Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Kama Benjamin Netanyau anavyopigania haki ya watu wake.Hata Madiba makaburu walimuita gaidi,lakini alikuwa anapigania haki ya watu wake
Wame tangulia mbele za hakhi kuendeleza michezo yao ya kukumbatiana namna hiyo na mabusu hawa hitaji bikra72 kwa muonekano huoKwa wale mlikuwa hamumfahamu huyu ndo Sinwar Yahya wote wawili pichani hawapo Duniani kwa sasa.
View attachment 3128396
Na upande wa pili nao unaona una haki. Suala ni kukaa kumaliza tofauti else wataendelea kupigana vizazi na vizaziMtu anapigania ardhi yake , mtu kazaliwa kweny kambi ya wakimbizi mpaka kufika miake ile kwa maisha yake ni parefu sana ...Wamekufa machifu hapa hata kukatwa vichwa na watu wameondoka navyo ila wamesimamia ukweli .
Anakuja mjinga anafananisha na stori za kina Joshua na clemence .
humjui sinwar fanya utafiti kidogo juu yake,utaupata ukweliKama Benjamin Netanyau anavyopigania haki ya watu wake.
natanyahu anavyochinja huoni?ipo siku haki itamfikia natanyahuAliteka na kuua watoto wa Wayahudi, kile hakujua hao ni namba tofauti, wanatumia sheria za Musa, kwamba jicho kwa jicho, temaneni na Wayahudi.
Endeleeni kuchinja Wakristo ila acheni kabisa Wayahudi, watawaua sana, sasa kaacha Gaza imefanywa shamba, watu wanateseka wanaishi maisha ya hovyo, yeye amejifia na bado hukumu ya jehanamu iko pale maana kafa bila kupokea wokovu.
Alipokuwa anachinja watoto wa Wayahudi mlikuwa mnashabikia, leo mnachakazwa mnaanza kuandika hizi filosofia.
wapalestina wamenyakua ardhi ya wayahudi?Kama Benjamin Netanyau anavyopigania haki ya watu wake.
Ogopa sana watu wanakutana na wewe wako informal kichapo ndo kinakua cha namna ile je wangekua wamejipanga ingekuaje🙄Ripoti zinasema wamekutana nae bila kutarajia
starling hauawi imekuaje tena? uzembe ulikua wap 🐒Hakufia kwenye handaki,kafa anapigana,akipigania haki na uhuru wa watu wake,najua wanamuita jambazi,gaidi na kila jina baya.Hata Madiba makaburu walimuita gaidi,lakini alikuwa anapigania haki ya watu wake.Yahya Sinwar ni shujaa,kafaa kishujaa.
Hawa jamaa mpaka watumie maneno ila Israel hata ukiangalia gwanda zao , zinaonesha eneo kubwa mpaka nchi za jirani ...Israel katika harakati za kujenga Great israel ndio mpango kama mateka anawashikilia miaka .Na upande wa pili nao unaona una haki. Suala ni kukaa kumaliza tofauti else wataendelea kupigana vizazi na vizazi
hakufa kizembe,kafa akipiganastarling hauawi imekuaje tena? uzembe ulikua wap 🐒
Fatilia vyombo vya habari mkuuOgopa sana watu wanakutana na wewe wako informal kichapo ndo kinakua cha namna ile je wangekua wamejipanga ingekuaje🙄
Wako wapi Ben Saanane na Akina Soka? Mmewaua? Why?Hakufia kwenye handaki,kafa anapigana,akipigania haki na uhuru wa watu wake,najua wanamuita jambazi,gaidi na kila jina baya.Hata Madiba makaburu walimuita gaidi,lakini alikuwa anapigania haki ya watu wake.Yahya Sinwar ni shujaa,kafaa kishujaa.
kwahiyo kawaacha waliopigana zaid ya miaka mi5 iliyopita, yeye kafa chap mara moja, right?🐒hakufa kizembe,kafa akipigana
Kwa kuwa alihusika na mpango wa kuuawa kwa watanzania bila sababu ili hali tokea 1961 nchi ilikuwa upande wa palestine kifo ni haki yake ..........wasikie uchungu kama ambao ameusababisha kwa wapendwa wetu kwa familia zao maaana bado wanalia kira siku...........Hakufia kwenye handaki,kafa anapigana,akipigania haki na uhuru wa watu wake,najua wanamuita jambazi,gaidi na kila jina baya.Hata Madiba makaburu walimuita gaidi,lakini alikuwa anapigania haki ya watu wake.Yahya Sinwar ni shujaa,kafaa kishujaa.