Ukizaliwa katika familia ya Kikristo kwa nchi zenye Waislam wengi unakuwa ni Sawa na swala ama nyati aliyezaliwa katika hifadhi ya Serengeti ama Ngorongoro. Muda wowote Simba au chui anakuua.
Naogopa Sana hiyo Dini iliyoenezwa kwa shinikizo la upanga. Nakushukuru Mungu kwa kunifanya nikazaliwa Tanzania ambapo kuna balance ya Imani.