Tetesi: Kiongozi mwandamizi ajitolea kumtetea Mbowe mahakamani asema hata Mkapa alimtetea Profesa Mahalu pale ilipolazimu!

Tetesi: Kiongozi mwandamizi ajitolea kumtetea Mbowe mahakamani asema hata Mkapa alimtetea Profesa Mahalu pale ilipolazimu!

Inaelekea una habari na uko well informed. Unafaa sana kuisaidia Jamhuri kutekeleza jukumu la kuiweka jamii kwenye mstari!!
[emoji871]Mkuu hayo mambo yako wazi tu.

[emoji871]Tatizo humu JF watu wanajitia upofu na kulalia upande mmoja.
 
[emoji871]Mkuu hayo mambo yako wazi tu.

[emoji871]Tatizo humu JF watu wanajitia upofu na kulalia upande mmoja.
Kwa hiyo mambo yaliyoko wazi ni ya Mbowe kuwa gaidi, na Sabaya kuhukumiwa kimakosa kwa pretext kuwa ni mfungo wa kisiasa!!

Yakobo 4:17 inasema "yeye ajuaye kutenda mema wala hatendi, kwake huyo ni dhambi"....vivyo ikiwa mtu anajitabainisha kuwa ni muovu kwa maneno na matendo tena wazi wazi kama ilivyo kwa Sabaya, bado mnatetea huo ni upuuzi wa hali ya juu.
 
Nilikua naongea na rafiki yangu mmoja wakili wa serikali leo, nikamuuliza naona mmeamua kumpoteza mbowe, akasema hatofungwa ila anapewa jamba jamba kwanza ili awe na heshima kwa mamlaka. Kaniambia hiyo kesi jaji na mawakili wa serikali wote wana maelekezo kutoka juu ya nini cha kumfanya mbowe.
Una uhakika huyo wakili wa serikali hapiti humu jamvini? Kama anapita keshakukujua, ila Nina uhakika hii ni ramli chonganishi ili kujifariji.
 
Kiongozi mmoja mstaafu aliyehudumu katika awamu ya kwanza hadi ya nne na ambaye hayati Magufuli alisema Rekodi yake haitavunjwa amesema atamtetea Freeman Mbowe mahakamani endapo Peter Kibatala atatoa baraka zake.

Mstaafu huyo amesema anamjua Freeman na anaijua Chadema lakini pia anazijua fitna za Wanasiasa wenye ngozi nyeusi.

Mzee huyo amedai ilikuwa ngumu sana mzee Mkapa kumtetea Mahalu ila alipomaliza aliwapa wosia mzito.

huyo ni yule aliyemchafua jpm na sasa anatakakuja kuonyesha yeye ni muungwana sana ili amtetee mbowe halafu jina lake liwe juu zaidi zaidi na zaidi aonekane hakuna kama yeye na wanachama wachadema wanavyokuwaga machawa basi huyu mtu atasifiwa mitandao yotte na milele
 
Kiongozi mmoja mstaafu aliyehudumu katika awamu ya kwanza hadi ya nne na ambaye hayati Magufuli alisema Rekodi yake haitavunjwa amesema atamtetea Freeman Mbowe mahakamani endapo Peter Kibatala atatoa baraka zake.

Mstaafu huyo amesema anamjua Freeman na anaijua Chadema lakini pia anazijua fitna za Wanasiasa wenye ngozi nyeusi.

Mzee huyo amedai ilikuwa ngumu sana mzee Mkapa kumtetea Mahalu ila alipomaliza aliwapa wosia mzito.
Hakuna mtu wa maana aliyesifiwa na Magufuli
 
Huyo Magu ndio kituvo cha huu uovu unaoendelea leo hii.

Ni lazima umsingizie Raisi wetu (RIP) kwa kila jambo kwa maana hautaki kuubali ukweli kwamba Tundu Lisu ndiyo aliyemfunga Mbowe na shida ni Uwenyekiti, Mbowe akikubali kuachia anatoka kesho, hilo unalijua lkn ni ngumu kumeza, Tundu Lisu ndiyo adui yenu na siyo Magu (RIP), Magu hakuwahi kumfunga Mbowe, Mbowe kafungwa na Samia na Samia na Tundu Lisu wote wamoja, got it ?
 
Kufurahia kufa kwa shetani mmoja siyo ujinga, mashetani wengine wanaunafuu hata wanakubali kuketi meza moja na malaika ishara kuwa ipo siku watakujakubadilika na kuongea lugha moja na malaika.
Shetani ni mmoja tu na ni roho hivyo hafi. Tafuteni mifano sahihi.
 
[emoji120]Haya bhana!

[emoji871]Mlipewa Sabaya na akachukuwa Mbowe.

[emoji871]Mmepewa mazungumzo, Mbowe amepata kesi ya kujibu.

[emoji871]Mama anajua kucheza na akili zenu.

[emoji871]Halafu muda kidogo huko mbele Sabaya atapata msamaha.
na Mbowe atashinda kesi.
 
Kwa kuwa Kesi ni ya Michongo......

Jaji ni wa michongo......

Mawakili ni wa michongo.........

Na mashahidi wote wa Jamhuri, nao ni wa michongo.

Let's wait and see, time will tell
Mbowe atafungiwa miaka kedekede kama tunabakia na huu wimbo wa kusema "hii ni kesi ya mchongo" bila kuchukuwa hatua.

Atafungiwa maisha ama kunnyongwa kwa mchongo hivo hivo
 
Kufurahia kufa kwa shetani mmoja siyo ujinga, mashetani wengine wanaunafuu hata wanakubali kuketi meza moja na malaika ishara kuwa ipo siku watakujakubadilika na kuongea lugha moja na malaika.
Nyinyi ni majizi tunawajua tutapamana na nyinyi kwa damu ,usicheze na wazalendo wa kweli ,jpm hakuwa raisi mpumbavu kama mzee wa msoga aka "basha "
 
Huyo Magu ndio kituvo cha huu uovu unaoendelea leo hii.
Magufuli alitangulia mbele ya haki kabla ya Mbowe kukamatwa. Tuisfanye preemptive tactics za kuidhalilisha mahakama kwa kulaumu marehemu kuwa ndiye aliyetoa hukumu ilihali mahakama bado inafanya kazi zake.
 
Kufurahia kufa kwa shetani mmoja siyo ujinga, mashetani wengine wanaunafuu hata wanakubali kuketi meza moja na malaika ishara kuwa ipo siku watakujakubadilika na kuongea lugha moja na malaika.
Huyo unaye mwita shetani ujue sasa hivi chadema wenzako wameanza kumkumbuka na bado mtakubali kuwa jpm ndiye rais wa kweli tz ,na kila mtanzania atataka rais kama jpm very soon, shika haya maneno yangu
 
Yan kabisa unaamini mbowe atafungwa!!? Unachekesha sana yule mama hawezi kukubali kuingia kwenye mtego huo hata chembe nivile tu kwa sasa anajuta kushauriwa vibaya na nafsi yake inamsuta sana
Hivi umesoma nilicho andika kweli maana nakuona unawewe seka ,, mm sikusema atafungwa au la ila nilicho sema kama kifo cha JPM NI MPANGO WA WATU BASI CHADEMA MTAKUWA NA WAKATI MGUMU SANA HATA BILA YA KESI YA MBOWE TENA SIYO CHADEMA TU ILA VYAMA VYOTE VYA UPINZANI ,
 
Sasa hapo ujinga wa Cdm ni upi ?!. Au mimi ndiyo kiswahili chako kimenichenga !!
Ujinga wenu ni ujinga wa nyani kufurahia kifo cha mkulima kwa kuwa anafukuza nyani kula shamba lake basi baada ya mkulima kufa nyani wakakosa chakula maana hakuna wa kulima shamba
 
Acheni kujidhalilisha kwamba vichwa vyenu havina muunganiko na macho.

1. Umesahau namna gani Magu alivyoipangua hii kesi kwa kuwa alipowaambia wampelekee ushahidi wakawa hawana na wamekuja kukiibua baada ya yeye kulala?

2. Kama Magu ndiye ibilisi wako, sasa hayupo, ni Magu huyo aliyekataa kuibariki hii kesi ndiye anayewapa amuri mahakama wafanye wanayofanya?

3. Kama hawa waliopo kwako ni malaika, na wameweza kubadili mambo mengi ya Magu likiwemo la mikataba ya wachina, n.k, kwa nini hili kama wanajua ni ovu, wanaliendeleza kama shutuma zako kwa marehemu ni za kweli?

4. Acheni kujiondoa ufahamu hadi watu wawadharau kwamba hamwezi kufanya mambo kwa ufahamu.

5. Wakati anauawa Mwangosi kwa kupigwa bomu makusudi tena mchana kweupe pale Nyororo, na kisha waandishi wa habari kuanza kufukuzwa kwenye mashamba ya mahindi wakitakiwa wanyang'anywe kamera zao ili picha zile zisitoke, na baadaye wakasema "CHaDEMA wamemuua mwandishi wa habari kwa kumpiga bomu", na baadaye picha zikarushwa chapu chapu zikionyesha anauawa kwa bomu na askari wa polisi wakiwa wamemzunguka wanampiga na rungu kama nyoka, mwangosi anag'ang'ania miguu ya RPC, ambeya hata hivo hakuweza kumwokoa na mtutu wa bomu, utumbo wake ukatawanywa hadharani, na kesi ilivyoendeshwa kkisanii kila mtu akiona, na hukumu iliyotoka , ili kuwa ni enzi ya Magufuli?

6. Wakati Dr. Ulimboka anatekwa na watu wasiojulikana, wakamg'oa meno na kucha bila ganzi kisha kumtumpa Mabwepande, wakidhani kafa, ilikuwa ni siku za Magufuli?

7. Wakati watu wasiojulikana walilpokuwa wanazingira nyumba za viongozi wa CUF zanzibar, wakiwa na magari yanayojulikana, wanawachukua kwa nguvu, na kuwapoteza, ama kuwatupa wakidhani wameshakufa, ilikuwa ni enzi ya Magufuli?

8. Ikiwa Magufuli, ameanza utawala kayakuta haya mambo yakifanyika tena kwa viburi na dharau, ameasisi vipi?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Lawama kwa waliokufa ambazo si za kweli zinawaletea laana na kuwaweka mbali na Mungu mwenye Kweli na Uweza wote. Kama huna hakika ya jambo, au huna sababu ya kusema, nyamaza. Kumchafua mtu kwa kumsingizia uwongo kunawatengenezea mambo magumu sana safarin mwenu. Wananchi watawadharau kwamba hamna uelewa na ama ni wadanganyifu mnaendeshwa kwa mihemuko na chuki na hivoy vivyo hivyo hamwezi kutenda haki. Ama uelewa wenu hautoshi.
Tafadhari sana lindeni hekima ya Mbowe.
CHADEMA KIMEJAA MAVII TUPU HAKUNA MWENYE AKILI HATA KIDOGO SIJUI NI MTZ GANI ANAWEZA KUWA CHAGUA ILI WACHUKUE NCHI[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]tunaweza kuwa chagua tu ili kuleta upinzani nchini ila siyo wachukue nchi .....hawa chadema no zero kabisa
 
Principal moja kubwa sana ya maisha inayotakiwa kuzingatiwa na mtu yeyote yule anapokuwa anaishi mahali POPOTE PALE DUNIANI: Usjaribu kufanya kitu chochote kile ambacho kinaweza kuifanya SERIKALI ikaingia kazini. Usiipe kazi SERIKALI; bali iache SERIKALI yenyewe ikupe wewe kazi, kama itaona kuwa unafaa kupewa kazi
Ww ni zuzu tu

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom