Sawa. Tusubiri Mwisho wa siku kitaeleweka ni nani aliyevaa pampas au nani aliyevikwa pampas. Hizo kobasi bado kidogo zitakuwa ni nzito kwenu.Wewe tafsiri unavojua ila marekani ndo kaingilia kati kuwasaidia wavaa pampas.
Mkuu, Hivi unajua kwamba katika vita, Mateka (POW) ni mtu muhimu sana na kawaida wanahifadhiwa kwenye ngome madhubuti ? Nyumba za wakimbizi ni duni, dhaifu na hazina thamani kiasi kwamba haziwezi kutumika kama mbadala wa ngome. Wakimbizi ni raia na Nyumba za wakimbizi pia ni za kiraia ndo mana zinaitwa kambi za wakimbizi.We hivi unaijua Gaza vizuri Hamasi wangekuwa wanaishi kwenye nyumba za raia Israel angeisha shinda vita zamani, inatosha wale wafuasi wa Abbas wangeisha waonyesha wa Israel zamani.
Pili Hamasi ataweka wapi silaha zake au Missiles zake kwenye majumba, hivi we akilini kwako Hamasi wanaishi kwenye majumba ya civilian? Labda uwe haupo sawa kichwani kwako.
Kuna matekwa Hamasi kawasambaza Gaza ili wakifanikiwa kuokoa badhi wengine wasifanikiwe hawezi kuwaweka wote sehemu moja.
We unadhani Hamasi wajinga vile wawachukue matekwa wakaishi nao lazima wawatafutie sehemu tofouti na wanao ishi wao.
Mimi mvaa rozari kama wewe ila najitambua nasimamia nini?Sawa. Tusubiri Mwisho wa siku kitaeleweka ni nani aliyevaa pampas au nani aliyevikwa pampas. Hizo kobasi bado kidogo zitakuwa ni nzito kwenu.
Mkuu; Kama ndo hivo unashindwaje kuona ni aina gani ya vita au mapigano wanayotumia hao wanaodai wanaipigania HAKI yao i.e. Kuikomboa Ardhi walioporwa? Mapigano yao yamekaa kihuni-huni hayana utaratibu wanawahusisha na wasiojua mambo ya jeshi na wanaingiza Udini kwa nguvu ili kupata kuungwa mkono? e.g.Mimi mvaa rozari kama wewe ila najitambua nasimamia nini?
Unaniuliza mimi kwani naitwa british maulana? We mwehu kumbe 🤣🤣Uliulizwa cheo hicho Maulana katika uislamu ulikiona wapi ? Mbona umechanganyikiwa
Wakitoa daawa mnawakanaHakuna Shekhe anaitwa Maulana sijawahi sikia, sana sana wako viongozi wa nchi ndio wanaitwa vile kama mfalme wa Morocco au Oman hicho ni cheo cha uongozi wa nchi sio dini.
Tena hata hao wafalme kuna watu hawapendi waitwe vile, sababu kinatumiwa kwa mfalme wa wafalme tu ambaye ni Mungu peke yake.
Kwanza huyo kakaa kama mchezaji disco tu, hata maongezi yake anaonyesha ni Pro Western, anatumiwa kuongea ujinga kwa jina la Uislam kama walivyo watumia ISIS
Kuchanganya kwao dini siwezi kuingilia maana hata waisraeli nao husema kuwa ardhi hiyo ilikua yao miaka 3000 iliyopita kulingana na vitabu vyao vya dini.Mkuu; Kama ndo hivo unashindwaje kuona ni aina gani ya vita au mapigano wanayotumia hao wanaodai wanaipigania HAKI yao i.e. Kuikomboa Ardhi walioporwa? Mapigano yao yamekaa kihuni-huni hayana utaratibu wanawahusisha na wasiojua mambo ya jeshi na wanaingiza Udini kwa nguvu ili kupata kuungwa mkono? e.g.
1. Ardhi ya Palestina ina dini gani?
2. Wapiganaji hao hawataki watambulike kwa mavazi rasmi (Combat) bali wanavaa jinsi wanavyojisikia na kuwatumia raia kama ngao.
3. Wamtengeneza mahandaki(Tunnels) lakini milango ya kuingia imefichwa katika nyumba maalum za kutolea huduma za kijamii e.g. Hospitali, mashule/vyuo na Misikiti hakuna kwenye kanisa au sunagogi.
4. Wanakuwa ni wakatili hata kwa raia (Wapalestina)wao wenyewe e.g. huwazuia raia wasikimbie au kwenda maeneo salama simply kwa sababu ni maelekezo ya IDF na wanapora vyakula na vifaa tiba vinavyoletwa kama msaada kwa raia walioumia au wenye njaa kali.
5. Wanatanguliza uongo kujihami pale wanapokuwa wamefanya tukio ovu likajulikana e.g. walipowaua wa Tz walisema ni IDF wameua baadaye wakasema hao waTz walikuwa ni wanajeshi wa IDF etc.
6. Wanachanganya Udini katika mapambano yao e.g. Wanako kale kamwimbo kao "Taqubiiirr, Allahu' Akbar" Mie huwa nasikia hiyo "Allahu Akbar" wakati wa Adhana saa 7 mchana kiongozi akiwaalika waumini wa Kiislam kwenda kuswali. Sasa inapotamkwa katika mapambano maana yake nini?
Kina nani hao Ndugu zenu walio mpigilia msalabani Yesu au?Wakitoa daawa mnawakana
Wakifanya fujo ugenini ndugu zenu
Uko sahihi KABISA mkuu. Wapalestina ni Binadamu kama walivyo Binadamu wengine na wanayo haki ya kuishi hapa duniani na kuzifaidi mali na baraka katika nchi yao. Wanayo haki ya kutambuliwa na kuheshimika kama Taifa huru na sio Taifa lililo Uhamishoni i.e. hawana kwao.Kuchanganya kwao dini siwezi kuingilia maana hata waisraeli nao husema kuwa ardhi hiyo ilikua yao miaka 3000 iliyopita kulingana na vitabu vyao vya dini.
Aidha mbinu wanazotumia wapalestina kupigana pia siwezi kuzipinga maana vitani huwezi kuwa na chaguo la silaha au mbinu hasa unapokua mnyonge kama wapalestina.
Mwisho kabisa mimi naungana na marehemu mwalimu Nyerere na mzee Nelson Mandela katika kuwaunga mkono wapalestine kupata taifa lao huru.
British MaulanaKina nani hao Ndugu zenu walio mpigilia msalabani Yesu au?
Hizo ni kelele za Israel sababu anachuki na Al Jazeera, hakuna nchi inaweza kutoa dalili kweli huyo ni Hamasi.Yule Mtangazaji wa Al Jazeera ndio alikuwa Hamass?!
Acha maneno mengi huyu Gaidi anaitwa Abdala Aljamal ndie alikuwa amewaweka Mateka wasiokuwa na hatia Nyumbani kwake.Hizo ni kelele za Israel sababu anachuki na Al Jazeera, hakuna nchi inaweza kutoa dalili kweli huyo ni Hamasi.
Inatosha huyo matekwa wa Israel wa kike amethibitisha ulimwenguni Hamasi hatesi matekwa, katoka hata nyusi zake kachonga, amependeza, alikuwa akienda madukani kawaida umesikia interview yake anawasifia Hamasi wamemuokoa mara chungu nzima alikuwa afe kwa namna dege za Israel zikirusha maboom kwenye nyumba alio wekwa aishi,amesema hakuwahi kwenda kwenye tunnels.
Wambie Israel watuonyeshe matekwa wa Palestine, utakuta kavunjwa mkono, kakatwa sikio, kachomwa mwili mzima hilo ndio taifa teule au taifa la shetani.
Tukiwambia ukristo ni ulevi mnabisha 😄
Yani wewe mtu akodishe nyumba yako au apartment kwako kama ni mwanajeshi, basi na wewe umekuwa mwanajeshi 😄Acha maneno mengi huyu Gaidi anaitwa Abdala Aljamal ndie alikuwa amewaweka Mateka wasiokuwa na hatia Nyumbani kwake.
Mateka wamekombolewa na yeye kala Shaba.
Ni Mwandishi wa Aljazeera.
View attachment 3014554
👆😁😁 Marehemu Gaidi amekula Shaba za kutosha.
Alikodisha Nyumba ulikuwa nae?!Yani wewe mtu akodishe nyumba yako au apartment kwako kama ni mwanajeshi, basi na wewe umekuwa mwanajeshi 😄
Akili zingine zinatakiwa zikapimwe vizuri kama huwa zinafunction vizuri
We akili zako fyatu kweli we una sema huyo aliwaweka matekwa kwake, we una dalili gani yeye aliwaweka hao matekwa yeye?Alikodisha Nyumba ulikuwa nae?!
SawaHaha hio nyimbo mtaisubiri sana kufa ni Amri ya Mungu tu, ikifika siku yake kufa hata kama amelala atakufa tu lakini eti jeshi la Pampers wamsogele sidhani
Kambishie Mtume aka allah!
Mimi hayanihusu!
Mimi naburudika na mbuzi Katoliki na kushushia
Tatizo ni kukaririshwa Kwa bakora za makalio madrasa!Yani unataka kunionyesha una maisha mazuri kwa kupiga screen shot vyakula vya watu, we kweli njaa nimeamini.
Unasikia wewe sister hakuna hadithi zanamna hio mtume akaongea matusi eti anaye tukana anajambiwa na shetani hahaha 😆
Ungesema labda Usitukamne pale uko kwenye hamaki, au usitukane watu, au ukihamaki katawadhe sababu hamaki huwa inatokana na shetani hapo ningesema hizo kweli hadith za Mtume.
Lazima ufahamu Mtume Muhammad alikuwa hakeri watu, hatukani daima maneno yalikuwa mazuri na mwenye sifa nzuri huyo ndio Mtume Muhammad.