Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
- #21
Hakika kwenye msafara wa Mamba, hata Kenge wamo!Kwani Mbowe huyo anaefizia kwenda kwenye Maandamano?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika kwenye msafara wa Mamba, hata Kenge wamo!Kwani Mbowe huyo anaefizia kwenda kwenye Maandamano?
Mshangazi habari za leo.Upo kwako
woga wa nini
Hakika kwenye msafara wa Mamba, hata Kenge wamo!
Mshangazi habari za leo.
Ye nani na anatofauti gani na waliouwawa au ndo ushabiki maandazi,Israel hajawahi kusita kwenye maamuzi yake only a right time is waited.Wanatafuta sababu ya kufuta lile taifa feki,yaani israel wakitaka kurudi walikotoka 1947 wapige huyo mzee
Hana haja ya kuogopa kifo maana mwislamu kufa ni ibada😃 na kichapo kitaendelea hata wakiua viongozi.
Nimeshangaa sana kusoma taarifa kuwa kiongozi huyo anatarajia kutoa hotuba leo Ijumaa wakati wa sala ya Ijumaa kwani anajiweka katika hatari ya kushambuliwa na majeshi ya Israel kama ilivyokuwa kwa viongozi wakuu wa Hesbolah na Hamasi(asijiamini sana kiulinzi, lolote laweza tokeo)
Bado inaweza isiwe leo, ila hapaswi kuendelea kufanya hivi kwa siku za usoni kwani wanaweza kumla kichwa( Netanyau ni mental case).
Nieleweki kabisa kuwa Siwapendi wa Israel kwasababu moja kubwa: kuwaonea wapalestina na kuwaua hovyo kama wanaua kuku au panya. Hawana ubinadamu kabisa na wanajiona wao ni binadamu wa daraja la juu kulinganisha na wapalestina wanaowaona kama sio binadamu.
Kwa msingi huo, nisingependa kuona Israel anafanikiwa katika vita yake na Iran na ndio maana namtahadharisha Ayatollah asijaribu kujianika maana Israel huwa hawajali nini kitatokea baadae(hawapimi maamuzi yao) la muhimu kwao ni kutaka kuonyesha dunia kuwa wao ni bora kivita katika hilo eneo lote la Mashariki ya Kati.
Kwahiyo, hawatasiita kumshambulia Ayatollah kwa kushitukiza sambamba na kushambuliwa vituo vya kijeshi na nuclear facilities za muajemi pamoja na kushambulia raia kwa kushambulua mfululizo kuhakikisha Iran hapati muda wa kujipanga.
Mpaka sasa Israel ameshaona uwezo wa Iran na hatari iliyopo kuingia nae vitani. Hivyo, njia pekee ya kupambana nae ni kuanzisha mashambulizi ya non stop (full blown war) jambo ambalo linaweza kuwafanga Iran watumie unconventional weapons kama vile sila za nyuklia na hii ndio hatari ambayo mmarekani ameshaiona.
Kwa kifupi, Israel alijaa sana kiburi hasa baada ya kuua viongozi wa Hamasi na Hesbolah huku Iran akiwa katulia, ila sasa kiburi hicho mbele ya Iran hakitavumiliwa na unaweza kuwa ni mwanzo wa janga la kibinadamu katika hilo eneo, na dunia ikizembea, tunaweza shuhudia vita ya tatu ya dunia kiutani utani tu.
Muda utaongea.
NB: Kuingia katika vita au kuendelea kupigana vita wakati kiongozi wa juu wa nchi ameuwawa au kujeruhiwa, ni disadvantage kubwa sana na ni advantage kubwa sana kwa adui na Israel huenda anapanga kufanya jambo kama hili akijua faida ya kufanya hivyo.

Kwamba wewe unajua masuala ya ulinzi na usalama wa Ayatollah kuliko taasisi ya ulinzi ya Iran? Watanzania tuna vituko sana.Nimeshangaa sana kusoma taarifa kuwa kiongozi huyo anatarajia kutoa hotuba leo Ijumaa wakati wa sala ya Ijumaa kwani anajiweka katika hatari ya kushambuliwa na majeshi ya Israel kama ilivyokuwa kwa viongozi wakuu wa Hesbolah na Hamasi(asijiamini sana kiulinzi, lolote laweza tokeo)
Bado inaweza isiwe leo, ila hapaswi kuendelea kufanya hivi kwa siku za usoni kwani wanaweza kumla kichwa( Netanyau ni mental case).
Nieleweki kabisa kuwa Siwapendi wa Israel kwasababu moja kubwa: kuwaonea wapalestina na kuwaua hovyo kama wanaua kuku au panya. Hawana ubinadamu kabisa na wanajiona wao ni binadamu wa daraja la juu kulinganisha na wapalestina wanaowaona kama sio binadamu.
Kwa msingi huo, nisingependa kuona Israel anafanikiwa katika vita yake na Iran na ndio maana namtahadharisha Ayatollah asijaribu kujianika maana Israel huwa hawajali nini kitatokea baadae(hawapimi maamuzi yao) la muhimu kwao ni kutaka kuonyesha dunia kuwa wao ni bora kivita katika hilo eneo lote la Mashariki ya Kati.
Kwahiyo, hawatasiita kumshambulia Ayatollah kwa kushitukiza sambamba na kushambuliwa vituo vya kijeshi na nuclear facilities za muajemi pamoja na kushambulia raia kwa kushambulua mfululizo kuhakikisha Iran hapati muda wa kujipanga.
Mpaka sasa Israel ameshaona uwezo wa Iran na hatari iliyopo kuingia nae vitani. Hivyo, njia pekee ya kupambana nae ni kuanzisha mashambulizi ya non stop (full blown war) jambo ambalo linaweza kuwafanga Iran watumie unconventional weapons kama vile sila za nyuklia na hii ndio hatari ambayo mmarekani ameshaiona.
Kwa kifupi, Israel alijaa sana kiburi hasa baada ya kuua viongozi wa Hamasi na Hesbolah huku Iran akiwa katulia, ila sasa kiburi hicho mbele ya Iran hakitavumiliwa na unaweza kuwa ni mwanzo wa janga la kibinadamu katika hilo eneo, na dunia ikizembea, tunaweza shuhudia vita ya tatu ya dunia kiutani utani tu.
Muda utaongea.
NB: Kuingia katika vita au kuendelea kupigana vita wakati kiongozi wa juu wa nchi ameuwawa au kujeruhiwa, ni disadvantage kubwa sana na ni advantage kubwa sana kwa adui na Israel huenda anapanga kufanya jambo kama hili akijua faida ya kufanya hivyo.
Iran ina mifumo ya anga madhubuti na imethibitisho hilo awamu ya Obama kwa kuishusha ndege ya kijasusi ya America kama ilivyo!Bado ni hatari sana kwa Iran kama nchi kufanya hivyo.
Maamuzi yake Israel huwa ni kwenye mataifa dhaifu.Ye nani na anatofauti gani na waliouwawa au ndo ushabiki maandazi,Israel hajawahi kusita kwenye maamuzi yake only a right time is waited.
Kama Iran wamemuweka Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyau kwenye list ya magaidi wanaotakiwa kuliwa kichwa, kwanini nao Israel wasim-target Ayatollah?Sizani kama israel inaweza kuuwa rais wa iran,kumbuka huyo sio gaidi
Wao husema hawaogopi kifo.Watakufa kishahidi/martyrs.Nimeshangaa sana kusoma taarifa kuwa kiongozi huyo anatarajia kutoa hotuba leo Ijumaa wakati wa swala ya Ijumaa kwani anajiweka katika hatari ya kushambuliwa na majeshi ya Israel kama ilivyokuwa kwa viongozi wakuu wa Hesbolah na Hamasi(asijiamini sana kiulinzi, lolote laweza tokeo)
Bado inaweza isiwe leo, ila hapaswi kuendelea kufanya hivi kwa siku za usoni kwani wanaweza kumla kichwa( Netanyau ni mental case).
Nieleweki kabisa kuwa Siwapendi wa Israel kwasababu moja kubwa: kuwaonea wapalestina na kuwaua hovyo kama wanaua kuku au panya. Hawana ubinadamu kabisa na wanajiona wao ni binadamu wa daraja la juu kulinganisha na wapalestina wanaowaona kama sio binadamu.
Kwa msingi huo, nisingependa kuona Israel anafanikiwa katika vita yake na Iran na ndio maana namtahadharisha Ayatollah asijaribu kujianika maana Israel huwa hawajali nini kitatokea baadae(hawapimi maamuzi yao) la muhimu kwao ni kutaka kuonyesha dunia kuwa wao ni bora kivita katika hilo eneo lote la Mashariki ya Kati.
Kwahiyo, hawatasiita kumshambulia Ayatollah kwa kushitukiza sambamba na kushambuliwa vituo vya kijeshi na nuclear facilities za muajemi pamoja na kushambulia raia kwa kushambulua mfululizo kuhakikisha Iran hapati muda wa kujipanga.
Mpaka sasa Israel ameshaona uwezo wa Iran na hatari iliyopo kuingia nae vitani. Hivyo, njia pekee ya kupambana nae ni kuanzisha mashambulizi ya non stop (full blown war) jambo ambalo linaweza kuwafanga Iran watumie unconventional weapons kama vile sila za nyuklia na hii ndio hatari ambayo mmarekani ameshaiona.
Kwa kifupi, Israel alijaa sana kiburi hasa baada ya kuua viongozi wa Hamasi na Hesbolah huku Iran akiwa katulia, ila sasa kiburi hicho mbele ya Iran hakitavumiliwa tena na unaweza kuwa ni mwanzo wa janga la kibinadamu katika hilo eneo. Dunia ikizembea, tunaweza shuhudia vita ya tatu ya dunia kiutani utani tu.
Muda utaongea.
NB: Kuingia katika vita au kuendelea kupigana vita wakati kiongozi wa juu wa nchi ameuwawa au kujeruhiwa, ni disadvantage kubwa sana na ni advantage kubwa sana kwa adui na Israel huenda anapanga kufanya jambo kama hili akijua faida ya kufanya hivyo.
Hao Iran wanaongea tu,aisee kiongozi wa nchi huwez kumuua kirahis rahis tu,hata kama nchi yake ni dhaifu vipiKama Iran wamemuweka Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyau kwenye list ya magaidi wanaotakiwa kuliwa kichwa, kwanini nao Israel wasim-target Ayatollah?