Taja hao aliowau Mtume Muhammad (S.A.W)..au hata aliowaagiza wauliwe hebu wataje japo mmoja tu
View: https://youtu.be/IbJ8kV9SL70?si=mjCvbFrmuncqlpBo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja hao aliowau Mtume Muhammad (S.A.W)..au hata aliowaagiza wauliwe hebu wataje japo mmoja tu
Sisi ambao hatuamini kwenye ukristo wala uislamu tunaishi kwa amani sana hatubugudhiwi na mtu.Ukizaliwa katika familia ya Kikristo kwa nchi zenye Waislam wengi unakuwa ni Sawa na swala ama nyati aliyezaliwa katika hifadhi ya Serengeti ama Ngorongoro. Muda wowote Simba au chui anakuua.
Naogopa Sana hiyo Dini iliyoenezwa kwa shinikizo la upanga. Nakushukuru Mungu kwa kunifanya nikazaliwa Tanzania ambapo kuna balance ya Imani.