Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Mpaka nasikia kuumwa Netanyahu na IDF mnielewe

Kupona nikisikia kichwa cha Ayatollah wa Iran mmumekila kama cha Sinwar ndio nitapona dawa zote zimegoma

Netanyahu na IDF nisaidieni nipone
Ayatollah khameneiii hawamuui yule sio muhuni kama Hawa Hizborah sijui hamas.. yule analindwa na Sheria za kimataifa. Labda watamjegeja kama yule rais wa iran
 
Watakoma kuwaweka madarakani na kuwatangaza. Mtangulizi wake alitangulizwa July
 
Wameshamimina sana makombora kwenda Israel mengi mno sio kitu kipya

Mimi naumwa dawa ya kupona ni Netanyahu na IDF wale kichwa cha Ayatollah wa Ira kama walivyokula cha Sinwar

Netanyahu na IDF do me a favor please
 
Hivi hiyo DNA and Fingerprint Testing ONGOING to determine the identity of a body at the site of the strike imekamilika mpaka conclude kuwa Yahya Sinwar amefariki?
 
Wameshamimina sana makombora kwenda Israel mengi mno sio kitu kipya

Mimi naumwa dawa ya kupona ni Netanyahu na IDF wale kichwa cha Ayatollah wa Ira kama walivyokula cha Sinwar

Netanyahu na IDF do me a favor please
Unahemka sana hadi unashangaza.
Israel hawezi kufanya unachokiota kijana.
Ukitaka hiyo Israel iangamie imuue kiongozi wa dini wa Iran.
Itaangamia hamtaamini.
 
Akitoboa hizi wiki tatu niite mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…