Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel


Israel ilimtwanga Haniyeh ndani ya Iran. Unataka Nini kingine?. Mmerusha makombora yakaishia kuua mpalestina.
 
Hawawezi kumuua kiongozi wetu kipenzi Hayatoullah.Sisi mashia tutawamaliza na kuwafuta mazayuni katika uso wa dunia.
 
yahya sinwar ni shujaa,amekufa akipigana,akipigania haki ya nchi yake palestina,usimkejeli na hayo ya bikra hayana maana yoyote,wewe hujui chochote kuhusu mateso ya wapalestina,ipo siku haki yao itapatikana
Haki ipi mkuu?
 
Kama mmefuraiya na majini yenu yamelidhika kuona damu ya binadamu mwenzetu imemwagika basi sawa mpo kwenye ibada ya damu namungu wenu anawaongezea mibaraka kwakufuraiya kifo chakiumbe w mungu uyouyo. Akili kumkichwa

Alipowavamia wayahudi na kuwaua Octoba 7 mliona Raha. Leo kafumuliwa ubongo mnaanza kulia kinafiki.
 
Siyo kwamba wanachomeshana sema MOSSAD wana agents hadi kwenye inner circle za adui zao. Si ajabu Ayatoallah akawa ni myahudi aliyefanyiwa plastic surgery.
 
Mapambano yanaendelea.rest in Peace kamanda

Yanaendelea wapi? Kamanda Sinwar alikuwa anatoroka ndio kakutana na maiti. Kilichobakia ni kuwafagia wote waliobaki bila kujali wamejificha hospitalini au shuleni lipua wote ili Gaza ikombolewe.
 
Sasa hv anajilia bikra wexhe macho makubwa na ya kurembua kama giroli kwa mujibu wa kurani
 
Mimi na wewe anayesema hakuna MUNGU ISIPOKUWA allah nani anakufuru?
Yaani kumkana Mungu muumba mbingu na dunia na kumuinua allah ni kufuru kubwa sana.
Soma Zaburi 53:1 "Mpumbavu amesema moyoni,hakuna Mungu.
Hakuna kuingia ukumbini isipokua wenye kadi.. tatizo kiswahili mmekutana nacho shuleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…