Salaam,Shalom!!
Yalitokea mauwaji Nchi Jirani ya Kenya,na waliripotiwa kufa watu wengi sana, Damu ya watu isiyo na hatia ilimwagika.
Kiongozi mmoja wapo aliyekuwa na ushirika na Pastor Mc Kenzie, anatamani sana Nchi yetu, kwake Tanzania ni shamba lenye mavuno mengi. Yalipotokea maporomoko Hanang ,alijitokeza na Kutoa msaada,
Nionavyo, msaada Ule, ililenga kulegeza tension na mkwamo alioupata baada ya Mkutano wake Arusha kufutwa haraka na mamlaka za nchini petu.
Nimesikia tena mtu huyu, amekwishaanza promotion na maandalizi ya kufanya mkutano tena nchini, zamu hii ni pale Mwanza mwezi July 2024.
Kiongozi huyu amekiri kumiliki mortuary na kuuza majeneza, sasa jiulize kati ya Uzima na MAUTI, kipi kipaumbele chake!!
USHAURI: Mamlaka zizuie mkutano huo nchini petu Ili kuzuia mbegu ya yule mwovu kumea juu ya ardhi ya nchi yetu nzuri TANZANIA.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿. Amen