Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Mtu anapigania ardhi yake , mtu kazaliwa kweny kambi ya wakimbizi mpaka kufika miake ile kwa maisha yake ni parefu sana ...Wamekufa machifu hapa hata kukatwa vichwa na watu wameondoka navyo ila wamesimamia ukweli .

Anakuja mjinga anafananisha na stori za kina Joshua na clemence .
 
Aliteka na kuua watoto wa Wayahudi, kile hakujua hao ni namba tofauti, wanatumia sheria za Musa, kwamba jicho kwa jicho, temaneni na Wayahudi.
Endeleeni kuchinja Wakristo ila acheni kabisa Wayahudi, watawaua sana, sasa kaacha Gaza imefanywa shamba, watu wanateseka wanaishi maisha ya hovyo, yeye amejifia na bado hukumu ya jehanamu iko pale maana kafa bila kupokea wokovu.
Alipokuwa anachinja watoto wa Wayahudi mlikuwa mnashabikia, leo mnachakazwa mnaanza kuandika hizi filosofia.
 
Na upande wa pili nao unaona una haki. Suala ni kukaa kumaliza tofauti else wataendelea kupigana vizazi na vizazi
 
Uzi wa masheikh kuji fariji huu
 
Attachments

  • IMG_20241018_094829.jpg
    IMG_20241018_094829.jpg
    57.4 KB · Views: 1
Hivi hayo mauaji yanayotokea huko yanawanufaisha vipi nyie mnaoingiza udini kwenye hiyo vita mpaka mnakosa usingizi?
 
Aliteka na kuua watoto wa Wayahudi, kile hakujua hao ni namba tofauti, wanatumia sheria za Musa, kwamba jicho kwa jicho, temaneni na Wayahudi.
Endeleeni kuchinja Wakristo ila acheni kabisa Wayahudi, watawaua sana, sasa kaacha Gaza imefanywa shamba, watu wanateseka wanaishi maisha ya hovyo, yeye amejifia na bado hukumu ya jehanamu iko pale maana kafa bila kupokea wokovu.
Alipokuwa anachinja watoto wa Wayahudi mlikuwa mnashabikia, leo mnachakazwa mnaanza kuandika hizi filosofia.
natanyahu anavyochinja huoni?ipo siku haki itamfikia natanyahu
 
Hakufia kwenye handaki,kafa anapigana,akipigania haki na uhuru wa watu wake,najua wanamuita jambazi,gaidi na kila jina baya.Hata Madiba makaburu walimuita gaidi,lakini alikuwa anapigania haki ya watu wake.Yahya Sinwar ni shujaa,kafaa kishujaa.
starling hauawi imekuaje tena? uzembe ulikua wap 🐒
 
Na upande wa pili nao unaona una haki. Suala ni kukaa kumaliza tofauti else wataendelea kupigana vizazi na vizazi
Hawa jamaa mpaka watumie maneno ila Israel hata ukiangalia gwanda zao , zinaonesha eneo kubwa mpaka nchi za jirani ...Israel katika harakati za kujenga Great israel ndio mpango kama mateka anawashikilia miaka .

Hamas walishika mateka ili wapate ile mbadilishano ila jamaa wanapiga watoto ikiwa ndio nia yao kuwamaliza wote , huku wanazuia magari ya misaada.
 
Hakufia kwenye handaki,kafa anapigana,akipigania haki na uhuru wa watu wake,najua wanamuita jambazi,gaidi na kila jina baya.Hata Madiba makaburu walimuita gaidi,lakini alikuwa anapigania haki ya watu wake.Yahya Sinwar ni shujaa,kafaa kishujaa.
Wako wapi Ben Saanane na Akina Soka? Mmewaua? Why?
 
Hakufia kwenye handaki,kafa anapigana,akipigania haki na uhuru wa watu wake,najua wanamuita jambazi,gaidi na kila jina baya.Hata Madiba makaburu walimuita gaidi,lakini alikuwa anapigania haki ya watu wake.Yahya Sinwar ni shujaa,kafaa kishujaa.
Kwa kuwa alihusika na mpango wa kuuawa kwa watanzania bila sababu ili hali tokea 1961 nchi ilikuwa upande wa palestine kifo ni haki yake ..........wasikie uchungu kama ambao ameusababisha kwa wapendwa wetu kwa familia zao maaana bado wanalia kira siku...........
 
Back
Top Bottom