Kiongozi mpya wa Hezbollah aliemrithi Hassan Nasrallah alieuawa wiki iliyopita na yeye kauawa?

Israel anasafisha njia
Njia gani mzee? Wewe unashambuliwa live ndani ya ardhi yako na mahasara kibao ya miundombinu ya kijeshi halafu wewe unahangaika na wanamgambo badala ya anayekushambulia live?

Israel ana akilo kiduchu sana yaani anadhani kuua viongozi wa wanamgambo ndiyo kushinda vita anashindwa kujua kwamba Hezbollah ama Hamas ni idealogy sio mtu mmoj mmoja.

Alimuua Nasrallah lakini hata baada ya kifo chake Hezbollah ameendelea kumshushia makombora na pia kuua wanajeshi wanaovuka mpaka kwa miguu.
 
Umeandika kwa hasira.Tulia halafu uwaulize Hezbollah uchungu walioupata.Acha kuendeshwa kwa hisia.
 
Hakuna kupunguza.Mwendo ni uleule hadi mtu aombe maji ya mto Jordan.
Kipigo alichokula juzi kutoka kwa Iran hiki ndiyo kisasi cha kupambana na wanamgambo badala ya aliyekushambulia?

Si mlisema Iran ameingia kwenye mfumo wa mabeberu kwamba utawala wake umefikia mwisho?

Ameikung'uta Israel mara mbili mfululizo bila majibu na Iran alivyo mbabe kawaita baadhi ya mabalozi wa Ulaya kuwahoji kwanini nchi zao zimelaani kuishambulia Israel?
 
Mbona una haraka?Usilie baadaye.
 
Kufa sio deal vipi wameshinda vita, wameingiza majeshi yao Lebanon? Leo siku tatu toka wamesema wameingiza majeshi yao ndani ya Lebanon watuonyeshe wako wapi. Au wanaficha kwa kipigo wanacho pokea.

Inasemekana hata Nasurlah yuko hai sababu hakuna dalili kama kafa.
INASEMEKANA...ahhhaaaah....akili za Kobazi
 
Muislam kufa ktk vita kwake ni fahari kubwa hasa akipigana ktk kulinda ardhi yake na dini yake ndio maaana ukaona kila mtu anataka uongozi ktk mudaa wa tofauti. Hii tofauti na wasiokuwa waislam, kufa Kwai wanaogopa kwa sababu hawajui huko waendako baada ya kufa wanaenda kukutana na Balaa gani
Sasa mbona wanajificha huko chini kama panya.
 
Hezbollah kamatia hapo hapo mtu keshachangayikiwa huku anaangusha majumba hovyo.
 
Muislam kufa ktk vita kwake ni fahari kubwa hasa akipigana ktk kulinda ardhi yake na dini yake ndio maaana ukaona kila mtu anataka uongozi ktk mudaa wa tofauti. Hii tofauti na wasiokuwa waislam, kufa Kwai wanaogopa kwa sababu hawajui huko waendako baada ya kufa wanaenda kukutana na Balaa gani
Acha kupotosha, kwa maelezo ya MUNGU/Allah yanasema yeye ndiye anayepanga nani aende mbinguni akakutane na mabikira na nani aende motoni akaungue lakini siyo binadamu kujichagulia pa kwenda
 
Muislam kufa ktk vita kwake ni fahari kubwa hasa akipigana ktk kulinda ardhi yake na dini yake ndio maaana ukaona kila mtu anataka uongozi ktk mudaa wa tofauti. Hii tofauti na wasiokuwa waislam, kufa Kwai wanaogopa kwa sababu hawajui huko waendako baada ya kufa wanaenda kukutana na Balaa gani
Mbona hapa hukuongelea habari ya wafia dini kwenda kurithi bikra 72 Huko jongomeo?!! 🤔
 
Back
Top Bottom