Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Al jazeera wanaijadili hapa. Huyu ameenda na maji tayari. Hadi kufikia asubuhi confirmation itakua tayari
 
Hili inadhibitisha wazi kuwa mkono wa majeshi ya Israel ni mrefu sana huwezi kuukwepa unaweza kukimbia lakini mwisho wake watakukamata na kukupa unacho stability kupewa. Hongera sana IDF kwa kazi nzuri ya kutukomeshea wajinga na wapumbavu kama hawa sasa hivi macho yetu ni Tehran tunataka waziri mkuu wa Israel ampande Mfuga Midevu na Majini wa huko Iran.
 

Attachments

  • IMG_0070.jpeg
    IMG_0070.jpeg
    180.4 KB · Views: 2
Leo wamerudi waisrael wa lukenyenge inyonga mvua kitopeni kichangani diombo Leo wapo happy mimi asifiweee bwanaaaa oyeeeee mtetea haki yake ya ardhi kafa jehova wanashangilia na wanaamini wapo ibadan usiposhangilia mungu wao ananuna tafuteni mibaraka itusaidie Tanzania iwe y maziwa na asali
 
Leo wamerudi waisrael wa lukenyenge inyonga mvua kitopeni kichangani diombo Leo wapo happy mimi asifiweee bwanaaaa oyeeeee mtetea haki yake ya ardhi kafa jehova wanashangilia na wanaamini wapo ibadan usiposhangilia mungu wao ananuna tafuteni mibaraka itusaidie Tanzania iwe y maziwa na asali
Shauri yako uko bize kuandika uharo wakati wenzako wakina sinwar nasrallah wanajitafunia bikra zao mujarabu huko
Punguza ujinga tangulia gaza chap upate nauli yako
 
Siwezi kujibu upumbavu. Nenda kamuabudu Brian Deacon. Kazi kukufuru kufanya kama huyo mnayemuabudu mjomba wenu.
Endelea kukufuru nyie mnaamini aliyevaa kichupi msalabani anasamehe dhambi mnafanya mnavyotaka
Mimi na wewe anayesema hakuna MUNGU ISIPOKUWA allah nani anakufuru?
Yaani kumkana Mungu muumba mbingu na dunia na kumuinua allah ni kufuru kubwa sana.
Soma Zaburi 53:1 "Mpumbavu amesema moyoni,hakuna Mungu.
 
Iran italipa visasi vingapi?😂😂😂😂😂

Ila Netanyahu kawaua wengi sana apumzike na yeye
 
Najiuliza hivi Marehemu Gaidi atawawezaje kuwapa Ngono Wanawake 72 huku amebakiwa na Ubongo nusu.
Ile picha inamuonyesha mshangazi Yahya Sinwar alikuwa ameshachoka sana yaani alikuwa amebakia fuvu tu yaani Iran inawatumikisha hawa wapumbavu na wao wanatumika ka toilet paper/kondom
 
Jagina njoo ukanushe😁

Halafu myahudi kwa kutia chumvi kwenye kidonda kwa wanaombong'olea allah anasema

‘The circle is closed, but the mission is not over’: Gantz


Benny Gantz, chairman of Israel’s National Unity Party, has congratulated the Israeli military following the claim that Sinwar has been killed.
“This is an important achievement with a clear message – we will pursue our enemies to the end, anytime and anywhere,” he wrote on X.
He said the Israeli military “will continue to operate in the Gaza Strip for years to come, and now the series of achievements and the elimination of Sinwar must be taken advantage of to bring about the return of the abductees and the replacement of Hamas’s rule”.
 


Senior U.S. Officials, including President Joe Biden, have been notified by Israeli Officials that Yahya Sinwar, the Leader of Hamas, was likely Eliminated by a Strike this morning on the Gaza Strip; with DNA and Fingerprint Testing ongoing to determine the Identity of a Body at the Site of the Strike.

SINWAR amekufa kijinga kuliko makamanda wa Hezbollah...

Pia soma
- HAMAS Yamteua Yahya Sinwar Kuwa Mrithi wa Ismail Haniyeh Aliyeuawa nchini Iran
NANI ANAKUMBUKA SIKU WAMEMTEUA NIKAJIBUU HUYU POYOYO ATAKUFA KIRAHISI SANA KULIKO WENZIE

WALIMPIGA KIMBOLA AKAJAAA....
 
Back
Top Bottom