Kiongozi Mkuu wa kikundi cha Hezbollah Naim Qassem leo jumatano Oktoba 30 kutoa hutuba nzito sana kwa Dunia, ni mara ya kwanza tangu achaguliwe

Hotuba ni maneno tu, sasa hivi stage ya maneno ilishapita, sasa hivi hakuna kuongea, ni vita kwa vita tu, atakayeshindwa ndio atapokea amri na masharti ya mbabe wa vita..!!
 
 
Ametangaza kuwa anaomba Amani na amekoma hatorudia tena kuchokonoa VitaπŸ˜†
Leta dalili wacha uwongo, tatizo lako unaleta habari za mashoga wa Tela Aviv tena lini mashoga wakawa wa kweli.
 
Leta dalili wacha uwongo, tatizo lako unaleta habari za mashoga wa Tela Aviv tena lini mashoga wakawa wa kweli.

Mashoga wa West wanawekaga wazi lakini Mashoga wa Nchi za Kiislamu πŸ‘† huwa wanaficha kwa kuogopa Islamic Sharia,sio kumuogopa AllahπŸ˜†
 
Yuko Iran na wakimdedisha akiwa Iran kuna op. Promise nyingine tutashuhudia mabaliistic yakitua tele aviv
We acha kuwasikia wafuasi wamkosa nyumba. Huyo kiongozi mpya yuko Lebanon, na haogopi kufa. Mtu anaye ogopa kufa kwenye vita atafia kitandani, atake asitake.
 
R.I.P for what mtu anaweka historia yake ya kuongoza muqawamah wewe unaleta porojo am sure kuna watu wanaitamani hio nafasi hapo hizbo
Na wewe unaitamani hiuo nafasi shekh!
 
Hizi ndio zile satellite images alizo piga Israel sio πŸ˜„ tukiwambia taifa fake huwa mambo yake yote ni fake fake
Fake gani fanya reverse check ya hiyo Image halafu ndio uje na Hoja ya "Ufake".
Hizi Picha za kweli kutoka Islamic Republic πŸ˜†

Sikatai kuwa kuna Mashoga+ katika Nchi za Western na wana HAKI zao tele hata Pilots wa F16 F35 nk. wapo Mashoga na ndio hao wanaotoa Dozi kwa Ayatolah na Magaidi wake.πŸ˜†πŸ˜
 
Sa hi picture ndio ushoga, ushoga wa Tela Aviv mnaona peponi sio 🀣
Katika Uislamu wa Kishia unaruhusu Mwanamke aingiliwe kinyume na maumbile akiwa katika siku zake za Hedhi au kwa kustarehe tu.

Ushoga uko kwa kiwango kikubwa katika Nchi za Kiarabu sema unafanyika kwa kujificha sio kwa ajili ya kumuogopa Allah bali kwa ajili ya kuiogopa Islamic Sharia🀨 upo hapo? Adios
 
Naam katika uislam akifa imam pale mbele akiwa anaswalisha safu ya kwanza mtu atastep mbele Fasta kuendeleza swala mpaka mwisho, ndio itaangaliwa imam kakumbwa na nini. Huo ndio utaratibu Hongera kuu kwa Hizbollah kumteua Qassim
Kumbe kuswalisha na kupigana vita ni JAMBO moja kwa Kiislam? Sikujua hilo wallah. Sasa watu wakisema, uislamu na ugaidi ni mapacha wanakua wanakosea wapi?
 
Kumbe kuswalisha na kupigana vita ni JAMBO moja kwa Kiislam? Sikujua hilo wallah. Sasa watu wakisema, uislamu na ugaidi ni mapacha wanakua wanakosea wapi?
Nimezungumzia kuhusu uongozi ndio lengo langu hapo kwamba structure nzima ya Uislam lazima kuwe na uongozi hata kama itokee dharula lazima kiongozi ashike kwanza ili mambo yaende, hata kama mko wawili tu barabarani lazima mmoja wenu awe kiongozi ndio mafundisho yako ivyo.
Kuhusu ugaidi Uislam sio ugaidi ila sisi sio wapole pia laiti kama tungekuwa wanyonge na wapole hii dini ingebaki historia tu. Tungeshafutwa kwahio huo ubabe wetu ni kwaajili ya kulinda dini yetu na misingi imara na kwa haki. Imagine mfano wakristo mtu mmoja tu anaweza kusimama na kusema tunaanza kusalisha ibada ya mashoga na watu wakakaa kimya wanamuangalia, ikija kwenye uislam hapo huyo mtu atakua mfano kwa wengine hawatathubutu ujinga huo. Hapo watu ndio wanaanza kusema sisi ni magaidi ila ukweli ukivuka mstari lazima tuwe magaidi kweli kwenye haki lakini.
 
So tunakubaliana kwa kauri moja Safi kabisa kwamba Hezbollah na Hamas ni vikundi vya Kiislam, right?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…