Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia na Marekani

Nadhan haujui iran unaiosoma kwenye cnn na forxy new .. jeshi la iran ndo linaitafuta uhalaki wa maana wa kuonyesha dunia uwezo wake wa kijeshi ili wakati mwingine israel afikiria mara tano tano jinsi ya kurudisha jamaa wamejianda na wanamorali balaa vita kati ya isrsel na iran lazima usa atwashwawasha na kambi zake pale midle east ndo itakuwa mwisho wake wa kuwekpo pale na raman ya midle east itaandikwa upya
 
Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Khamenei amekataa pendekezo la makubaliano ya nyuklia ya Marekani, na kusema ni kinyume na maslahi ya taifa. Anasisitiza kuwa Tehran haitaacha kurutubisha uranium, sehemu kuu ya mpango wake wa nyuklia. Khamenei anasema pendekezo hilo linapingana na maadili ya Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979, na anazituhumu nchi za Magharibi kwa madai ya uongo kuhusu Iran kutafuta silaha za nyuklia.

“mytake” Sasa ni muda muafaka kwa Israel kufanya vitu vyake mpaka watu washangae!!
Malkia Zumaridi kazi unayo, ila huyo Bwana wako ajue tu , Iran sio Gaza, kama wa Houthi tu wamempa kichapo cha mbwa koko, basi Iran 🇮🇷 ni level nyengine
 
Nadhan haujui iran unaiosoma kwenye cnn na forxy new .. jeshi la iran ndo linaitafuta uhalaki wa maana wa kuonyesha dunia uwezo wake wa kijeshi ili wakati mwingine israel afikiria mara tano tano jinsi ya kurudisha jamaa wamejianda na wanamorali balaa vita kati ya isrsel na iran lazima usa atwashwawasha na kambi zake pale midle east ndo itakuwa mwisho wake wa kuwekpo pale na raman ya midle east itaandikwa upya
Endelea kuota kwamba jua linazama kwenye tope.
 
Soon Iran itatangaza taifa linalo miliki silaha za nuclear. USA n Israel hawana ubavu wa kulizuia hilo, wataishia kubwekabweka tu kama north korea
 
Unaona ndoto amka kulishakucha zamani!!!
 
Ukisikia Iran imeingia vitani rasmi na Israel juwa ndio mwisho wa Taifa bandia la wayahudi liitwalo Israel katika sayari hii na Trump anajua hilo US wanajua hivyo.
Iran kapigwa mara mbili mbona tujaona mwisho wa Wayahudi!!!
 
Chungu kipo jikoni, US anajua, Trump ameiomba Iran isiipige Israel
na Trump alitishia kama mazungumzo yao ya nyuklia na Iran yatafeli angeingia mazima vita na Iran lakini kashindwa ndaro zake ziliishia kwenye microphone
 
Ukisikia Iran imeingia vitani rasmi na Israel juwa ndio mwisho wa Taifa bandia la wayahudi liitwalo Israel katika sayari hii na Trump anajua hilo US wanajua hivyo.
😂😂😂😂 Dah Sisi wabongo
 
Nadhan haujui iran unaiosoma kwenye cnn na forxy new .. jeshi la iran ndo linaitafuta uhalaki wa maana wa kuonyesha dunia uwezo wake wa kijeshi ili wakati mwingine israel afikiria mara tano tano jinsi ya kurudisha jamaa wamejianda na wanamorali balaa vita kati ya isrsel na iran lazima usa atwashwawasha na kambi zake pale midle east ndo itakuwa mwisho wake wa kuwekpo pale na raman ya midle east itaandikwa upya
Webabu
 
Chungu kipo jikoni, US anajua, Trump ameiomba Iran isiipige Israel
na Trump alitishia kama mazungumzo yao ya nyuklia na Iran yatafeli angeingia mazima vita na Iran lakini kashindwa ndaro zake ziliishia kwenye microphone
Webabu
 
Echolima1 hajaonekana na taarifa zake kutoka Israel au Iran walimuangushia bomu.
 
Ukisikia Iran imeingia vitani rasmi na Israel juwa ndio mwisho wa Taifa bandia la wayahudi liitwalo Israel katika sayari hii na Trump anajua hilo US wanajua hivyo.
Nasikia Ayatollahs wanakimbia ndani ya mahandaki sasa
 
Israel pia wanajificha kwenye mahandaki wakisikia vyumba vinalia kwenye majengo, hakuna aliyesalama mtoto alitaka wembe achezee sasa myahudi alina kama mbwa koko
 
Back
Top Bottom