Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Kiongozi Mkuu wa Hamas, Yahya Sinwar auawa na Israel

Mtapost sana maana ndio ushabiki wenu kule Ukraine mshakimbia .
 
Sinwar ni shujaa na mwanaume hasa maana hajafia nyumbani akinywa kahawa wala akiwa amejificha bali amefia Frontline kama shujaa anayeongoza mapambano.

Fikiria kiongozi wa juu kabisa wa HAMAS kuwa frontline sio jambo la kawaida sio kama Netanyahu anatoa oda akiwa kwenye handaki anatetemeka.
 
Nilipomuona nimelia sana kwa kwikwi huku nachunga punda wangu hadi nikaanza kumuita majina kama netapaka,natanyau,dracula,the beast G.KOAT(the Great Killer of all Times)!IAnd,yet,I hate to hate this old-boy!🤔
Huyu Jamaa ni balaa... Anatisha kama Njaa..... Hafai kabisa. Akisema namtaka flani dead. Anapewa.
 
Sinwar angekuwa muoga kama Netanyahu basi angekuwa nje ya Gaza anakula maisha lakini alichagua kubaki ndani ya Gaza akipigania nchi yake hadi dakika za mwisho.

Kwangu mimi ukiniuliza nani shujaa kati ya Sinwar na Netanyahu basi jibu ni rahisi kwamba Sinwar ndiye shujaa wa kweli.
 
Hapo anaona ufahari anasahau umaskini wake ,anasahau ndugu zake kule congo .

Hata kipind mkwawa anapambania ardhi yao , watu kama hawa walikuwepo kuwaunga mkono wazungu .
Na Sudan, Somalia... Hawa tunawasahau. Hatusikiii wakipigiwa kelele. Netanyau anakuja.....
Screenshot_2024-10-18-16-13-35-244_org.mozilla.firefox~2.jpg
 
Sinwar angekuwa muoga kama Netanyahu basi angekuwa nje ya Gaza anakula maisha lakini alichagua kubaki ndani ya Gaza akipigania nchi yake hadi dakika za mwisho.

Kwangu mimi ukiniuliza nani shujaa kati ya Sinwar na Netanyahu basi jibu ni rahisi kwamba Sinwar ndiye shujaa wa kweli.
Acha kelele wewe hamas wa chanika

Kwenda vitani haimaniishi eti ndio shupavu

Vita ni akili

Vita sio uswahili wenu
 
Back
Top Bottom