Kiongozi mpya wa Hezbollah aliemrithi Hassan Nasrallah alieuawa wiki iliyopita na yeye kauawa?

Kiongozi mpya wa Hezbollah aliemrithi Hassan Nasrallah alieuawa wiki iliyopita na yeye kauawa?

Wachambuzi wa Siasa za middle East wamemuuliza swali gumu sana Iran.

Asubiri washirika wake wapigwe mmoja mmoja Hadi ifike zamu yake au aanzishe vita na Israel apigane na Marekani.

Uhalisia ni hivi mustakabali wa Lebanon ni sawa na Gaza kusuni, Israel inaweza ikagoma kuondoka huko na Hezbollah ikabaki Jina kwa maana hiyo Iran atakuwa amerudishwa nyuma kutoka Lebanon.

Syria ni failed State ambayo Hadi Leo Iko vitani

Uturuki anakalia Maeneo ya Syria akishirikiana na waasi, Wakurdi wanamiliki Eneo kubwa sana, Marekani anamiliki Eneo huko pia, in short Syria muskabali wake ni kugawanywa kama Yugoslavia.

Hezbollah akiwa week na sio significant force then kama Israeli itawaa approach waasi wa Syria na kukawa na deal nzuri then Iran Ndio itakuwa kizuizi kufikia Tehran
baada ya Lebanon,Itabidi Israel aende Yemen kwa Houthi.
Israel inakabiliwa na Vita Ngumu sana.
 
Ni kweli inasikitisha sana kuingiza ushabiki kwenye vita. Ma sio wakriato tu, hata Waislamu nao wametoka ufahamu na utu. Wao ni kushangilia mauaji tu. Sidhani kama nchi nyingine napo wanafanya hivi au ni Tz tu?

ila binafsi naona chanzo kilianzia wakati HAMAS wameteka na kuua wale vijana wa kitanzania. Hata mi niliumia sana na humu kulikuwa na nyuzi nyingi toka upande wa pili zikiwakashfu wale vijana. Hata baadhi ya mashehe walitoa Neno kwenye sakata lanwale vijana in very negative way. Nadhani bifu lilianzia hapo.
Ndio maana ukiwa makini utagundua dini imejitanabaisha kama kitu Cha hivyo na kinachohimili uovu.
 
Back
Top Bottom