Tetesi: Kiongozi mwandamizi wa Hamas auawa katika shambulizi la leo katika kambi ya Al-Islam Nuseirat -Gaza

Aya nyengine hii umeleta Yesu anasema ukristo ni dini ??
 
Sio mbaya, hapo Israel kafyeka 210 na wengine wataongezeka, mrudi mseme hao mateka walikuwa wanashilikiliwa na raia na sio Hamas.
 
Ah! Hamna msimamo. Mara mseme ni Special Forces Operantions, mara ni Delta Force ... sasa Delta force na Special Operations ni kitu kile kile au ni vitu viwili Tofauti? OK, sasa semeni ni Marine seals au Blackwater au........ruksa.
 
Ina maana hadi leo hujui kwamba kuna wanajeshi wa marekani idf ?
Kama wapo wanahesabika kama ni wanajeshi wa IDF na sio US army.
Hata hivyo hakuna cha ajabu hapo. Hivi wale Jamaa wa Kiarabu (vizee na vikongwe) waliojitolea kwenda kushikisha adabu Myahudi na kutembea kwa miguu Km 2000+ walikuwa wanaenda wapi na waliishia wapi?
 
Hiyo ni mbinu ya kivita, kwenye vita lolote linaweza kutokea hata hila hutumika. Israel bila msaada kutoka taifa lolote anaweza kupigana na akashinda.
 
Huyo Chief wa Hamas aliyekufa naomba kati ya wale mabikra 72 anipatie walau mmoja tu ili na mimi nijifungue njia.
 
Hiyo ni mbinu ya kivita, kwenye vita lolote linaweza kutokea hata hila hutumika. Israel bila msaada kutoka taifa lolote anaweza kupigana na akashinda.
Inaonekana hawa majamaa ni maduanzi kweli-kweli . Hawawezi kujiongeza. Wanadhani mapigano ya kivita ni kuzingatia na kukariri yale uliyojifunza kambini au Depo tuu. Mwenzao kajiongeza na matokea ikawa Mashabiki wa Mabkra 72 wakapisha njia eneo la soko.
 
Sema wale jamaa wanaokuwa na majeruhi hata mi huwa Nina mashaka nao kuwa ni Hamas wanaokuwa eneo la tukio
Ni waislam wa tz pekee ndio wanafurahia hii vita ila huko kwingine wanaomba iishe
Si waislamu labda useme Wayahudi wa tz ndo wanaofurahia mauaji ya watoto
 
Huyo Chief wa Hamas aliyekufa naomba kati ya wale mabikra 72 anipatie walau mmoja tu ili na mimi nijifungue njia.
Amewasotea sana hawezi kukupa hiv-hv.
 
Si waislamu labda useme Wayahudi wa tz ndo wanaofurahia mauaji ya watoto
Sasa mbona Kuna report kwa vyanzo mbalimbali hapa tz kuwa hamas inawachakaza vibaya idf!
Na wanayofanya ni madogo sana
 
Myahudi mmoja ana thamani ya watanzania wangapi
 
Sasa mbona Kuna report kwa vyanzo mbalimbali hapa tz kuwa hamas inawachakaza vibaya idf!
Na wanayofanya ni madogo sana
Vyombo gani mkuu au ni watu wachache wa humu jf, we angalia tu comment zao humu ni hao wayahudi wa humu ndo wanaoshabikia vifo vya wasio na hatia
 
Myahudi mmoja ana thamani ya watanzania wangapi
Turudi pale Entebe labda tutapata clue kwani Watz hatujawahi kuwateka Wayahudi na hatuna mpango huo. Ninachojua ni kwamba Myahudi anaweza akakomba wengi kadri itakavyolazimu ili kuwaokoa Wayahudi waliotekwa. Au ungependa tujaribu mkuu, ili tupate mizania linganifu iliyo sahihi?
 
Vyombo gani mkuu au ni watu wachache wa humu jf, we angalia tu comment zao humu ni hao wayahudi wa humu ndo wanaoshabikia vifo vya wasio na hatia
Kweli hilo ni angalizo muafaka. Humu jf atasoma mengi sana na yanaweza yakamchanganya bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…