Kiafrika huwezi kuongoza taasisi kubwa na yenye maadui wengi kama CHADEMA au CCM na usifanye crimes. Endapo ikiamuliwa kabisa kufanya upelelezi wa kitaaluma jinai zote kubwakubwa kama utakatishaji fedha,uhujumu uchumi,murder,ugaidi nk hazikosekani kwa viongozi hawa. Hii ndiyo hali halisi
Nachoona,serikali itaweza kuithibitisha mahakama makosa ya Mbowe na atafungwa kifungo kirefu. CDM itaelekeza nguvu zake zote kwenye kesi na kusagau kampeni!
Mimi naona Zitto Kabwe alikua sahihi kwa ombi lake. Hata hizi movement za Mnyika naziunga mkono hasa kwa sababu wamegundua Kibatala hatoweza kumnusuru Mbowe! Huo ndio uhalisia ndugu wana CHADEMA!