Nilikuuliza jana wewe ni me au ke?Hizo ni ndoto za mwendawazimu!!
Malkia Zumaridi kazi unayo, ila huyo Bwana wako ajue tu , Iran sio Gaza, kama wa Houthi tu wamempa kichapo cha mbwa koko, basi Iran ๐ฎ๐ท ni level nyengineKiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia ya Marekani, na kusema ni kinyume na maslahi ya taifa. Anasisitiza kuwa Tehran haitaacha kurutubisha uranium, sehemu kuu ya mpango wake wa nyuklia. Khamenei anasema pendekezo hilo linapingana na maadili ya Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979, na anazituhumu nchi za Magharibi kwa madai ya uongo kuhusu Iran kutafuta silaha za nyuklia.
โmytakeโ Sasa ni muda muafaka kwa Israel kufanya vitu vyake mpaka watu washangae!!
Endelea kuota kwamba jua linazama kwenye tope.Nadhan haujui iran unaiosoma kwenye cnn na forxy new .. jeshi la iran ndo linaitafuta uhalaki wa maana wa kuonyesha dunia uwezo wake wa kijeshi ili wakati mwingine israel afikiria mara tano tano jinsi ya kurudisha jamaa wamejianda na wanamorali balaa vita kati ya isrsel na iran lazima usa atwashwawasha na kambi zake pale midle east ndo itakuwa mwisho wake wa kuwekpo pale na raman ya midle east itaandikwa upya
Israel anachelewa nini kulipua hizo nuclear za Iran. Waambie waache kubwekabwea wafanye mambo kama kweli wao ni wanaumeUnaona ndoto amka kulishakucha zamani!!!
Aisee!Ukisikia Iran imeingia vitani rasmi na Israel juwa ndio mwisho wa Taifa bandia la wayahudi liitwalo Israel katika sayari hii na Trump anajua hilo US wanajua hivyo.
Chungu kipo jikoni, US anajua, Trump ameiomba Iran isiipige IsraelIran kapigwa mara mbili mbona tujaona mwisho wa Wayahudi!!!
Shalom!!!โmytakeโ Sasa ni muda muafaka kwa Israel kufanya vitu vyake mpaka watu washangae!!
๐๐๐๐ Dah Sisi wabongoUkisikia Iran imeingia vitani rasmi na Israel juwa ndio mwisho wa Taifa bandia la wayahudi liitwalo Israel katika sayari hii na Trump anajua hilo US wanajua hivyo.
WebabuNadhan haujui iran unaiosoma kwenye cnn na forxy new .. jeshi la iran ndo linaitafuta uhalaki wa maana wa kuonyesha dunia uwezo wake wa kijeshi ili wakati mwingine israel afikiria mara tano tano jinsi ya kurudisha jamaa wamejianda na wanamorali balaa vita kati ya isrsel na iran lazima usa atwashwawasha na kambi zake pale midle east ndo itakuwa mwisho wake wa kuwekpo pale na raman ya midle east itaandikwa upya
WebabuChungu kipo jikoni, US anajua, Trump ameiomba Iran isiipige Israel
na Trump alitishia kama mazungumzo yao ya nyuklia na Iran yatafeli angeingia mazima vita na Iran lakini kashindwa ndaro zake ziliishia kwenye microphone
Nasikia Ayatollahs wanakimbia ndani ya mahandaki sasaUkisikia Iran imeingia vitani rasmi na Israel juwa ndio mwisho wa Taifa bandia la wayahudi liitwalo Israel katika sayari hii na Trump anajua hilo US wanajua hivyo.
Israel pia wanajificha kwenye mahandaki wakisikia vyumba vinalia kwenye majengo, hakuna aliyesalama mtoto alitaka wembe achezee sasa myahudi alina kama mbwa kokoNasikia Ayatollahs wanakimbia ndani ya mahandaki sasa