Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus

Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus

Wanaukumbi.

Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus.

Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini Syria. Israel itapata eneo jipya linalodhibitiwa na kukinga ndani ya Syria kwa ajili ya kusaidia HTS kumuangusha Assad.

=============

The new leader, Al Juliani, refuses to confront the Israeli army, which is 19 km in front of Damascus.

Which strongly indicates that it is a deal between Israel and HTS in Syria. Israel will get a new controlled and buffer zone inside Syria for helping the HTS taking down Assad.


View: https://x.com/megatron_ron/status/1866389449644634236?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hata ungekuwa wewe, ndio kwanza umeikomboa nchi yako, baada yq miaka 10 ya Vita, wpiganaji lazima wamechoka, nchi hujajenga bado, Hari bado tete, harafu uanze kupambana na Israel tena, na Israel haji peke yake, kuna kaka yake nyuma, USA!
 
Ustie shaka huo ndio utakuwa mwisho wao, yalisha tabiriwa hayo yote watafika mpaa mlango wa Damascus


View: https://youtube.com/shorts/ncfjp-eyRxo?si=mQ3xeqccfWqT-i3X

Hao walio pindua Syria wanakan'yaga bendera ya Palestine, kumbuka hao wako makundi wengine walidangan'ywa kuwa wajiunge nao afu badaye wakakomboe Palestine. Wamejikuta wanawapa support ISIS ambao ni jeshi la US na srael.
 
Wewe ungekaa kimya uwe msomaji unajifanya unajua kumbe hauna unalojua zaidi ya ushabiki mandazi angalia unavyoaibika😂 nakupa darasa wewe punguani soma hapa chini.

Ahmed Hussein al-Shar'a (born 1982), better known as Abu Mohammad al-Julani, is a Syrian militant leader who has served as the de facto head of state of Syria since 8 December 2024. He is also the second emir of Tahrir al-Sham since 2017.

Rudi jukwa la mipasho huku siyo mahala pako.
Matusi mengi wakati wewe ndiye punguani!
 
Sasa ana tofauti Gani na Mangungo wa msowero. Pro Israel na US wanashabikia eti Russia imeangushwa kwa aibu hapo wakati hiyo nchi inaenda kuwa kama Lybia soon
 
Sometimes ukikaribia kufa unatapatapa sana.
Israel itakuja kuwa na mwisho mbaya sana.
 
International land robbers at work.
Huyo muasi aliyemuangusha Assad hana muda mrefu
 
Acha kiwakute hawa wajinga na bado huyo zayuni ataichukua hata Damascus pumbavu kabisa wasirya

Umeongea kwa hasira sana kaka inaonekana wamekukera mno.. hao wote nyuma ya pazia wanajuana hakuna cha kutetea wapalestina wala nini.. sasa hivi gaza kama imesahaulika huyo mwamba anapewa airtime to mara CNN mara BBC
 
Hapo middle east pana ushenzi mwingi sana!
Japo Assad kaondoka bado Israel inaendelea kuiharibu zaidi Syria kwa kuishambulia Kila kukicha....... viongozi wapya watakuwa na wakati mgumu mno kuijenga na kuiunganisha tena hii nchi.
 
Japo Assad kaondoka bado Israel inaendelea kuiharibu zaidi Syria kwa kuishambulia Kila kukicha....... viongozi wapya watakuwa na wakati mgumu mno kuijenga na kuiunganisha tena hii nchi.
Syria ilikuwa zaidi ya Assad. Iran alikuwa kajikita kila kona na strategic miundombinu ya Syria. Israel inajaribu kuindoa elements zote za Iran huko Syria.
 
Back
Top Bottom