Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
toka pepooo toka shetaaani tokaSi Kila mhubiri ajapo analeta neema,
Hapo Kenya walimualika Benn Hinn, nadhani umeona alichokileta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
toka pepooo toka shetaaani tokaSi Kila mhubiri ajapo analeta neema,
Hapo Kenya walimualika Benn Hinn, nadhani umeona alichokileta.
Utakuja kujua kumeshakucha.toka pepooo toka shetaaani toka
Ametajwa wapi Gwajima humu?Gwajima unaugua surua au ?
pepo mchafu tokaaa pepoooUtakuja kujua kumeshakucha.
Open your eyes and see🤔
Hapo ndio wapi mkuu?Mwovu anajiingiza Kwa Siri Patakatifu pa Patakatifu.
Ni pale mtu anapojiita shehe hapo hapo anauza majini Kwa waumini Ili wapate chumaulete,Hapo ndio wapi mkuu?
Umesomeka mkuuSalaam,Shalom!!
Yalitokea mauwaji Nchi Jirani ya Kenya,na waliripotiwa kufa watu wengi sana, Damu ya watu isiyo na hatia ilimwagika.
Kiongozi mmoja wapo aliyekuwa na ushirika na Pastor Mc Kenzie, anatamani sana Nchi yetu, kwake Tanzania ni shamba lenye mavuno mengi. Yalipotokea maporomoko Hanang ,alijitokeza na Kutoa msaada,
Nionavyo, msaada Ule, ililenga kulegeza tension na mkwamo alioupata baada ya Mkutano wake Arusha kufutwa haraka na mamlaka za nchini petu.
Nimesikia tena mtu huyu, amekwishaanza promotion na maandalizi ya kufanya mkutano tena nchini, zamu hii ni pale Mwanza mwezi July 2024.
Kiongozi huyu amekiri kumiliki mortuary na kuuza majeneza, sasa jiulize kati ya Uzima na MAUTI, kipi kipaumbele chake!!
USHAURI: Mamlaka zizuie mkutano huo nchini petu Ili kuzuia mbegu ya yule mwovu kumea juu ya ardhi ya nchi yetu nzuri TANZANIA.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿. Amen
Nilishawaalika Malaika kufuatilia Kwa karibu uchaguzi na siasa zetu,Umesomeka mkuu
Lakini viongozi walarushwa Hawa watakusikia?
Na sasa hivi serikali Haina hela akitembexa mlungula atarusiwa tu
Nguvu ya maombi ya Wana wa Mungu itazuia
Anhaa.. 🤔Ni pale mtu anapojiita shehe hapo hapo anauza majini Kwa waumini Ili wapate chumaulete,
Ni pale muhuni anapoona waumini ni Wachache, anaamua kwenda Kwa mganga apate dawa za kuvuta waumini wenye uwezo na apate umati mkubwa wa watu.
Huo UOVU wa kulitumia madhabahu takatifu Kwa faida binafsi na Giza ndiko kunakiitwa chukizo la uharibifu kusimama Patakatifu pa Patakatifu!!
Asante sana ndugu kwa hii tahadhari nahisi mamlaka hazitamruhusu huyo fisadi kupitia imani ya kiroho kufanya shughuli tanzania. Hao watu ni watu waovu kupindukia. Nahisi wanatekeleza mpango mahsusi wa kibeberu wa kudumaza maendeleo ya kiuchumi ya wananchi wa bara letu la afrika.Salaam,Shalom!!
Yalitokea mauwaji Nchi Jirani ya Kenya,na waliripotiwa kufa watu wengi sana, Damu ya watu isiyo na hatia ilimwagika.
Kiongozi mmoja wapo aliyekuwa na ushirika na Pastor Mc Kenzie, anatamani sana Nchi yetu, kwake Tanzania ni shamba lenye mavuno mengi. Yalipotokea maporomoko Hanang ,alijitokeza na Kutoa msaada,
Nionavyo, msaada Ule, ililenga kulegeza tension na mkwamo alioupata baada ya Mkutano wake Arusha kufutwa haraka na mamlaka za nchini petu.
Nimesikia tena mtu huyu, amekwishaanza promotion na maandalizi ya kufanya mkutano tena nchini, zamu hii ni pale Mwanza mwezi July 2024.
Kiongozi huyu amekiri kumiliki mortuary na kuuza majeneza, sasa jiulize kati ya Uzima na MAUTI, kipi kipaumbele chake!!
USHAURI: Mamlaka zizuie mkutano huo nchini petu Ili kuzuia mbegu ya yule mwovu kumea juu ya ardhi ya nchi yetu nzuri TANZANIA.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿. Amen
Mohamedi huyu huyu aliyemsilimisha shetani🤔Hakuna apasaye kuabudiwa kwa haki ila Allah na Mohammad ni mtume wake.......njoeni kwenye haki enyi msioamini