Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Atapewa mademu 75 ahangaike nao huku wanamchezea sharubu.Atapewa pepo ya daraja ya juu kabisa kama ndugu yake nasra.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atapewa mademu 75 ahangaike nao huku wanamchezea sharubu.Atapewa pepo ya daraja ya juu kabisa kama ndugu yake nasra.
Chama tu unapigania ili upate cheo. Kwanini dini usipiganie ukapte cheo kikubwa huko Akhera?Dini inapiganiwa ya kazi Gani? Mubgu ni wa neema hawezi piganiwa,mnazalisha mazuzu ndo maana wanakufa Bure Bila maarufa...
Israeli kwa hizbollah hatatoboa wala kwa houthWachambuzi wa Siasa za middle East wamemuuliza swali gumu sana Iran.
Asubiri washirika wake wapigwe mmoja mmoja Hadi ifike zamu yake au aanzishe vita na Israel apigane na Marekani.
Uhalisia ni hivi mustakabali wa Lebanon ni sawa na Gaza kusuni, Israel inaweza ikagoma kuondoka huko na Hezbollah ikabaki Jina kwa maana hiyo Iran atakuwa amerudishwa nyuma kutoka Lebanon.
Syria ni failed State ambayo Hadi Leo Iko vitani
Uturuki anakalia Maeneo ya Syria akishirikiana na waasi, Wakurdi wanamiliki Eneo kubwa sana, Marekani anamiliki Eneo huko pia, in short Syria muskabali wake ni kugawanywa kama Yugoslavia.
Hezbollah akiwa week na sio significant force then kama Israeli itawaa approach waasi wa Syria na kukawa na deal nzuri then Iran Ndio itakuwa kizuizi kufikia Tehran
Mayahudi yamemuua kipenzi chetu Nasrallah. Inatakiwa tumchague kipenzi mwingine atuongoze katika kupigania haki.Hizbollah tangu ameuawa Nasrallah hawaja chagua kiongozi mwingine walishatoa taarifa sasa huyo kiongozi ni nyie mmemtoa wapi
Ulichokiandika ni haki kabisa iso mawaa.Israeli tutawakomesha.Israeli kwa hizbollah hatatoboa wala kwa houth
Acheni kujipa moyo kwenye hakuna...Israeli kwa hizbollah hatatoboa wala kwa houth
Isa aunt inatisha uhai wa mtu unaondolewa kirahis tuIfike mahali sasa isiwe sifa tena, haya ni maafa. Tuingie kwenye maombi.
Mungu kagawa vipaji akili na. Mali, waarabu mali., wazungu akiliDaaah...hivi Hezbollah wana maslahi gani na vita? hivi iran kwa nini waanzishe kikundi cha ugaidi kwenye Taifa la watu wengine na yet wawatumie wananchi kama ngao yao? Tena Taifa la kikristo kabisa...ngoja waendelee kuuwawa maake wamekubali kutumika na huku wakidanganywa kuwa wanampigania Allah kumbe wanajimaliza wenyewe.