Kiongozi wa Dini aliyetuhumiwa kuhusika mauaji ya Shakahola, asiruhusiwe kupanda mbegu mbaya katika Nchi yetu.

Hapo ndio wapi mkuu?
Ni pale mtu anapojiita shehe hapo hapo anauza majini Kwa waumini Ili wapate chumaulete,

Ni pale muhuni anapoona waumini ni Wachache, anaamua kwenda Kwa mganga apate dawa za kuvuta waumini wenye uwezo na apate umati mkubwa wa watu.

Huo UOVU wa kulitumia madhabahu takatifu Kwa faida binafsi na Giza ndiko kunakiitwa chukizo la uharibifu kusimama Patakatifu pa Patakatifu!!
 
Umesomeka mkuu

Lakini viongozi walarushwa Hawa watakusikia?

Na sasa hivi serikali Haina hela akitembexa mlungula atarusiwa tu

Nguvu ya maombi ya Wana wa Mungu itazuia
 
Umesomeka mkuu

Lakini viongozi walarushwa Hawa watakusikia?

Na sasa hivi serikali Haina hela akitembexa mlungula atarusiwa tu

Nguvu ya maombi ya Wana wa Mungu itazuia
Nilishawaalika Malaika kufuatilia Kwa karibu uchaguzi na siasa zetu,

Ni suala la muda tu,

Yasiyowezekana Kwa WANADAMU, yanawezekana Kwa msaada wa Mungu kupitia Malaika wake
 
Anhaa.. 🤔
 
Hakuna apasaye kuabudiwa kwa haki ila Allah na Mohammad ni mtume wake.......njoeni kwenye haki enyi msioamini
 
Asante sana ndugu kwa hii tahadhari nahisi mamlaka hazitamruhusu huyo fisadi kupitia imani ya kiroho kufanya shughuli tanzania. Hao watu ni watu waovu kupindukia. Nahisi wanatekeleza mpango mahsusi wa kibeberu wa kudumaza maendeleo ya kiuchumi ya wananchi wa bara letu la afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…