Kiongozi mpya wa Syria akutana na viongozi wa Kikristo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ni mwanzo mzuri japo mimi kwa kweli sijawahi kuwa na imani na kobaz yeyote, hata akiwa jirani yangu, kuna majini huwa wameingizwa kwenye system zao na hutibuka mara moja ghafla bila kutarajiwa. Huyu kiongozi mpya ambaye ni ni mvaa makobaz, anaonekana kuwa na muelekeo mwema, ila siku akianza mihemko kama wenzake watajikuta kule kule.
Wakristo wachache waliopo huko huishi kwa shida sana, kuchukiwa na kuuawa.....maana makobaz huwa yamepewa maagizo ya kuua yeyote asiyeamini kwenye uzombi wao.
===============

Syria’s de facto leader Ahmed al-Sharaa met senior Christian clerics on Tuesday, amid calls for the head of Hayat Tahrir al-Sham (HTS) to guarantee minority rights after seizing power earlier this month.

“The leader of the new Syrian administration, Ahmed al-Sharaa, meets a delegation from the Christian community in Damascus,” Syria’s General Command said in a statement on Telegram.
 
Ukizaliwa katika familia ya Kikristo kwa nchi zenye Waislam wengi unakuwa ni Sawa na swala ama nyati aliyezaliwa katika hifadhi ya Serengeti ama Ngorongoro. Muda wowote Simba au chui anakuua.
Naogopa Sana hiyo Dini iliyoenezwa kwa shinikizo la upanga. Nakushukuru Mungu kwa kunifanya nikazaliwa Tanzania ambapo kuna balance ya Imani.
 
Wewe ni dini gani ?
 
Dini gani haikuenezwa kwa upanga ?
 
Happy New Year Ahmed al-Sharaa and the people of Syria. Mungu wa Mbinguni awabariki sana wapenda amani wote.

Mkijitenga na waovu waletao faraka ndani na baina ya jamii na mataifa mtabarikiwa sana! 2025 ukawe wa baraka na amani tele kwenu. Dameski, na Tiro, na Sidon, na Allepo yakawe makao ya amani na upendo tele.
 
Unatumia kilevi gani mkuu?
 
Ukiona muislamu anabehave vizuri, ujue tu hafuati mafundisho ya Muddy vizuri..so siku moja tu utashangaa kaenda msikitini, akasikia jinsi Mohammad alikuwa anaua watu, basi naye ubongo unafyatuka ghafla.
Huwezi kuweka matumaini yako kwa kobaz.
 
Lawmaina kama ungewahi kuwa na imani na mjaluo au mluhya wala hii kitu ya kutokua na imani na muslims isingekusumbua,ubaguzi wa kidini na kikabila upo kwenye damu yako
 
Lawmaina kama ungewahi kuwa na imani mjaluo au mluhya wala hii kitu ya kutokua na imani na muslims isingekusumbua,ubaguzi wa kidini na kikabila upo kwenye damu yako

Huyo muarabu aliwaharibu, majitu mnazaliwa huku Afrika na kuua waafrika wenzenu kisa dini aliyoanzisha muarabu, huyo muarabu mwenyewe Huwa amewachukia sana kama hamlijui hilo
 
Happy New Year Ahmed al-Sharaa and the people of Syria. Mungu wa Mbinguni awabariki sana wapenda amani wote.

Mkijitenga na waovu waletao faraka ndani na baina ya jamii na mataifa mtabarikiwa sana! 2025 ukawe wa baraka na amani tele kwenu. Dameski, na Tiro, na Sidon, na Allepo yakawe makao ya amani na upendo tele.
Dameski nyumbani kwa mwanafunzi wa Yesu aliyeiitwa Anania
 
Ni mwanzo mzuri. Mambo ya vurugu za kidini ameamua kuwaachia magaidi Hezbollah, Hamas, Islamic jihad nk
 
Ukiona muislamu anabehave vizuri, ujue tu hafuati mafundisho ya Muddy vizuri..so siku moja tu utashangaa kaenda msikitini, akasikia jinsi Mohammad alikuwa anaua watu, basi naye ubongo unafyatuka ghafla.
Huwezi kuweka matumaini yako kwa kobaz.

Jaribu kutofautisha Uislamu, tabia za watu binafsi, utamaduni wa kiarabu na interest za dunia vs Uislamu.

Uislamu unafundisha amani, upendo, hekima, busara nk. Naamini mtu akiusoma Uislamu vizuri basi lazima awe na hekima na busara kubwa sanaa, na ukimuona mtu kavikosa hivi ujue hakuisoma dini vizuri, nje ya hekima na busara ambazo Mwenyezi Mungu ametubariki na kuwapa wengine zaidi hii karama basi pia Uislamu/Koran ukiisoma vizuri na kuelewa lazima uwe na busara na hekima kubwa hata kama hukuzaliwa navyo kwenye ukoo wenu.

Manipulation ya siasa za dunia inayofanywa na west kuna mahala lazima uwaone baadhi ya waislamu wakorofi, West na USA wako na mipango yao mingine dhidi ya Uislamu na Waislamu pamoja na mataifa ya mashariki ya kati, hapa ndipo Waislamu huonekana wakorofi.
 
Huyo muarabu aliwaharibu, majitu mnazaliwa huku Afrika na kuua waafrika wenzenu kisa dini aliyoanzisha muarabu, huyo muarabu mwenyewe Huwa amewachukia sana kama hamlijui hilo
Kwan mungiki walikua wanawaua kina nani?
 
Back
Top Bottom