Kama yuko hai si wamlete ajitokeze hata huko Iran au Qatar DNA ya nini?Israel wenyewe hawaja confirm
Wanasema nimpaka wafanye vipimo vya DNA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama yuko hai si wamlete ajitokeze hata huko Iran au Qatar DNA ya nini?Israel wenyewe hawaja confirm
Wanasema nimpaka wafanye vipimo vya DNA
Kawaida kwa mwanaume kupenda mabikra. Kuna wengine wanaamini kwenda kucheza na kupakatanaIsrael kawatanguliza viongozi wa magaidi wengi sana! Huko mbinguni wanaweza kusababisha uhaba wa mabikra maana wameenda kwa kufuatana sana
Mwingine huyu hapaYahweh ameshinda
Gaidi lenyewe linampngeza Yahweh unajua maana ya Yahya?!Mwingine huyu hapa
Anakuja mwingine mapambano yanaendeleaGaidi lenyewe linampngeza Yahweh unajua maana ya Yahya?!
Yaani wewe kwa akili yako haujaelewa kwamba hata hapo Gaza au Lebanon Israel anapigana na Iran? Inakuwaje akipigwa Hamas au Hezbullah anayelia ni Iran na huanza kurusha Makombora. Kiongozi wa Hamas au Hezbullah akiuawa lazima Iran ajawe na hasira na kuanza kurusha Makombora wakati aliyeuawa siyo kiongoz wa Iran? Israel anajuwa namna ya kudeal na anayewatuma ndo maana hataki kuhangaika na Iran anachapa mbwa wake ili mwenye mbwa azidi kubwekaKumbe najadiliana na mtoto mdogo!?
Najadiliana na mtu asiyejua lolote.
Hata nilichoongea hujakielewa!?
Wacha nikuelekeze.
Kiongozi aliyeuawa alikua ni Qassem Suleiman,Iran ililipua kambi ya USA ya IRAQ na kulitokea vifo na majeruhi.
Trump aliapa kuivamia Iran na aliandaa hadi navy seal wakaishia ghuba ya uajemi na meli zao.
Halafu unasema hawajalipa kisasi!?
Ile kambi ya USA nchini Iraq iliyolipuliwa nani aliilipua!?
Au shangazi yako!?
Tukio la kuuliwa Ismail Haniyeh USA ilimsihi Masoud Peshkizian rais wa Iran kuwa Iran isilipe kisasi wataongea nao kuhusu kuwaondolea vikwazo vya kiuchumi.
Tukio likakaa halikulipwa kisasi wakaja wakamuua na Kamanda wa Iran kule Beirut na pia kuhusu vikwazo hawajajadili kumuondolea vikwazo kama walivyomuahidi.
OKTOBA MOSI MWAKA HUU IRAN ILIRUSHA MAKOMBORA 200 NDANI YA ISRAEL.
HAYO MAKOMBORA 200 ALIRUSHA SHANGAZI YAKO!??
ACHA UHANISI MTOTO WA KIUME.
Kisasi cha Ismail Haniyeh kimelipwa mwezi huu.
Huna akili huna unalolijua.
Iran imeshafanya mashambulizi mara mbili Israel tena ya wazi wazi.
May 2024 ilirusha drones na missile 300 kwenda Israel.
Oktoba mosi mwezi huu huu Iran imerusha missile 200 kuelekea Israel.
TUNATAKA TUMUONE NETANYAHU AKILIPIZA KISASI KWA ISRAEL.
KITENDO CHA IRAN KURUSHA MAKOMBORA ISRAEL NI SAWA NA KUTANGAZA FULL OUT WAR.
NATAKA TUMUONE ISRAEL AKILIPIZA KISASI.
KISASI CHA ISMAIL HANIYEH KIMELIPWA MWEZI HUU WA KUMI TAREHE MOJA.
Ukija uje kwa adabu na uache matusi,ukileta matusi na mimi nakutusi.
Myahudi alishasema
Senior U.S. Officials, including President Joe Biden, have been notified by Israeli Officials that Yahya Sinwar, the Leader of Hamas, was likely Eliminated by a Strike this morning on the Gaza Strip; with DNA and Fingerprint Testing ongoing to determine the Identity of a Body at the Site of the Strike.
SINWAR amekufa kijinga kuliko makamanda wa Hezbollah...
Pia soma
- HAMAS Yamteua Yahya Sinwar Kuwa Mrithi wa Ismail Haniyeh Aliyeuawa nchini Iran
Magaidi wa Hamas hawajawahi kupigwa namna hii Magaidi wanasambaratika 😁😆Anakuja mwingine mapambano yanaendelea
Kwa hiyo akishambuliwa na magaidi atulie kimya Hadi wamalize sio ?Tunaomba aman vita aijawai kuwa jawabu.lkn Israel ndio anadhani vita vitamaliza shida zake kwa ukosefu w amani mm siamini kupitia vita Israel atapata amani sio kweli bali moto utadhidi kuwaka kama ulivowaka kwamiaka 50 sasa apo chap atateuliwa mwengine ivyoivyo ata akifa nae wataweka mwengine kwani washakufa wangapi na awajawai kukosa kiongozi. Hamas itaendelea na vita itaendelea. Asi Israel akumbushuke shaka asubui kuwa alitakiwa achague amani waisrael wangapi wanazikwa na wataendelea kuzikwa uku wapalestina wakizikwa zaid.
Na Netanyau kamchezea mchezo mzuri sana Iran Ile kusema kwamba tutalipa kisasi imemfanya Ayatollah awe busy kungojea kisasi huku IDF ikiendelea kupeleka moto kwa vikundi anavyovifadhili.111Yaani wewe kwa akili yako haujaelewa kwamba hata hapo Gaza au Lebanon Israel anapigana na Iran? Inakuwaje akipigwa Hamas au Hezbullah anayelia ni Iran na huanza kurusha Makombora. Kiongozi wa Hamas au Hezbullah akiuawa lazima Iran ajawe na hasira na kuanza kurusha Makombora wakati aliyeuawa siyo kiongoz wa Iran? Israel anajuwa namna ya kudeal na anayewatuma ndo maana hataki kuhangaika na Iran anachapa mbwa wake ili mwenye mbwa azidi kubweka
Yahya Sinwar was a resister, not a terrorist Yahya Sinwar was defending his land against the most despicable people in the history.Magaidi wa Hamas hawajawahi kupigwa namna hii Magaidi wanasambaratika 😁😆
Mchezo unakwisha kwa Magaidi wa Hamas.
Mchezo unaenda kuwa Finish.
Ayatolah sasa kabaki pekeyake.
Mwenzio anakula bata kuzimu Toka asubuhiKwani tayari imethibitishwa?
Na yule Rais wao ?Ukitaka kuona mashia ni vichaa wa dunia muue kiongozi wao wa dini.
Kheri umuue rais wa Iran kuliko kiongozi wa dini wa Iran.
Na kama ikatokea Israel akafanya hivyo maghala yote ya makombora ya Iran yatamiminwa Tel Aviv.
Kama kumuua tu kamanda wa Iran,Iran inalipiza kwa kurusha mamia ya makombora basi jifikirie kumuua supreme Leader itagharimu kiasi gani.
Yahya Sinwar ni Gaidi la Kijihadi ambalo linapigania Msikiti wa Al AQsa na sio Wapalestina.Yahya Sinwar was a resister, not a terrorist Yahya Sinwar was defending his land against the most despicable people in the history.
God save Gaza and Palestine.
Peponi moja kwa moja, mabinti wanamsubiri 😂😂😂 hizi dini hiziHongera zake Sinwar kwa kuuawa
Who is next?Picha zinatisha, weka tahadhari
Kuna jamaa ni ndugu yake , wamsema ni series yaani anafuata moja kwa moja ...Picha zimezagaa sanaKifo ni moja ya majukumu ukiwa vitani. Kwa taarifa yenu hata afe nani haitakuwa mwisho wa kudai haki. Wapalestina wataendelea kudai haki yao mpaka mtu wa mwisho auwawe.
Kama kule South Africa Mandela alifungwa miaka 27 wengine waliuwawa lakini hawajaacha kupigania haki na uhuru wao mpaka walipopata.
Akifa Sinwar atachaguliwa mwingine mapambano yanaendelea mpaka kielekeweke