Kiongozi Mwandamizi wa CHADEMA akutana na Kikwete, Kinana na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

Kiongozi Mwandamizi wa CHADEMA akutana na Kikwete, Kinana na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

Hii ndio inafanya wasifute hiyo kesi, we unadhani wao ni wajinga? Hivi unadhani serikali kama ingekuwa na nia mbaya na Mbowe so hata wangemtengenezea ajali?? Hivi huwa mnawaza kwa kutumia nini??
Mbona ajali walishamtengenezea ila akapona.
 
Huijui serikali vizuri mzee, Mbowe ni takataka tu, Aliuawa MKURUGENZI WA TAIFA MSTAAFU KISA KUMSHABIKIA MREMA, SEMBUSE HUYO CHIZI WENU MAKENGEZA MBOWE?? Hivi nyie mkisikia SERIKALI ina mkono mrefu huwa mnaelewa nini??
Acha dharau, ulipo sema makengeza Nikajua Nia yako moyoni ni ipi. Umejaa chuki kwa Mbowe hata ukiulizwa sababu huna. Unaleta misemo eti serikali in mkono mrefu, mbona huo mkono hauonekani kwenye Mambo ya ufisadi au mbona haukuonekana kwenye kesi ya Hamza alipowapiga risasi polisi. Kama mipango miovu kwa Mbowe serikali imefanya mpaka imechoka.

1. Kavunja bilcanass
2. Kuharibu shamba la Mbowe.
3. Kufurushwa nje kampuni yake kwenye Jengo la NHC, ambalo kimsingi lilikuwa la babaake.
4. Kufungiwa kwa gazeti lake.
5. Kuhukumiwa nje ya utaratibu was kisheria, Kama mahakama ya Kuu ilivyosema.
6. Kafungiwa akaunti zake zote za benki.
7. Kuibiwa pesa zake wakati akaunti imefungwa.
8. Kushambuliwa na wasiojulikana na kisha kumsingizia amelewa.
9. Kufunguliwa kesi ya ugaidi .
 
Hawezi kuachiwa sababu ya vigogo wanamtandao ambao Nape anasema ndio wenye chama, hawa wana ugwadu na wale vijana wa mwendazake, pamoja na jamaa kuonyesha tabasamu wakati wote lakini moyo wake umejaa visasi,jamaa hasahau hata kama mligombana karne iliyopita bado atataka akuadhibu, wanaomjua wanamjua tabia yake.
Don't take revenge let KARMA do all the works !!
 
Kiafrika huwezi kuongoza taasisi kubwa na yenye maadui wengi kama CHADEMA au CCM na usifanye crimes. Endapo ikiamuliwa kabisa kufanya upelelezi wa kitaaluma jinai zote kubwakubwa kama utakatishaji fedha,uhujumu uchumi,murder,ugaidi nk hazikosekani kwa viongozi hawa. Hii ndiyo hali halisi

Nachoona,serikali itaweza kuithibitisha mahakama makosa ya Mbowe na atafungwa kifungo kirefu. CDM itaelekeza nguvu zake zote kwenye kesi na kusagau kampeni!

Mimi naona Zitto Kabwe alikua sahihi kwa ombi lake. Hata hizi movement za Mnyika naziunga mkono hasa kwa sababu wamegundua Kibatala hatoweza kumnusuru Mbowe! Huo ndio uhalisia ndugu wana CHADEMA!
Hapana usiweke hiyo conclusion. Ingekuwa kweli mbowe kafanya ugaidi hakuna mtu angebisha, maana ugaidi haujifichi hata kidogo. swali ni je huo ugaidi ulifanyika kwa Siri kiasi kwamba wahanga hawapo? Utamfunga mtu kisa tu umeamua kumfunga?. Unachomfanyia mwingine ndio na wewe utafanyiwa hivyo hivyo refer akina polepole na musiba na Sabaya. Mbowe aachiwe bila masharti Kama sio hivyo kesi iendelee tuambiwe huo ugaidi ulifanyikaje.
 
Mshauri wa SSH alipewa na Kikwete, mshauri wake kama sikosei alikuwa/anaitwa Togolani jina kama sikosei. Huyo sio mshauri bali anakuwa ndiye anapewa maelekezo ya kumwambia SSH cha kufanya, Aibu! Waliiba enzi yao alipokuja JPM wakafilisika sasa wanakomba kila kitu. Watanzania tutajijua wenyewe.
Acha kujishushia heshima.....

Acha kuishushia heshima ofisi ya mh.Rais....

Kwanza umeongopa.....


Halafu unamtaja kuwa ni MSHAURI hapohapo unamuita mtoa MAELEKEZO.....are you serious?!!!!

Ni lini MSHAURI akawa mtoa MAELEKEZO?!!! 😳😳
 
Hivi mpaka sasahivi ccm imeingiza sh.ngapi baada ya kumfunga mbowe?
 
Nolle Prosequie is the easy way out of this if at all we want things to end and be burried for good (Simple & crystal clear !!!).
 
Mlimdanganya jiwe sasa yuko wapi? Endeleeni kumdanganya na mama, ila mjue kuwa shoka bado shinani.
Ya Jiwe muachie Jiwe. Mama hana shida kabisa shida iko kwa CDM, kundi la wahuni
 
Kama ni kweli basi kuna mkono wa mzungu sijajua waafrika tulilogwa na nani, huwezi kumkutanisha kikwete, kinanana, DG kwa akili za kiswahili bila mzungu kuchip in
 
Mbowe hana hatia akiachiwa kwa style yoyote iwayo bado hana na hatakuwa na hatia. Sanasana dunia itatafsiri kwamba serikali imejinasua. Full stop.
Tena itakuwa imejinasua kwenye mtego mbaya.
 
Kuna watu wanafurahia mateso ya watu.
Ok tufanye Mnyika alikutana nao hao anaowataja so what!
Eti aje akanushe Ndio nini sasa
Ukubwa sio akili
Mpuuzi sana chalali sijui nani
Mm namuunga mkono John , bila kujiongeza hawa wajinga watamfunga kweli
 
Duh! Sijui kama hata wewe mwenyewe unaelewa unachoandika!

Kumtaka Samia amwachie huru Mh. Mbowe ni tifauto kabisa na kuomba msamaha.

Mnyika kuwaomba viongozi wastaafu wasaidie kumshauri au kumtaka Samia amwachie Mbowe, ni sahihi kabisa, na haikinzani na kauli yoyote ya kiongozi yeyote wa CHADEMA.
Samia hana mamlaka ya kumwachia mtu ambaye kesi yake iko mahakamani.
Labda kama mnataka Mbowe ahukumiwe kwanza, apatikane na hatia kisha Samia ndo amwachie
 
Vipi ikiwa Samia akiwa ndiye kawatuma , Kikwete , Kinana na Mtunga uongo wa kesi hiyo aliyeshirikiana na Magufuli na baadaye Samia kumweka selo Mbowe anayeitwa Diwani Athumani ILI KUMUANGUKIA MNYIKA ASHAWISHI CHADEMA IKUBALI MBOWE AACHIWE ?

Na je ikiwa Mnyika akiwaeleza hao akina kikwete na kundi lake msimamo wa Chadema kwamba Serikali ndio imuombe radhi Mbowe kwa kesi ya uongo na ya kutunga kishamba kabla ya kumuachia utakuwa tayari kuripoti pia ?
Wewe unaamini kwamba serikali itamuomba radhi Mbowe kwa namna yoyote ile?
 
Mbona Chadema wamesema kuwa kwa muda mrefu majadiliano yamekuwa yakiendelea kuhusu kuachiwa kwa Mwenyekiti wao? Lissu alisema kuwa kabla ya mkutano wa Dodoma waliongea na Warioba na Butiku kuhusu jambo hili. Wao siku zote wanapinga kuachiwa Mwenyekiti wao kwa masharti, hili liko wazi. Mnyika kuongea na uliowataja hakubadilishi jambo.

Amandla...
hawa chadema sometimes ni wa ajabu Sana . sasa unahangaika kwa wastaafu sijui kikwete. Mara kinana Mara warioba kuwaambia mbowe hana hatia. Harafu inatokea chance Kama ya juzi ya kuonana na mtesi wao wanasusa mkutano . hivi mfano chadema wangehudhuria juzi harafu wakayaongea hayo mbele ya rais huoni kuwa wangekuwa wamefanya jambo la maana zaidi. Sasa wanahangaika na wazee sijui akina mangula , butiku waende wakamwambie rais aifute kesi . rais huyohuyo akitaka kuonana nao ili asikilize malalamiko yao uso kwa uso hawataki. Chadema hii mbinu sidhani Kama itasaidia .
 
Samia hana mamlaka ya kumwachia mtu ambaye kesi yake iko mahakamani.
Labda kama mnataka Mbowe ahukumiwe kwanza, apatikane na hatia kisha Samia ndo amwachie
Hana wapi ww, Anamwambia tu DPP aachane na case hiyo, DPP anaandika hati hana nia ya kuendelea na kesi mambo yanaisha
 
Hapana usiweke hiyo conclusion. Ingekuwa kweli mbowe kafanya ugaidi hakuna mtu angebisha, maana ugaidi haujifichi hata kidogo. swali ni je huo ugaidi ulifanyika kwa Siri kiasi kwamba wahanga hawapo? Utamfunga mtu kisa tu umeamua kumfunga?. Unachomfanyia mwingine ndio na wewe utafanyiwa hivyo hivyo refer akina polepole na musiba na Sabaya. Mbowe aachiwe bila masharti Kama sio hivyo kesi iendelee tuambiwe huo ugaidi ulifanyikaje.
Mkuu kama unafuatilia case sidhan kama ungembishia huyo jamaa , hii case inapindishwa sana , hakuna jema hapo , hawa wajinga watamfunga kweli, wanapindisha sana sheria iendane na wanachotaka wao
 
Back
Top Bottom