Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

mgogoro wa Mashariki ya kati hauna uhusiano na dini, ni mtu mjinga pekee ndio ataanimi kwamba ni ugomvi kati ya Uslamu na ukristo/ uyahudi,,,,, ni ugomvi wa kugombea uhuru wa Taifa,,,,,( palestine/ Israel)….

R. I . P
Yahya Sinawar 🫡
Aluta continua( in Samora Machels’ voice)
 
Wengi ni keyboard warriors
 
Ile ya osama naaye alimjwa ni yeye?
 
Bro unajielewa au unaropoka!?
Kwahiyo kisasi ni kuua tu au siyo!?
Hivi unajua kama kitendo cha Iran kushambulia kwa makombora Israel ni sawa na kutangaza vita ya wazi kwa Israel!??
Mbona kama najadili na katoto kasichojua diplomasia!??
mkuu mimi nimekuja kwako nikaua mtoto wako nimemwaga damu, alaf wewe ukaja kwangu ukavunja TV yangu ya ukutani kwa hiyo na wewe utajiita umelipiza kisasi? TV si ninaenda kununua ingine? ila mtoto utaenda kumnunua wapi?

na pia suala na Iran kurusha makombora israel hilo suala bado liko pending ni suala la muda tuu
 


Kaka yake aliuawawa akiwa katika mission iliofanikiwa ya kuokoa hostages waliokuwa chini ya ulinzi wa idd amin dada pale Uganda.

Yeye ameendeleza harakati ya kuipigania nchi yake kishujaa kama vile alivyofanya ndugu yake.

Wengine wanasema ni mkorofi sana, mmuaaji, kiburi mtu, aggresive, manipulator, etc ila all in all atafanya yote hayo ili tu nchi yake isiwe mikononi mwa magaidi wa itikadi za kitapeli.

Benja, eeh, endeleea kuwala..
Tuko na wewe hadi wakuue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…