Kiongozi mpya wa Syria akutana na viongozi wa Kikristo

Sasa mkuu, utasomaje kitabu kinachohamasisha mauaji, kutenga na kunyanyapaa watu wasioamini kama wewe halafu kikufanye uwe na amani, upendo n.k?
Kurani ina aya kadhaa zenye tija, ila haiondoi ukweli kwamba ina maandiko kibao ya chuki na binadamu automatically wanavutiwa na vitu negative.

Muislamu aliyeiva vizuri hana uvimilivu hata kidogo kwa dini zingine na sie tusioamini mambo ya dini.
 
'dini iliyoenezwa kwa shinikizo la upanga'..
 

Attachments

  • FB_IMG_1733849512712.jpg
    46.2 KB · Views: 3
ACtion speaks louder, maneno yatabaki kuwa maneno
 
hizo tabia za watu huwa hamzikemei na wengime tukikemea mnawateta kuwa tunakosoa dini zao na sionan tabia zao
 
Leo umetudhihirishia wazi imani yako, sasa tunajua bila shaka kwamba wewe ni wakala wa Shetani.
 
Waislam ni binadamu kama tulivyo sisi, na wengine ni watu wema sana, wenye hamu ya kuyatimiza mapenzi ya Mungu wa kweli. Tatizo lipo kwenye mafundisho potofu ambayo huwageuza baadhi ya ndugu zetu hawa kuwa maadui wa ubinadamu wetu. Lakini ukweli ni kuwa kuna waislam wengi walioyakataa mafundisho ya kishetani ndiyo maana tunaishi nao bila shida yoyote, hawana tatizo na mtu yeyote, wanafanya ibada zao bila ya kuwa tishio kwa watu wenye imani tofauti na ya kwao.

Lakini ukiwapata wale wanaofuata mafundisho yale ya kishetani kuwa waislam wanatakiwa kuwafanyia ugaidi, na kuwakata vichwa wale wasioamini katika uislam (Quran:8:12 - terrorize and behead those who do not believe in Islam, and strike off their fingertips), hapo utawaona siyo binadamu, ni aheri hata ya mnyama wa mwituni.
 
Acha kusingizka western,shida ya waislam magaidi imeanzia kwenye kitabu cha kurwan,inaamlisha kuua wayahudi na wakristo na baadhi ya maandiko yenu mnaamini masihi hawezi kurudi hadi uzao wote wa wayahudi ufutiliwe mbali kwenye uso wa dunia.

Adui mkubwa wa waislamu kwa mujibu wa maandiko ni uyahudi na ukristo.

Kurwani ndio tatizo kuu na mafundisho yake.

Mana shia na suni hawaelewani,waislam ni watu wema wakiwa minority ila wakiwa majority ni hatari kubwa kwa jamii minority iliyokati yao.

Wadanganye wajinga..wote tuna macho,tuna masikio natuna akili za kungamua mambo.


Mungu ibariki Israel,long live USA
 
As per mafundisho ya kurwani muislam yoyote ni gaidi in making.

Kumbuka waisilamu wote sio magaidi ila magaidi wote ni waislam
 

Huo ni mtazamo wako na fikra zako.
Hizi Aya ulizosema naamini zina tafsiri yake kama zipo, sio mjuzi Sana huko ila tafsiri yake naamini wapo wajuzi humu wenye Elimu kubwa watakuja na hiyo tafsiri.

Swali rahisi: unafikiri Wayahudi na Wakristo sio maadui wa Uislamu?
Swali: Unafikiri kwanini Iran anavikwazo mpaka leo?
Swali? ; Kama Wayahudi na Wakristo wanawaua Waislamu unataka Waislamu wafanye nini?.
Swali: Kwani Hakuna Taifa la Palestina na USA washirika wake hawataki Taifa la Palestina?
Swali: Unafikiri ni sawa Israeli kuwaua wapalestina kwa kiasi kile anachofanya na watu wakakaa kimya?.
 
USA alishirikiana na IS Syria kumuondoa Assad,
USA alishirikiana na IS kumtoa Ghadafi Libya.
USA alishirikiana na Mujaheedin Afghanistan kumuondoa Russia.
USA alishirikiana na Iraq (Sadam Hussein) kupigana na Iran na silaha za sumu zilitumika.
USA alishirikiana waasi wa Chechnya ( ambao walikuwa Waislamu) kupigana na Russia.

Historia ya mafuta SAUDIA VS Historia ya mafuta Iran na influence ya USA na Urafiki wake na hao wote nyakati tofauti, Leo mmoja gaidi mwingine rafiki.

Haya mambo yametuzidi wengi humu ndani, tunahitaji kusoma sana na kuwa na vichwa huru kabla yakukimbilia kuwalaumu Waislamu na kuwaita Waislamu kila aina ya majina.

Historia ya mashariki ya kati, Historia ya Uislamu, Usomaji mzuri wa Koran na kuilewa, Tamaduni za mashariki ya kati Vs Uislamu, Matakwa ya USA mashariki ya kati na ugomvi wake na Uislamu, ni vitu ambavyo watu wengi mnapaswa kusoma na kuvielewa.
 
Ukiona muislamu anabehave vizuri, ujue tu hafuati mafundisho ya Muddy vizuri..so siku moja tu utashangaa kaenda msikitini, akasikia jinsi Mohammad alikuwa anaua watu, basi naye ubongo unafyatuka ghafla.
Huwezi kuweka matumaini yako kwa kobaz.
Mbona mihemko inawapelekesha vibaya!!! Yaani imani yako ndo unaona Bora zaidi ya wenzako, huyo yesu mwenyewe anakana kuuleta ukiristo, wewe mkazi wa Kwa mpalange manundu yanagongana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…