Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

mgogoro wa Mashariki ya kati hauna uhusiano na dini, ni mtu mjinga pekee ndio ataanimi kwamba ni ugomvi kati ya Uslamu na ukristo/ uyahudi,,,,, ni ugomvi wa kugombea uhuru wa Taifa,,,,,( palestine/ Israel)….

R. I . P
Yahya Sinawar 🫡
Aluta continua( in Samora Machels’ voice)
 
Kiongozi wa kundi la Hamas Yahya Sinwar, ameuawa na Israel.

Duru za habari zinatabanaisha Sinwar aliuawa mapema usiku wa leo huko Gaza.
---

Senior U.S. Officials, including President Joe Biden, have been notified by Israeli Officials that Yahya Sinwar, the Leader of Hamas, was likely Eliminated by a Strike this morning on the Gaza Strip; with DNA and Fingerprint Testing ongoing to determine the Identity of a Body at the Site of the Strike.

PIA SOMA
- HAMAS Yamteua Yahya Sinwar Kuwa Mrithi wa Ismail Haniyeh Aliyeuawa nchini Iran
Wengi ni keyboard warriors
 
Hapana siyo kwamba alihabika na pictures Zina muonyesha kabisa kuwa ni yeye. Tena mpaka Askari mmoja akamfunua mdomo kutambua meno yake ambayo yanatambulika kwa jinsi yalivyo mano u. Lakini kaka Israel IDF ni watu professional hawawezi mpeleka Netanyahu mbele ya vyombo vya habari kutangaza kitu ambacho baadae kitathibitika ni uongo ndiyo maana wakafanya kwanza DNA test
Hapa chini ni salamu zao wale maislamists wa Buza

View: https://x.com/AFreedomWarrior/status/1846899794863690084

Ile ya osama naaye alimjwa ni yeye?
 
Bro unajielewa au unaropoka!?
Kwahiyo kisasi ni kuua tu au siyo!?
Hivi unajua kama kitendo cha Iran kushambulia kwa makombora Israel ni sawa na kutangaza vita ya wazi kwa Israel!??
Mbona kama najadili na katoto kasichojua diplomasia!??
mkuu mimi nimekuja kwako nikaua mtoto wako nimemwaga damu, alaf wewe ukaja kwangu ukavunja TV yangu ya ukutani kwa hiyo na wewe utajiita umelipiza kisasi? TV si ninaenda kununua ingine? ila mtoto utaenda kumnunua wapi?

na pia suala na Iran kurusha makombora israel hilo suala bado liko pending ni suala la muda tuu
 
20241018_154059.jpg


Kaka yake aliuawawa akiwa katika mission iliofanikiwa ya kuokoa hostages waliokuwa chini ya ulinzi wa idd amin dada pale Uganda.

Yeye ameendeleza harakati ya kuipigania nchi yake kishujaa kama vile alivyofanya ndugu yake.

Wengine wanasema ni mkorofi sana, mmuaaji, kiburi mtu, aggresive, manipulator, etc ila all in all atafanya yote hayo ili tu nchi yake isiwe mikononi mwa magaidi wa itikadi za kitapeli.

Benja, eeh, endeleea kuwala..
Tuko na wewe hadi wakuue.
1000061045.jpg
 
Back
Top Bottom