Tetesi: Kiongozi mwandamizi wa Hamas auawa katika shambulizi la leo katika kambi ya Al-Islam Nuseirat -Gaza

Turudi pale Entebe labda tutapata clue kwani Watz hatujawahi kuwateka Wayahudi na hatuna mpango huo. Ninachojua ni kwamba Myahudi anaweza akakomba wengi kadri itakavyolazimu ili kuwaokoa Wayahudi waliotekwa. Au ungependa tujaribu mkuu, ili tupate mizania linganifu iliyo sahihi?
Hujasema myahudi ana thamani ya wabongo wangapi naona umetoa mfano ambao hauendani maana pale juu ulisema myahudi ana thamani kuliko watu wengine
 
Mmepoteza askari 10 mmoja ni officer wa special force kwa kupata matekwa 4 tena kwa kusaidiwa na America kutumia warabu wanafiki ndio mnajisifu, afu katika hao matekwa wanne, walikuwepo wengine wamekufa Israel kauwa matekwa wake wengine sa hu si ujinga[emoji1]
Sasa 10 kwa 210 we kweli zuzu
 
Wayahudi hawawataki wanakwambia nyinyi ni wa kukatwa vichwa tu na bado unawashabikia , huu ni ugonjwa
Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them – 47.4”
 
Aya nyengine hii umeleta Yesu anasema ukristo ni dini ??
Yesu aliongelea ukristo wapi, tupe maandiko. Ila fahamu kwamba uislam sio dini ila ni kile waingereza wanaita CULT.
 
Taarifa kutoka katika vyanzo mbalimbali kutoka nchi za kiarabu ambazo hazijathibitishwa zinasema Mohammed Deif ([emoji1193]Hamas's chief of staff ) ameuawa katika operesheni maalum iliyofanywa n jeshi la Israel (IDF[emoji1134]) iliyofanyika katika kambi ya wakimbizi Nuseirat iliyopp gaza mbayo imepelekea vifo vya wapalestina 210 na kuacha majerui 420, ambapo mateka 4 wa Israel waliokuwa wakishikiliwa na Hamas wefanikiwa kuokolewa.

Kwa mujibu wa vyanzo hivyo, inasemekana mwili M. Deif Upo mikononi mwa jeshi la Israel

Msemaji wa IDF alipoombwa kudhibitisha juu ya tukio hilo la kuuawa kwa M. Deif alikana taarifa hizo.
Acha wale matunda ya kazi yao. Israel ni baba wa vita. Chokoza uone utakavyosiginwa kama sungusungu
 
Mkuu, usifanye masihara; vifo 210 na majeruhi 410 unandiriki kusema eti hakuna walichofanya? Labda ungelisema kwamba hiyo Taarifa ni ya uongo halafu ww ukatuwekea iliyo ya ukweli.
Hivi we unaelewa nilicho ongea kwenye Military Strategy kipi cha mana alicho fanya? Kuokoa 4 na kuliwa 4 na kupoteza askari 10.

We kama unachukulia walio uliwa 210 ni Hamasi ni ndoto hao ni raia wakawaida.

Hamasi kapoteza askari wawili tu wale walio kuwa wakiwalnda hao matekwa.
 
Hujasema myahudi ana thamani ya wabongo wangapi naona umetoa mfano ambao hauendani maana pale juu ulisema myahudi ana thamani kuliko watu wengine
Mkuu, Rudia kuisoma comment yangu vizuri kuhusu nilichokisema. Sikusema kwamba Myahudi ana thamani kuliko watu wengine bali nilisema: "Myahudi mmoja ana thamani kubwa mno kuliko mnavyolichukulia nyie....."
Sasa nyie (Wapalestina wa Bongo?)mnalichukuliaje hilo i.e. Mme mlalamikia Myahudi kwa maneno eti ... "wako radhi Gaza nzima wafe kisa watu 120 mbwa hawa".
Hapo ndipo Nikawatanabahisha kwamba Myahudi yuko very sensitive linapokuja suala kuhusu mustakabali wa Uhai wa Raia(Citizen) wake. Myahudi atawalinda Raia wake kwa gharama yoyote ile. Sasa nyie wabongo mjiongeze kwamba gharama yoyote ile ni kiasi gani in terms of wabongo au wengineo Gaza inclusively.
Mfano wa Entebe ni sahihi lengo ni ili kukuonesha Myahudi hatojali mnakufa wangapi ili thamani itimie (break even)bali atawakwanyua kiasi chochote kile (hakuna kipimo - yard stick) almradi tu Raia wake waliotekwa popote walipo wakombolewe. Na hilo alilifanya kule Entebe.
 
Hivi we unaelewa nilicho ongea kwenye Military Strategy kipi cha mana alicho fanya? Kuokoa 4 na kuliwa 4 na kupoteza askari 10.

We kama unachukulia walio uliwa 210 ni Hamasi ni ndoto hao ni raia wakawaida.

Hamasi kapoteza askari wawili tu wale walio kuwa wakiwalnda hao matekwa.
Duh! Raia wa kawaida wanaishi katika kambi ya Al-Islam Nuseirat -Gaza?
Maneno yenu ya uongo! mnajisokota-sokota kama samaki kwenye nyavu.
Kumbukeni mlichosema hapo awali kwanza msibabaishe watu kwa kauli geugeu.
 
Kama wapo wanahesabika kama ni wanajeshi wa IDF na sio US army.
Hata hivyo hakuna cha ajabu hapo. Hivi wale Jamaa wa Kiarabu (vizee na vikongwe) waliojitolea kwenda kushikisha adabu Myahudi na kutembea kwa miguu Km 2000+ walikuwa wanaenda wapi na waliishia wapi?
Hii inadhihirisha kuwa hawa idf si lolote si chochote ni kama hollywood movie tu, hakuna wanachoweza ni spoilt child wa marekani
 
Kama ni sahihi kuwa IDF si lolote si chochote hivyo vilio huko Gaza navyo ni scene mojawapo ya hollywood movie sio?
 
Yesu aliongelea ukristo wapi, tupe maandiko. Ila fahamu kwamba uislam sio dini ila ni kile waingereza wanaita CULT.
Haya tutambie huyo aliyeongelea Ukristo kuwa ni dini ni na i tupe Aya ya biblia , maana unajaribu kumsaidia mwenzako kabla kukuwa kaandika nini
 
Duh! Raia wa kawaida wanaishi katika kambi ya Al-Islam Nuseirat -Gaza?
Maneno yenu ya uongo! mnajisokota-sokota kama samaki kwenye nyavu.
Kumbukeni mlichosema hapo awali kwanza msibabaishe watu kwa kauli geugeu.
dogo ni aibu unacho ongea hio si camp ya jeshi haha 😄
Kwa tarifa yako Nuseirat is a Palestinian refugee camp located in the middle of the Gaza Strip kuwaweka hao matekwa pale ni kujaribu kuwaweka kwenye hali nzuri usidhani Hamasi watakuwa wajinga waweka jeshi lao pale.
 
Maulana anasema mashoga mnaosapoti palestina mko wengi ndo maana allah hatoi ushindi kwao

View: https://x.com/Thexmuslim/status/1769446370803400879?t=IMAOqn3Mi_9KrfRt_jIVMw&s=19
Hakuna Shekhe anaitwa Maulana sijawahi sikia, sana sana wako viongozi wa nchi ndio wanaitwa vile kama mfalme wa Morocco au Oman hicho ni cheo cha uongozi wa nchi sio dini.

Tena hata hao wafalme kuna watu hawapendi waitwe vile, sababu kinatumiwa kwa mfalme wa wafalme tu ambaye ni Mungu peke yake.

Kwanza huyo kakaa kama mchezaji disco tu, hata maongezi yake anaonyesha ni Pro Western, anatumiwa kuongea ujinga kwa jina la Uislam kama walivyo watumia ISIS
 
Mkuu, Rudia kuisoma comment yangu vizuri kuhusu nilichokisema. Sikusema kwamba Myahudi ana thamani kuliko watu wengine bali nilisema: "Myahudi mmoja ana thamani kubwa mno kuliko mnavyolichukulia nyie....."
Sasa nyie (Wapalestina wa Bongo?)mnalichukuliaje hilo i.e. Mme mlalamikia Myahudi kwa maneno eti ... "wako radhi Gaza nzima wafe kisa watu 120 mbwa hawa".
Hapo ndipo Nikawatanabahisha kwamba Myahudi yuko very sensitive linapokuja suala kuhusu mustakabali wa Uhai wa Raia(Citizen) wake. Myahudi atawalinda Raia wake kwa gharama yoyote ile. Sasa nyie wabongo mjiongeze kwamba gharama yoyote ile ni kiasi gani in terms of wabongo au wengineo Gaza inclusively.
Mfano wa Entebe ni sahihi lengo ni ili kukuonesha Myahudi hatojali mnakufa wangapi ili thamani itimie (break even)bali atawakwanyua kiasi chochote kile (hakuna kipimo - yard stick)

Mkuu, Rudia kuisoma comment yangu vizuri kuhusu nilichokisema. Sikusema kwamba Myahudi ana thamani kuliko watu wengine bali nilisema: "Myahudi mmoja ana thamani kubwa mno kuliko mnavyolichukulia nyie....."
Sasa nyie (Wapalestina wa Bongo?)mnalichukuliaje hilo i.e. Mme mlalamikia Myahudi kwa maneno eti ... "wako radhi Gaza nzima wafe kisa watu 120 mbwa hawa".
Hapo ndipo Nikawatanabahisha kwamba Myahudi yuko very sensitive linapokuja suala kuhusu mustakabali wa Uhai wa Raia(Citizen) wake. Myahudi atawalinda Raia wake kwa gharama yoyote ile. Sasa nyie wabongo mjiongeze kwamba gharama yoyote ile ni kiasi gani in terms of wabongo au wengineo Gaza inclusively.
Mfano wa Entebe ni sahihi lengo ni ili kukuonesha Myahudi hatojali mnakufa wangapi ili thamani itimie (break even)bali atawakwanyua kiasi chochote kile (hakuna kipimo - yard stick) almradi tu Raia wake waliotekwa popote walipo wakombolewe. Na hilo alilifanya kule Entebe.
Sasa hapo mbona umeonyesha uwezo wa kuua watu wasio na hatia lakini hapo sijaona huo uwezo wa kulinda kwa sababu hapo kaokoa wanne tu na wamepoteza askari mmoja na mateka kadhaa wamekufa. Hao watu wa gaza hawana jeshi kama hao wauaji vinginevyo pangechimbika wala usiwape promo hao jeshi la pampers
 
Sijawapa promo jeshi la pampers bali nimetanabahisha jinsi ambavyo Myahudi yuko makini kwa Raia wake.
 
dogo ni aibu unacho ongea hio si camp ya jeshi haha 😄
Kwa tarifa yako Nuseirat is a Palestinian refugee camp located in the middle of the Gaza Strip kuwaweka hao matekwa pale ni kujaribu kuwaweka kwenye hali nzuri usidhani Hamasi watakuwa wajinga waweka jeshi lao pale.
Sasa mkuu; huo si ni uthibitisho dhahiri mnapoambiwa HAMAS mnachanganya na raia halafu mnakataa Hapo imekuwaje tena??? eti kuwaweka Mateka kwenye hali nzuri. Hali nzuri kivipi kwa Mateka?
 
We hivi unaijua Gaza vizuri Hamasi wangekuwa wanaishi kwenye nyumba za raia Israel angeisha shinda vita zamani, inatosha wale wafuasi wa Abbas wangeisha waonyesha wa Israel zamani.

Pili Hamasi ataweka wapi silaha zake au Missiles zake kwenye majumba, hivi we akilini kwako Hamasi wanaishi kwenye majumba ya civilian? Labda uwe haupo sawa kichwani kwako.

Kuna matekwa Hamasi kawasambaza Gaza ili wakifanikiwa kuokoa badhi wengine wasifanikiwe hawezi kuwaweka wote sehemu moja.

We unadhani Hamasi wajinga vile wawachukue matekwa wakaishi nao lazima wawatafutie sehemu tofouti na wanao ishi wao.
 
Hivi we unaelewa nilicho ongea kwenye Military Strategy kipi cha mana alicho fanya? Kuokoa 4 na kuliwa 4 na kupoteza askari 10.

We kama unachukulia walio uliwa 210 ni Hamasi ni ndoto hao ni raia wakawaida.

Hamasi kapoteza askari wawili tu wale walio kuwa wakiwalnda hao matekwa.
Askari akifa vitani ni jambo la kawaida . Hata wangeokoa raia mmoja wakafa kumi bado ni jambo la kawaida kwenye vita. Unatakiwa kujua thamani ya raia 1. Kumbuka raia 210 wamesababisha zaidi ya waelfu ya wanajeshi kupelekwa front line.

Mwanajeshi anaeenda vitani kuna mawili kufa au kuua kwa ajili ya ushindi. Ndo maana kwenye vita akifa raia ni kosa na hata uchunguzi unaweza fanyika.

Tusishabikie hii vita . Ujinga wa Hamas na wanao washabikia umefharimu wasio na hatia. Hakuna ushindi wowote wanao upata hapa. Wamepoteza kila kitu. Tusidanganyane hapa. Waachie mateka wote kusitisha vifo vya watu wasio na hatia.

Pia wasitumie raia kama ngao ya kujikinga kwani wanapelekea mauaji. Wanachofanya wanapoteza musa na kusogeza tarehe za misiba mbele lakini watafikiwa
 
Back
Top Bottom