupa pa kupiga ili mambo yaishe na ukikosea unarudiwa na wewe game inaanza.. and Vita huwa ni hasara inabidi ukubali hilo kwanza... inaweza fikia ndio ukawa mwisho wako pia.. so maamuzi ni yako.. uchafu wa Viongozi wa dini huwa unawekwa pembeni kabisa.. dini zinatumika hali ikiwa shwari tu... Mlango wa Chuma ndio mwisho wa maamuzi dini ni fikira tu ambazo hatujui kuzitumia sababu Hatuna imani ya kweli viongozi ni wajinga kwa ujumla + jumlisha na mengine kama wizi, uongo n.k.

Vita ni akili na timing.. hata uwe mkubwa unaweza lizwa na timing
 
Hao jamaa kufa ni sehemu yao ya maisha wameshachagua, kifupi wameamua kuwa maiti zinazotembea, hawaifikilii tena dunia bali wanafikilia kilicho mbele yao.

Imagine mtu anaamua kuwa kiongozi wa Hamas na anachagua kuishi Gaza.

Itakuwa ni hatari sana siku ubao ukigeuka na hapo Israeli watu wakaanza kufa, naamini wengi pia watakufa na msogo, na tunapoendea hii vita ikizidi kuchukua muda mrefu Israeli watu na askari wataanza kufa kwa msongo.
 
Ndoto nzuri sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…