Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaukumbi.
Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus.
Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini Syria. Israel itapata eneo jipya linalodhibitiwa na kukinga ndani ya Syria kwa ajili ya kusaidia HTS kumuangusha Assad.
=============
The new leader, Al Juliani, refuses to confront the Israeli army, which is 19 km in front of Damascus.
Which strongly indicates that it is a deal between Israel and HTS in Syria. Israel will get a new controlled and buffer zone inside Syria for helping the HTS taking down Assad.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1866389449644634236?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Ustie shaka huo ndio utakuwa mwisho wao, yalisha tabiriwa hayo yote watafika mpaa mlango wa Damascus
Jamaa kaamua kutumia akili kuliko kusikiliza ujinga watu wake wafe.Ustie shaka huo ndio utakuwa mwisho wao, yalisha tabiriwa hayo yote watafika mpaa mlango wa Damascus
Matusi mengi wakati wewe ndiye punguani!Wewe ungekaa kimya uwe msomaji unajifanya unajua kumbe hauna unalojua zaidi ya ushabiki mandazi angalia unavyoaibika😂 nakupa darasa wewe punguani soma hapa chini.
Ahmed Hussein al-Shar'a (born 1982), better known as Abu Mohammad al-Julani, is a Syrian militant leader who has served as the de facto head of state of Syria since 8 December 2024. He is also the second emir of Tahrir al-Sham since 2017.
Rudi jukwa la mipasho huku siyo mahala pako.
Acha kiwakute hawa wajinga na bado huyo zayuni ataichukua hata Damascus pumbavu kabisa wasirya
Waarabu wana teknolojia gani?!Bora waafrika tubaki na ujinga wetu ila amani amani, kuliko waarabu na teknolojia alaf vita Kila siku
Waarabu ni washenzi milele daima hata wakiwa waislamu au wakristo ni takataka kufa na wafeHapo middle east pana ushenzi mwingi sana!
Japo Assad kaondoka bado Israel inaendelea kuiharibu zaidi Syria kwa kuishambulia Kila kukicha....... viongozi wapya watakuwa na wakati mgumu mno kuijenga na kuiunganisha tena hii nchi.Hapo middle east pana ushenzi mwingi sana!
Endelea kuota. Israel is winningSometimes ukikaribia kufa unatapatapa sana.
Israel itakuja kuwa na mwisho mbaya sana.
Syria ilikuwa zaidi ya Assad. Iran alikuwa kajikita kila kona na strategic miundombinu ya Syria. Israel inajaribu kuindoa elements zote za Iran huko Syria.Japo Assad kaondoka bado Israel inaendelea kuiharibu zaidi Syria kwa kuishambulia Kila kukicha....... viongozi wapya watakuwa na wakati mgumu mno kuijenga na kuiunganisha tena hii nchi.
Says someone aayejiita Zebri, mkono mmoja ana type huku mdomoni anatafuna kashata za machicha ya naziSometimes ukikaribia kufa unatapatapa sana.
Israel itakuja kuwa na mwisho mbaya sana.
Kwa hio mmakubali ISIS na Israel/USA ni same face 🤣