Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus

Hata ungekuwa wewe, ndio kwanza umeikomboa nchi yako, baada yq miaka 10 ya Vita, wpiganaji lazima wamechoka, nchi hujajenga bado, Hari bado tete, harafu uanze kupambana na Israel tena, na Israel haji peke yake, kuna kaka yake nyuma, USA!
 
Ustie shaka huo ndio utakuwa mwisho wao, yalisha tabiriwa hayo yote watafika mpaa mlango wa Damascus


View: https://youtube.com/shorts/ncfjp-eyRxo?si=mQ3xeqccfWqT-i3X
Hao walio pindua Syria wanakan'yaga bendera ya Palestine, kumbuka hao wako makundi wengine walidangan'ywa kuwa wajiunge nao afu badaye wakakomboe Palestine. Wamejikuta wanawapa support ISIS ambao ni jeshi la US na srael.
 
Matusi mengi wakati wewe ndiye punguani!
 
Sasa ana tofauti Gani na Mangungo wa msowero. Pro Israel na US wanashabikia eti Russia imeangushwa kwa aibu hapo wakati hiyo nchi inaenda kuwa kama Lybia soon
 
Sometimes ukikaribia kufa unatapatapa sana.
Israel itakuja kuwa na mwisho mbaya sana.
 
International land robbers at work.
Huyo muasi aliyemuangusha Assad hana muda mrefu
 
Acha kiwakute hawa wajinga na bado huyo zayuni ataichukua hata Damascus pumbavu kabisa wasirya

Umeongea kwa hasira sana kaka inaonekana wamekukera mno.. hao wote nyuma ya pazia wanajuana hakuna cha kutetea wapalestina wala nini.. sasa hivi gaza kama imesahaulika huyo mwamba anapewa airtime to mara CNN mara BBC
 
Hapo middle east pana ushenzi mwingi sana!
Japo Assad kaondoka bado Israel inaendelea kuiharibu zaidi Syria kwa kuishambulia Kila kukicha....... viongozi wapya watakuwa na wakati mgumu mno kuijenga na kuiunganisha tena hii nchi.
 
Japo Assad kaondoka bado Israel inaendelea kuiharibu zaidi Syria kwa kuishambulia Kila kukicha....... viongozi wapya watakuwa na wakati mgumu mno kuijenga na kuiunganisha tena hii nchi.
Syria ilikuwa zaidi ya Assad. Iran alikuwa kajikita kila kona na strategic miundombinu ya Syria. Israel inajaribu kuindoa elements zote za Iran huko Syria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…