Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Unahemka sana hadi unashangaza.
Israel hawezi kufanya unachokiota kijana.
Ukitaka hiyo Israel iangamie imuue kiongozi wa dini wa Iran.
Itaangamia hamtaamini.

Acha mikwara mbuzi. Mbona Haniyeh kapigwa ndani ya Irana Tena eneo la Kambi ya jeshi?.
 
Mimi na wewe anayesema hakuna MUNGU ISIPOKUWA allah nani anakufuru?
Yaani kumkana Mungu muumba mbingu na dunia na kumuinua allah ni kufuru kubwa sana.
Soma Zaburi 53:1 "Mpumbavu amesema moyoni,hakuna Mungu.
Jifunze kwanza maana ya Allah ulivyo kilaza. Hata waarabu wskristo wanatumia neno Allah. Ulivyo kilaza unavyotukana unajiona mjanja kumbe kilaza. Angalia lugha ya Yesu alikuwa anatumia lugha yake ya kiasili kiaramu uangalie Mungu wanamwitaje.
Hapa tunakusudia Mungu mmoja aliyeumba viumbe vyote.
Sio nyie mnaabudu picha ya mzungu kazi kutukana. Angalia hata tafsiri Allah The only God. Nadhani umesoma definite article kwenye kingereza.
 
Sitoshangaa kuona watu wakikataa hiki cheooo cha kuongoza hamas

Kinachoendelea inaonekana hawa mabwana wanachomeshana wenyewe kwa wenyewe

Kwa mantiki hii sidhani watu watakubali kirahisi kuongoza hamas

Otherwise

Congratulations Israel
Welldone
 
Usi paint a picture at ni shujaa, Sinwar was on his way escaping gaza with forged passport kwenda Egypt baada ya kuona mbinu zake za kuendelea kujificha miongoni mwa raia kama mwanamke zinagonga ukuta. allah can't help them, because at best he's satan or else ni mungu wa kufikirika aliyetungwa na Paedophile Mohammad
View attachment 3128017
Kwahio wew huto tu tweet ndio ndio unaamini ni information sahihi? Hakuna waongo kama IDF hivi unadhani mpaka leo hawajui mateka walipo angeamua kukaa tu mngempata akiwa na mateka? Hata wenyewe hawakujua mpaka waliposogea alikua na bullet prof na AK, halafu dini ambayo wewe huamini inakukera nini? Sawa ni uongo shida nini wengine wakiamini? Kila mtu na upeo wake na principles zake hivyo huwezi kuwapangia watu na mambo yao ya kiiman
 
Tambua akifa Israel itapata kila aina za msiba.
Narudia kukwambia shia ukitaka kuwaona machizi duniani hakuna muue kiongozi wao wa dini.
Kama kamanda tu wanakurushia makombora 200 sasa jiulize ukimuua kiongozi wa dini watakufanyaje.

Ayatollah hakuna haja ya kumuua. Alishajifia tu
 
Dawa yakee wamalize na kizazi chake kabisa wasionekane tena hapo tunakaa kwa aman wakiishi wale watoto wanakuja kuwa ghaidi kama babayao

Malizanamahawara wakezakewoteeee
Derby 2024

Tar 20 mpaka 25 octb tunavuta mwingne msiseme sanaaaa
Hivi bado mnawaza kukaa kwa aman!? Duuh
 
Wenzetu wako mbali Sana na mambo hayo ya DNA... hii ni picha ya mwili wake baada ya kuopolewa kwenye kifusi na hawa ni wanajeshi wa israel wanaenda kumtupia baharini
20241017_204640.jpg

Ina maa a wanazo prior biometric information za huyu jamaa?
 
Hahaha aljazeera the mouthpiece of Maislamists
Makafiri hata walipotaka kumuuwa Yesu walifirahi Kama wewe , hata kama atakuwa kafa , wewe Huo ukristo wako wa Paulo upoupo huna uhakika nao mbele ni kiza , huna zaidi ya kuendeshwa na shetani mauti yakikufika anakuwacha mkono uangamie peke yako
 
Back
Top Bottom