Kiongozi mpya wa Hezbollah aliemrithi Hassan Nasrallah alieuawa wiki iliyopita na yeye kauawa?

Kiongozi mpya wa Hezbollah aliemrithi Hassan Nasrallah alieuawa wiki iliyopita na yeye kauawa?

Ila walokole tuna viherehere sana.
ebu tuwaache mayahudi na waislam waongee lugha moja.sisi kondoo wa bwana tubaki kama wapenzi watazamaji
 
Wakristo nyie ni ndugu zetu sisi hatuna shida na nyie tunawapenda sana lakini hatuwafanyi marafiki zetu wa karibu kama tulivyoagizwa kwakua nyie moyoni mnawapenda wayahudi zaidi, lakini nyie ni watu wazuri mno kuliko wayahud
 
Vita Ni Mbaya
Mazungumzo Ni Muhimu Vinginevyo Watawauwa Kama Hakuna Viongozi Duniani
 
Daaah...hivi Hezbollah wana maslahi gani na vita? hivi iran kwa nini waanzishe kikundi cha ugaidi kwenye Taifa la watu wengine na yet wawatumie wananchi kama ngao yao? Tena Taifa la kikristo kabisa...ngoja waendelee kuuwawa maake wamekubali kutumika na huku wakidanganywa kuwa wanampigania Allah kumbe wanajimaliza wenyewe.
Takibiriiii
 
Dunia ngumu hii kwa wavaa vipedo, misuli na makobazi. Msururu wa matukio 🤔
.....

[URL
World
Live TV
Live Updates


Beirut strikes target potential new Hezbollah chief, Israeli official says​

By Kathleen Magramo, CNN
Updated 4:27 AM EDT, Fri October 4, 2024


" data-timestamp-html="
Updated 4:27 AM EDT, Fri October 4, 2024
" data-check-event-based-preview="" data-is-vertical-video-embed="false" data-network-id="" data-publish-date="2024-10-03T12:48:38.523Z" data-video-section="world" data-canonical-url="https://www.cnn.com/2024/10/03/world/video/beirut-explosion-lebanon-digvid" data-branding-key="" data-video-slug="beirut-explosion-lebanon-digvid" data-first-publish-slug="beirut-explosion-lebanon-digvid" data-video-tags="" data-details="" style="box-sizing: inherit; -webkit-font-smoothing: antialiased; text-rendering: optimizelegibility; clear: both; margin: 0px;">









Beirut strikes target potential new Hezbollah chief, Israeli official says​

What we're covering​

• Israeli strikes in Beirut overnight targeted Hashem Safieddine, a potential successor to late Hezbollah chief Hassan Nasrallah, an Israeli official told CNN. It’s unclear if he was killed.
• Israel’s aerial campaign in Lebanon is being conducted at an intensity comparable only to the first weeks of its bombardment in Gaza last year, an air warfare expert told CNN.
• An Israeli airstrike halted traffic near the main Lebanon-Syria border crossing, a Lebanese official said. Tens of thousands have fled via the checkpoint as 1 million displaced people seek safety from bombardment.
• The US does not believe Israel has decided how it will respond to this week’s missile attack from Iran, an official said. Iran’s attack destroyed at least three buildings at the Netavim Air Base in southern Israel and left at least a dozen craters, a CNN analysis shows.
unfurl="true"]https://edition.cnn.com/world/live-news/israel-iran-attack-war-lebanon-10-04-24-intl-hnk/index.html[/URL]
 
Back
Top Bottom